Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Unatapatapa.Unahiu hizo Dhahabu za Dar Zinatoka wapi?

Kawaambie Tume ya Madini wa compile data Kwa mujibu wa wewe inavyotaka 😁😁

Niongeze dozi au umetosheka?
View attachment 3340701View attachment 3340702

View attachment 3340703
View attachment 3340704
Bado hujasema, na utasema
1747820454941.jpg
 
🔨🔨🤭🤭😂😂 Kama huna akili fupi kweli ebu post hapa picha ya Makambako au Njombe ikiwa imejaa full namna hii👇👇ili upime hiyo akili yako, kazi kuleta maneno ya kwenye kanga na matusi
View attachment 3340887View attachment 3340888
Acha kuhangaika na Kijiji chako hichi unaaibika bure na kudhihilisha kuwa bado NI mshamba makazi ya namna hii yapo kila Kijiji mjini tunaongelea gorofa sio nyumba hizo
 
Yaani niumie kwenye Yako kakijiji kalikojaa ufukara?

Hivi taa za barabarani ni za kulingishia miaka hii kweli? Kila Kijiji na Mji zimetungwa na mwaka huu Samia anaguna zingine zaidi ya 4,000.

Tafuta hoja wewe mbumbumbu wa Kijiji Cha Katoro.
Kwa nini unaogopa kupost hizi 👇👇picha za kwenu mashambani huko
images (4).jpeg
 
Acha kuhangaika na Kijiji chako hichi unaaibika bure na kudhihilisha kuwa bado NI mshamba makazi ya namna hii yapo kila Kijiji mjini tunaongelea gorofa sio nyumba hizo
Na nitawaaibisha nyinyi msio jua kuwa mambo yameshabadilika huku mkiendelea kujiita matajiri kwa makaratasi, nyie wekeni ushahidi wenu wa makaratasi mimi nawapiga nyundo kwa ground
 
Acha kuhangaika na Kijiji chako hichi unaaibika bure na kudhihilisha kuwa bado NI mshamba makazi ya namna hii yapo kila Kijiji mjini tunaongelea gorofa sio nyumba hizo
Sasa kwanza wewe huoni aibu kutolewa NOK out na kijiji 😂😂🔨, umepost kigohorofa kimoja kimoja kutoka makambako nimepost pia ghorofa moja moja toka Katoro, sasa kwa nini pia usiweke makazi kama nilivyofanya tuone matajiri mnalala wapi?
Hivyo vijiji vyenu outdated mnavyipa sifa ambazo havistahili mnaanza kuvimba 😂

Mnaumia kimoyo moyo 🤗🤗 hilo siyo shida yangu, na kama Katoro ingekuwa iko Njombe tusingepumua humu mngekuwa mmeshaipa hadhi ya jiji 😂😂🤗
 
Tajiri wewe nyumba yako iko wapi kwenye hili jiji lenu 😂😂🤗
images.jpeg
 
Sasa kwanza wewe huoni aibu kutolewa NOK out na kijiji 😂😂🔨, umepost kigohorofa kimoja kimoja kutoka makambako nimepost pia ghorofa moja moja toka Katoro, sasa kwa nini pia usiweke makazi kama nilivyofanya tuone matajiri mnalala wapi?
Hivyo vijiji vyenu outdated mnavyipa sifa ambazo havistahili mnaanza kuvimba 😂

Mnaumia kimoyo moyo 🤗🤗 hilo siyo shida yangu, na kama Katoro ingekuwa iko Njombe tusingepumua humu mngekuwa mmeshaipa hadhi ya jiji 😂😂🤗
Hadi leo unashoboka na nyumba za chini asee hivyo vijiji bado sana
 
T
Sasa kwanza wewe huoni aibu kutolewa NOK out na kijiji 😂😂🔨, umepost kigohorofa kimoja kimoja kutoka makambako nimepost pia ghorofa moja moja toka Katoro, sasa kwa nini pia usiweke makazi kama nilivyofanya tuone matajiri mnalala wapi?
Hivyo vijiji vyenu outdated mnavyipa sifa ambazo havistahili mnaanza kuvimba 😂

Mnaumia kimoyo moyo 🤗🤗 hilo siyo shida yangu, na kama Katoro ingekuwa iko Njombe tusingepumua humu mngekuwa mmeshaipa hadhi ya jiji 😂😂🤗
Tembelea tukuonyeshe mijengo ya matajir ndo ujue njombe NI level nyingine
 
Geita Gold Mine (GGM) wana uwanja wao wa ndege mgodini, wanabeba dhahabu hao wanapeleka Nje mambele huko, kwa akili zako unatarajia takwimu zao uzikute kwenye mauzo ya masoko ya ndani?
Wanaouzia kwenye masoko ya ndani ni wachimbaji wadogo wadogo na mapato yanapatikana hayo, sasa kwa akili zako fupi ukazani hizo data zitakusaidia kuonyesha kwa Chunya inaizidi Geita uzalishaji wa dhahabu 🤗🤭
Huyo jamaa huwa akili zake anazijua mwenyewe wame base zaidi kwenye data za ovyo bila kuzingatia data za kimataifa, niliona takwimu fulani ya nbs eti Dar ipo nafasi ya pili kwa uzalishaji na uuzaji wa dhahabu🤣🤣🤣
 
Hawana akili hawa ngoja niwanyoshe. Yaani mkoa una mgodi wa dhahabu mkubwa kwenye list ya migodi ya dhahabu Africa, halafu kwenye uchangiaji wa pato la taifa Mkoa unakuwa uko chini 🤔 kama akili zako ziko timamu huwezi kujiongeza kuwa there's something fishy!
 
Huko zaidi ya kambi za madini na vijiji vya uvuvi Kuna nn
Katoro kuna biashara kubwa, madini,usafirishaji,kilimo na uvuvi pia kuna majumba mengi ya thamani kuliko huko kusini njombe kuliko jaa vibanda umiza vya mabati ya kutu kila kona, endeleeni kupewa sifa za kijinga eti mnautajiri kwa kuangalia pato la mti mmoja mmoja, nyie kuleni sifa huku kanda ya ziwa tunaendelea kuchapa kazi kuongeza uchumi wetu na maisha ya mtu mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom