Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Uno takiwa na mipango miji
Mpango mji kama Huu👇😂😂😂😂wadanganye wengine sio mimi
Screenshot_20250521-172536.png
Screenshot_20250521-172529.png
Screenshot_20250521-173234.png
Screenshot_20250521-173325.png
Screenshot_20250521-173325.png
Screenshot_20250521-172546.png
 
hahaha inaonekana unaumia sana hamia nyanda za juu kusini maana kutwa unashinda unalinganisha na vijiji vyenu vya wachuu
Ngoja nianze kuwapiga na vitu vizito vya Manispaa ya Geita ili mjue bado mko nyuma ya wakati na miji yenu chakavu
Soko ndani ya manispaa ya Geita
images (34).jpeg

Someone's investment 👇
images (37).jpeg
 
Makaa ya Mawe, Vito na Dhahabu kichocheo cha uchumi mkoani Ruvuma

🔺Makusanyo maduhuli yafikia asilimia 98 kwa mwaka 2024/2025

📍Ruvuma

MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Ruvuma yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/2025 ni Shilingi Bilioni 32.5.

Fedha hizo ni makusanyo ya mpaka tarehe 19 Mei, 2025 wakitarajiwa kuvuka lengo la fedha walilopangiwa la Shilingi Bilioni 33.15.

Akizungumza na wanahabari wa Tume ya Madini, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Ruvuma, Mhandisi Alphonce Bikulamchi amesema, hadi mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu Mkoa huo utakuwa umevuka lengo la zaidi ya asilimia 100 ya ukusanyaji mapato.

Mhandisi Bikulamchi amesema kuwa mafanikio hayo yamepatikana kutokana na kushamiri kwa biashara ya makaa ya mawe ambayo kwa Mkoa wa Ruvuma yamebainika kuwa ni bora zaidi na yamekuwa yakiuzwa nchi mbalimbali ikiwemo Kenya, Uganda, Rwanda, Bara la Asia na Bara la Ulaya.

Aidha, amesema pia Mkoa huo mbali na makaa ya mawe pia umebarikiwa kuwa na aina nyingi za madini ikiwemo Dhahabu, Shaba, Chuma, Urani, Madini ya Ujenzi na Madini ya Vito.

Amesema pia kuna masoko mawili ya madini ambayo ni Soko la Madini Songea na Soko la Madini Tunduru ambayo yalianzishwa na Serikali kupitia Tume ya Madini ili kuongeza uwazi, usawa, ulinzi wa haki halali na maslahi ya watu wanaofanya biashara hiyo huku akiwataka watanzania kuchangamkia fursa mbalimbali zilizopo mkoani humo kama usambazaji wa teknolojia zinazotumika migodini, usambazaji wa bidhaa za vyakula, uchimbaji, uchenjuaji na biashara ya madini.

‎Follow the Tume ya Madini Tanzania channel on WhatsApp: Tume ya Madini Tanzania | WhatsApp Channel
 
Hizi ofisi hata igwachanya zipo za kutosha leta project za watu mitaani usituletee mapaa hapa
Unaona hiyo 👇👇 future plan ya Manispaa ya Geita lakini 💥💥, kama Dodoma tu
images (51).jpeg

Yaani hakuna uchafu uchafu kama wa Njombe na vijiji vyake 😂😄😄
Mji una future ya maana, picha ni za muda kidogo tangu 2022 huko ko current pictures nikizipata naweka utoe tongo tongo 🤗😄😄
Mitaa ya kata ya bombambili excellent master plan hakuna uchafu
1747939425739.jpg
 
Hizi ofisi hata igwachanya zipo za kutosha leta project za watu mitaani usituletee mapaa hapa
Umeanza kuogopa, yaani usinipangie 😂😂😂, acha nikupige na vitu ambavyo hamna .
Njombe si chochote kwa Geita sasa na hata milele 🙌🤗😂😂😂
 
Back
Top Bottom