Geita ina mgodi unaodhalisha dhahabu ambayo thamani yake ni zaidi ya mara5 ya budget yenu ya serikali, lakini kwa ubinafisi wa viongozi kadhaa wakasaini mkataba wa hovyo, then unaniletea takwimu za hivi unataka nikuelewe 🤔!
Geita peke yake inaweza kuendesha Budget ya serikali kama viongozi watangulizi wangekuwa wazalendo wa nchi hii, lakini kwa vile walikua na akili kama zako ndio waliotufikisha hapa.
Hizo takwimu za GDP ya mkoa wa Geita, ukiona umeziamini, basi huna sifa ya kuwa kiongozi anayestahili kuiongoza nchi hii na tukatoka hapa tulipo kwenda mbele zaidi