Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Katoro kuna biashara kubwa, madini,usafirishaji,kilimo na uvuvi pia kuna majumba mengi ya thamani kuliko huko kusini njombe kuliko jaa vibanda umiza vya mabati ya kutu kila kona, endeleeni kupewa sifa za kijinga eti mnautajiri kwa kuangalia pato la mti mmoja mmoja, nyie kuleni sifa huku kanda ya ziwa tunaendelea kuchapa kazi kuongeza uchumi wetu na maisha ya mtu mmoja mmoja.
Hawajui kwamba kwa wholesalers ukitoka Mwanza inafata Katoro 💥
 
Huko zaidi ya kambi za madini na vijiji vya uvuvi Kuna nn
Najua unaumia sana ukiona vitu vya Katoro hapa unatamani ndo ingekuwa Makambako au Njombe lakini huna namna endelea kuumia 🔨😂😂halafu kula chuma hicho 👇
1727954814234.jpg
 
Najua unaumia sana ukiona vitu vya Katoro hapa unatamani ndo ingekuwa Makambako au Njombe lakini huna namna endelea kuumia 🔨😂😂halafu kula chuma hicho 👇
View attachment 3341041
Unachekesha.

Katoro na Makambako zipo hadhi tofauti.

Makambako ni kubwa kuliko Katoro kwa kila kitu.

Wewe Makambako unaisikia, sis Katoro tumeiona kwa macho yetu.
 
HUO NI USHAMBA WAKO HAYA SOMA HAPO VIWANDA VYA MITI VINAVOZIDI KUONGEZEKA NDANI YA MKOA WA NJOMBE NA VINGI NI AROUND MAKAMBAKO👇👇👇👇

Katibu tawala wa mkoa wa Njombe Judica Omary amesema sekta ya misitu inategemewa mkoani Njombe jambo ambalo limepelekea wawekezaji wengi kuingia kwenye sekta hiyo na kujenga viwanda huku baadhi yao wakifuata sera za uwekezaji na wengine wakionekana kufanya kazi kinyume na utaratibu.

"Hivi viwanda vimeanza kuja kidogokidogo na mpaka sasa hivi vimefikia viwanda 19 vinavyojihusisha na mazao ya Venia na hivi vyote vipo wilaya ya Njombe sasa hivi na kwa ujumla vimeajiri watumishi wa muda 1878"amesema Judica Omary

Baadhi ya wadau walioshiriki kikao hicho akiwemo Meneja wa TRA mkoa wa Njombe Specioza Oule pamoja Daniel Okoka ambaye ni MNEC kutoka mkoa wa Njombe,wametoa wito kwa wawekezaji kuhakikisha wanafuata mikataba ya kikodi pamoja na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii kwenye maeneo yao ya uwekezaji ili kuimarisha uchumi.

#IceFmHabari
#NisikilizeMimi
Na @cleefmlelwah

View: https://www.instagram.com/reel/DJ6cYhttrL0/?igsh=MWN6amRnaHRycWI3bA==
 
Katoro kuna biashara kubwa, madini,usafirishaji,kilimo na uvuvi pia kuna majumba mengi ya thamani kuliko huko kusini njombe kuliko jaa vibanda umiza vya mabati ya kutu kila kona, endeleeni kupewa sifa za kijinga eti mnautajiri kwa kuangalia pato la mti mmoja mmoja, nyie kuleni sifa huku kanda ya ziwa tunaendelea kuchapa kazi kuongeza uchumi wetu na maisha ya mtu mmoja mmoja.
Nikajua umekufa kumbe upo 🤣🤣

Acha kuandika uharo
 
Katoro kuna biashara kubwa, madini,usafirishaji,kilimo na uvuvi pia kuna majumba mengi ya thamani kuliko huko kusini njombe kuliko jaa vibanda umiza vya mabati ya kutu kila kona, endeleeni kupewa sifa za kijinga eti mnautajiri kwa kuangalia pato la mti mmoja mmoja, nyie kuleni sifa huku kanda ya ziwa tunaendelea kuchapa kazi kuongeza uchumi wetu na maisha ya mtu mmoja mmoja.
Kuna biashara kubwa kuliko Mji wa viwanda, junction ya Barabara kuu na pia wenye Huduma zote?

Unazeeka vibaya.

Zingatia neno Halmashauri ya Mji
 
Unachekesha.

Katoro na Makambako zipo hadhi tofauti.

Makambako ni kubwa kuliko Katoro kwa kila kitu.

Wewe Makambako unaisikia, sis Katoro tumeiona kwa macho yetu.
Kila kitu ndio kitu gani 😂😂🔨🔨
Makambako ni mji wa kizamani uliojaa kutu na Katoro ni mji wa kisasa
 
HUO NI USHAMBA WAKO HAYA SOMA HAPO VIWANDA VYA MITI VINAVOZIDI KUONGEZEKA NDANI YA MKOA WA NJOMBE NA VINGI NI AROUND MAKAMBAKO👇👇👇👇

Katibu tawala wa mkoa wa Njombe Judica Omary amesema sekta ya misitu inategemewa mkoani Njombe jambo ambalo limepelekea wawekezaji wengi kuingia kwenye sekta hiyo na kujenga viwanda huku baadhi yao wakifuata sera za uwekezaji na wengine wakionekana kufanya kazi kinyume na utaratibu.

"Hivi viwanda vimeanza kuja kidogokidogo na mpaka sasa hivi vimefikia viwanda 19 vinavyojihusisha na mazao ya Venia na hivi vyote vipo wilaya ya Njombe sasa hivi na kwa ujumla vimeajiri watumishi wa muda 1878"amesema Judica Omary

Baadhi ya wadau walioshiriki kikao hicho akiwemo Meneja wa TRA mkoa wa Njombe Specioza Oule pamoja Daniel Okoka ambaye ni MNEC kutoka mkoa wa Njombe,wametoa wito kwa wawekezaji kuhakikisha wanafuata mikataba ya kikodi pamoja na kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya jamii kwenye maeneo yao ya uwekezaji ili kuimarisha uchumi.

#IceFmHabari
#NisikilizeMimi
Na @cleefmlelwah

View: https://www.instagram.com/reel/DJ6cYhttrL0/?igsh=MWN6amRnaHRycWI3bA==

Post soko la makambako sasa 😂😂😂😂😂😂 kama hakuna ujue makambako si kitu mbele ya Katoro
 
Kila kitu ndio kitu gani 😂😂🔨🔨
Makambako ni mji wa kizamani uliojaa kutu na Katoro ni mji wa kisasa
Katoro ni mjii wa kisiasa ?

Umemaanisha nini kusema hivi?

Katoro hii hii iliyojengwa hovyo hovyo?

Pita mitaa ya shule ya Msingi Kilimani endelea mbele uone huo usasa
 
Bado hujasema 🔨🔨 , makambako na Njombe 90% nyumba ni magofu na vibanda vya kale vilivyojaa kutu 😂 😂 😂
Una la kusema tena au niweke picha 🤔
 
Angekuwepo JPM angekuchapa makofi.

Yeye mwenyewe kwa kauli yake alishangazwa na ubora wa makazi Makambako
 
Katoro ni mjii wa kisiasa ?

Umemaanisha nini kusema hivi?

Katoro hii hii iliyojengwa hovyo hovyo?

Pita mitaa ya shule ya Msingi Kilimani endelea mbele uone huo usasa
Au kwa kuwa Kuna round about Makambako ndio unaona ni mji babu kubwa sio 🤭🤭
Halafu unakuja na maneno weka basi hata ushahidi wa kuonekana wa picha za hiyo makambako 😂 kama huwezi kuweka picha za makambako hapa tutaendelea kula nyundo za Katoro
 
Katoro ni mjii wa kisiasa ?

Umemaanisha nini kusema hivi?

Katoro hii hii iliyojengwa hovyo hovyo?

Pita mitaa ya shule ya Msingi Kilimani endelea mbele uone huo usasa
Hii 👇 makambako ndio imepangwa sio 😂 🤗 🤗 wewe ni kichaa, mipango miji ni tatizo la nchi nzima,
Screenshot_20250521-172546.png
Screenshot_20250521-172536.png
Screenshot_20250521-172529.png

Screenshot_20250521-173325.png
Screenshot_20250521-173234.png

Punguza mawenge bila facts hapa utakula 🔨🔨🔨
 
Back
Top Bottom