Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Weka ushahidi 😂😂😂 na isiwe kwenye karatasi tu, uonyeshe pia hizo nyumba zinapatikana kijiji kipi,
In short tunawazidi kila kitu, wingi wa matajiri tunawazidi na wingi wa maskini tunawazidi 😂😂😂😂
Mwanza,Kagera,Mara nk 😁😁😁😁👇👇
Screenshot_20250518-160607.jpg
Screenshot_20241221-100542.jpg
 
Weka ushahidi 😂😂😂 na isiwe kwenye karatasi tu, uonyeshe pia hizo nyumba zinapatikana kijiji kipi,
In short tunawazidi kila kitu, wingi wa matajiri tunawazidi na wingi wa maskini tunawazidi 😂😂😂😂
Kaka acha kujidhalilisha, huwez kufananisha mikoa ya nyanda za juu kusini , yaani mkoa wowote ule wa nyanda za juu kusini ufananishe na Geita
 
Back
Top Bottom