ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,109
- 84,996
- Thread starter
- #20,361
VyoteHiyo GDP unazani ni kipimo sahihi zaidi kutambua kipato cha mtu mmoja mmoja 😢? Je unajua weakness zake?
VyoteHiyo GDP unazani ni kipimo sahihi zaidi kutambua kipato cha mtu mmoja mmoja 😢? Je unajua weakness zake?
Haya ni matokeo ya uelewa finyu wa vipimo vya maendeleoVipimo vyote unavyovijua wewe.👇👇View attachment 3338227
Haya unaweza niambia GDP ya mkoa wa Geita imepatikana vipi?Vyote
Mtaendelea kuwa mafukara hivyo hivyo na akili zenu za mbuziHaya ni matokeo ya uelewa finyu wa vipimo vya maendeleo
Tutaendelea kujulikana maskini kwa watu kama nyie wenye ufinyu wa fikra kama kondoo, but on the ground things are differentMtaendelea kuwa mafukara hivyo hivyo na akili zenu za mbuzi
Geita ina mgodi unaodhalisha dhahabu ambayo thamani yake ni zaidi ya mara5 ya budget yenu ya serikali, lakini kwa ubinafisi wa viongozi kadhaa wakasaini mkataba wa hovyo, then unaniletea takwimu za hivi unataka nikuelewe 🤔!Vipimo vyote unavyovijua wewe.👇👇View attachment 3338227
🚮🚮Geita ina mgodi unaodhalisha dhahabu ambayo thamani yake ni zaidi ya mara5 ya budget yenu ya serikali, lakini kwa ubinafisi wa viongozi kadhaa wakasaini mkataba wa hovyo, then unaniletea takwimu za hivi unataka nikuelewe 🤔!
Geita peke yake inaweza kuendesha Budget ya serikali kama viongozi watangulizi wangekuwa wazalendo wa nchi hii, lakini kwa vile walikua na akili kama zako ndio waliotufikisha hapa.
Hizo takwimu za GDP ya mkoa wa Geita, ukiona umeziamini, basi huna sifa ya kuwa kiongozi anayestahili kuiongoza nchi hii na tukatoka hapa tulipo kwenda mbele zaidi
Wakati mwingine jaribu kutumia akiri kidogo, slums na ardhi kutokupimwa havina uhusiano. Mfano mikoa ya Kilimanjaro na Kagera watu wanajenga kwenye mashamba ya ukoo huko vijijini, sio rahisi mtu kupima hayo maeneo.🤣🤣🤣 Kwa hiyo hapa Kuna Njombe ila Geita haipo au? 😁😁👇👇View attachment 3338217
Makambako NI mji sio mji mdogoNi wilaya ya Njombe,wilaya ya Njombe ina halmashauri tatu,Njombe DC,Njombe mjini,Mji mdogo makambako
Umekimbilia wapi 🤭? Njoo ule spana 🔧🔨⛏️ ndio maana hamtaki kupost hizzi👇👇 picha za miji yenu ya kale, 😂😂Kaka acha kujidhalilisha, huwez kufananisha mikoa ya nyanda za juu kusini , yaani mkoa wowote ule wa nyanda za juu kusini ufananishe na Geita
Nakusubiri urudi nikuaibishe vizuri. Tumalizane kwanza na Njombe na Geita, tuanze kuangazia miji mikubwa iliyopo katika mikoa hii,Kaka acha kujidhalilisha, huwez kufananisha mikoa ya nyanda za juu kusini , yaani mkoa wowote ule wa nyanda za juu kusini ufananishe na Geita
Sasa Masumbwe nao ni mji?Nakusubiri urudi nikuaibishe vizuri. Tumalizane kwanza na Njombe na Geita, tuanze kuangazia miji mikubwa iliyopo katika mikoa hii,
Njombe>1. Makambako
2. Njombe
Geita>. 1. Geita
2. Katoro
3. Ushirombo
4. Masumbwe
5. Runzewe
Yaani hapa tu Njombe inakaa kwenye kipengele hiki
Bado unaishi enzi za ujima inabidi ushituke, nikipata ground images za Masumbwe nitatupia humu kwa sasa kula chuma tu za Google earth japo ni za zaidi ya miaka mitatu iliyopitaSasa Masumbwe nao ni mji?
Umefika Ilembula wewe?
Hiyo Runzewe Ina kipi?
Wewe shida Yako ni kubishana tu.Bado unaishi enzi za ujima inabidi ushituke, nikipata ground images za Masumbwe nitatupia humu kwa sasa kula chuma tu za Google earth japo ni za zaidi ya miaka mitatu iliyopita
Masumbwe
View attachment 3340239
Na hiki 👇kijiji chako cha Ilembula hakifikii hata miji midogo Nyarugusu, Lulembela,Chato, Kakubilo, Muganza na Bwanga
Ilembula yenyewe sasa 👇
View attachment 3340248
Kwa sasa Runzewe na Masumbwe ni Miji inayokua kwa kasi sana, Masumbwe imesha ipita Ushirombo nearly in all aspects kuanzia ukubwa wa mji mpaka kibiashara sasa endelea kuishi Gizani hukoSasa Masumbwe nao ni mji?
Umefika Ilembula wewe?
Hiyo Runzewe Ina kipi?
Umefikia hatua unafananisha Ilembula na Kakubilo?Bado unaishi enzi za ujima inabidi ushituke, nikipata ground images za Masumbwe nitatupia humu kwa sasa kula chuma tu za Google earth japo ni za zaidi ya miaka mitatu iliyopita
Masumbwe
View attachment 3340239
Na hiki 👇kijiji chako cha Ilembula hakifikii hata miji midogo Nyarugusu, Lulembela,Chato, Kakubilo, Muganza na Bwanga
Ilembula yenyewe sasa 👇
View attachment 3340248