Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Toka Jana nilishakuona fyuz imelegea we mji unaitwa wa biashara na VIWANDA unakosaje masoko huku hawaongelei soko moja mzee uwe unaelewa katembelee kariakoo ujifunze tunavo kwambia soko linakuwa na mitaa ya bidhaa tofauti tofauti ndicho kilichopo makambako uwe unaelewa hapo bado masoko mengine ya mtaani
Toa takataka hapa na maneno yako matupu ya kwenye kanga, kama soko lipo siuliweke hapa tuone
Kama hamna modern market kausha na muache kukipaisha hicho kijiji chenu cha kwenye njia panda
 
Haujitambui wewe na mnaulimbukeni sana nyie watu, sasa huu nao ni mji wa kutamba nao kweli 😂😂😂 kuna cha maana hapo zaidi ya round about?
Umeshindwa kuleta soko la hiyo kijiji yenye kutu wewe ni wa kupuuzwa jumla na Kijiji chako cha njiapanda
 
Endelea kushinda kwenye mashimo Kama fuko utakapo toka ndo utajua kwanini katoro NI kijiji
 
Unayajua masoko ww
Hii 👇 kama ndo ingekuwa Makambako tusingepumua hii nchi , unaumia ukiwa wapi 🤗 😂
1739162271316.jpg
 
Unayajua masoko ww
Si ulete soko hapa sasa 😂😂, kama hakuna soko kuu la maana sema 🤗
Yaani kwa asiyeijua makambako akisikia vile mnavyoipaisha anaweza jua ni bonge la mji, kumbe ni kijiji cha zamani cha njiapanda kilichojaa kutu hakina hata soko kina masangulo tu 🤗🤗👇
images (15).jpeg
 
Endelea kushinda kwenye mashimo Kama fuko utakapo toka ndo utajua kwanini katoro NI kijiji
Hata ukaze fuvu lako vipi kazi yangu nimeshamaliza kukuonyesheni muache kukipa sifa zisizo zake hicho kijiji cha njiapanda kilichozeeka kwa kutu
 
Unayajua masoko ww
Soko naona kama tumemaliza 😂😂😂😂 Makambako haina
Tuhamie sasa huko kwenye nyumba mnazoishi au na zenyewe hazipo 😂🤗 wote mnaishi kwenye vile vighorofa vinne vya kilasiku 🤔
 
Si ulete soko hapa sasa 😂😂, kama hakuna soko kuu la maana sema 🤗
Yaani kwa asiyeijua makambako akisikia vile mnavyoipaisha anaweza jua ni bonge la mji, kumbe ni kijiji cha zamani cha njiapanda kilichojaa kutu hakina hata soko kina masangulo tu 🤗🤗👇View attachment 3341704
Katoro bado bush soko lipo Kama shule et ndo soko kuu duu au NI frem za mtu binafs hako ka Kijiji hakana future yoyote hakana barabara nyumba zimejengwa bila mpangilio njia za ngombe za kutosha
 
Hata ukaze fuvu lako vipi kazi yangu nimeshamaliza kukuonyesheni muache kukipa sifa zisizo zake hicho kijiji cha njiapanda kilichozeeka kwa kutu
Makambako daily mijengo inanyuka hatuna muda wa kupiga picha panazaidi ya mitaa 50
 
Si ulete soko hapa sasa 😂😂, kama hakuna soko kuu la maana sema 🤗
Yaani kwa asiyeijua makambako akisikia vile mnavyoipaisha anaweza jua ni bonge la mji, kumbe ni kijiji cha zamani cha njiapanda kilichojaa kutu hakina hata soko kina masangulo tu 🤗🤗👇View attachment 3341704
Ww ndo hujui aliyefika MIKOA ya nyanda za juu kusini wanaifahamu ndo junction ya MIKOA hiyo uwe unaelewa junction maana fyuzi yako imelegea ndo wanakupuuza na Kijiji chako hicho kutwa kukaa kwenye mawe kupiga picha mapaa na barabara moja hiyo
 
Katoro bado bush soko lipo Kama shule et ndo soko kuu duu au NI frem za mtu binafs hako ka Kijiji hakana future yoyote hakana barabara nyumba zimejengwa bila mpangilio njia za ngombe za kutosha
Makambako ina mpangilo gani??😄😄
 
Ww ndo hujui aliyefika MIKOA ya nyanda za juu kusini wanaifahamu ndo junction ya MIKOA hiyo uwe unaelewa junction maana fyuzi yako imelegea ndo wanakupuuza na Kijiji chako hicho kutwa kukaa kwenye mawe kupiga picha mapaa na barabara moja hiyo
Pole kwa maumivu
 
Njombe kuna soko
Katoro kuna soko
Makambako........... hakuna kitu
HITIMISHO 😄🤗
Makambako ni kijiji kwenye njiapanda ya mikoa ya nyanda za juu kusini
Endelea kuweweseka VIWANDA vinazidi KUONGEZEKA 😟🤢👇👇👇👇
Mwekezaji kutoka Kampuni ya Ovolio Industries Ltd nchini Uganda ametembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe, ambapo alipokelewa na Mhe. Anthony Mtaka kwa mazungumzo ya uwekezaji. Timu hiyo ya wawekezaji imeongozwa na mmoja wa wajumbe wa Bodi ya Kampuni hiyo, Ndg. Omar Ababneh.

Katika mazungumzo yao, mwekezaji huyo alieleza dhamira yao ya kuwekeza katika ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta ya parachichi mkoani Njombe, wakitarajia kutumia eneo lenye ukubwa wa ekari 10 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda hicho. Alieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuongeza thamani ya zao la parachichi na kuwainua wakulima wa zao hilo katika mkoa wa Njombe.

Akizungumza baada ya kupokea wageni hao, Mhe. Anthony Mtaka alisema Serikali ya Mkoa wa Njombe itaendelea kutoa ushirikiano kwa wawekezaji wenye nia njema na maendeleo ya mkoa. “Tunawakaribisha kwa mikono miwili. Uwekezaji katika kiwanda hiki utasaidia kuongeza thamani ya parachichi, kuongeza ajira na kuongeza kipato cha wakulima wetu,” alisema Mhe. Mtaka. Aliahidi kuwa mkoa uko tayari kusaidia upatikanaji wa eneo stahiki kwa ajili ya mradi huo wa kimkakati.

Ujio wa mwekezaji huyu unaongeza hamasa kwa juhudi za Mkoa wa Njombe katika kukuza sekta ya viwanda na kuunga mkono jitihada za kitaifa za kuongeza thamani kwenye mazao ya kilimo.
@samia_suluhu_hassan @anthony_mtaka @bashehussein @wizara_ya_kilimo @maelezonews @njombe_rs @viwandabiashara @ikulu_mawasiliano @wizaramnn @wizara_mambo_ya_nje_tz @government_of_uganga @ntvuganda @ugandacranes
 
Makambako daily mijengo inanyuka hatuna muda wa kupiga picha panazaidi ya mitaa 50
Kwa sensa ya majengo 2022
Makambako mji _jumla ya majengo 37 865
Katoro mji. _. Jumla ya majengo 51,447
Makambako ni kama dagaa tu mbele ya Katoro 🤗😄😄

Njombe miji _ jumla ya majengo 51 555
Geita mji _ jumla ya majengo 66 095
 
Back
Top Bottom