Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Na wewe shida yako ni kuzani sasa ni kama zamani
Masumbwe hakuna kitu mkuu,

Miji ya Geita fananisha na miji ya Geita ndio inaendana umasikin, ushirikina , ujinga na umalaya.

Kakubilo fananisha na Nyawilimilwa au Nzera na Nkome.

Masumbwe fananisha na Chato , Ushirombo fananisha na Runzewe.

Nyarugusu fananisha na Lwamgasa
 
Wewe shida Yako ni kubishana tu.

Mbona utatoa povu 🤗 , unaumia ukiwa wapi?
Kula chuma hicho 👇💥kwanza, makazi ya maskini wa Katoro Geita
1727848435034.jpg
1727089569260.jpg
 
Masumbwe hakuna kitu mkuu,

Miji ya Geita fananisha na miji ya Geita ndio inaendana umasikin, ushirikina , ujinga na umalaya.

Kakubilo fananisha na Nyawilimilwa au Nzera na Nkome.

Masumbwe fananisha na Chato , Ushirombo fananisha na Runzewe.

Nyarugusu fananisha na Lwamgasa
Weka makazi ya Njombe na Makambako hapa tuone matajiri mnaishi wapi 🤗😂🔨🔧
 
Masumbwe hakuna kitu mkuu,

Miji ya Geita fananisha na miji ya Geita ndio inaendana umasikin, ushirikina , ujinga na umalaya.

Kakubilo fananisha na Nyawilimilwa au Nzera na Nkome.

Masumbwe fananisha na Chato , Ushirombo fananisha na Runzewe.

Nyarugusu fananisha na Lwamgasa
Kesho nitaweka picha za Masumbwe humu ( andaa pa kuficha sura yako)
Kwa Ukanda wa Geita na Shinyanga kwa sasa miji mikubwa iko kwa rank 👇
1. Shinyanga
2. Kahama
3. Geita
4. Katoro
5. Masumbwe
6. Ushirombo
7.etc
 
Kuna mtu anataja taja kijiji cha Ilembula humu🤭😂😂👇
481779112_1057050519773073_3711507578119594872_n.jpg
images (20).jpeg

Yaani mpaka wanaona aibu kupost 🤭🤭
 
Umekimbilia wapi 🤭? Njoo ule spana 🔧🔨⛏️ ndio maana hamtaki kupost hizzi👇👇 picha za miji yenu ya kale, 😂😂
Makambako yenyewe sasa👇, hiki kituko ulinganishe na Katoro the rapid growing modern town 👇
View attachment 3340171View attachment 3340170View attachment 3340172
Katoro 💥 👇
View attachment 3340176
Yaani dunia mbili tofauti 😅😅
Haha we jamaa huji somi hapo Kuna picha za sub town ya igwachanya na ilembula jaribu kutembea kidogo jamaa acha kubaki unafatilia picha fb ukifika kwenye mji husika ndo utajua uhalisia kwanini katoro NI Kijiji na makambako NI mji toka 2012
 
Wewe shida Yako ni kubishana tu.
Achana naye huyo kazi yake ni kupiga mapaa ya mabati ya katoro ndo anajua ndo maendeleo kumbe hizo NI kambi za wachimba madini haelewi kuwa vijiji vyake havina uchumi endelevu madini yakiisha wanaachiwa mashimo na kimji ndo kina kufa kutwa kupost mapaa ya vijiji vya katoro njombe NI mkoa AMBAO kwa rasilimali ujenzi geita haitakuja iuguse miaka yote
 
Umefikia hatua unafananisha Ilembula na Kakubilo?
Huyo jamaa nilisha mwambia apost majengo yenye floor tano na kuendelea alishindwa alishia kupost mabati katoro ambazo nyumba za mfumo huo Tanzania kila Kona zinajengwa leta vitu Kama hivi ndo tutajua pesa ipo
FB_IMG_17471549912882955.jpg
FB_IMG_17428112012396188~2.jpg
 
Mbona utatoa povu 🤗 , unaumia ukiwa wapi?
Kula chuma hicho 👇💥kwanza, makazi ya maskini wa Katoro Geita
View attachment 3340303View attachment 3340304
Leta vitu Kama hivi ndo tutakuelewa acha na ushamba wa kupiga mapaa ila sio kosa lako si mlizoea kuishi kwenye nyumba za tembe na zilizoezekwa udongo NI Jambo geni kwenu njombe huko tulisha toka miaka mingi now ni mwendo wa humu makambako
FB_IMG_17440138114910258.jpg
FB_IMG_17446858177853734.jpg
IMG_20250322_071013.jpg
FB_IMG_17435670374124698.jpg
FB_IMG_17428112012396188~2.jpg
 
Leta vitu Kama hivi ndo tutakuelewa acha na ushamba wa kupiga mapaa ila sio kosa lako si mlizoea kuishi kwenye nyumba za tembe na zilizoezekwa udongo NI Jambo geni kwenu njombe huko tulisha toka miaka mingi now ni mwendo wa humu makambakoView attachment 3340564View attachment 3340565View attachment 3340566View attachment 3340567View attachment 3340568
Unakosea sana kulinganisha Halmashauri ya Mji wa Makambako na Kijiji kilichochangamka Cha manamba wa Madini Cha Katoro.

Katoro size yake ni kina Majimoto,Chimala,Laela,Shelui etc.

Haiwezi fika hata Kwa Kibaigwa so weka picha tuu ila sio.kulinganisha.
 
Back
Top Bottom