Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,362
- 1,006
Huu hapa mfano wa miji iliyopangwa 👇Kasulu 💥 angalau walijitahidi sio uozo ulioko hapo MakambakoKatoro ni mjii wa kisiasa ?
Umemaanisha nini kusema hivi?
Katoro hii hii iliyojengwa hovyo hovyo?
Pita mitaa ya shule ya Msingi Kilimani endelea mbele uone huo usasa