Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hiyo NI kampuni moja tu iliyopo kwenye soko la kimataifa la mazao kiumba makambako 👇👇👇
View: https://www.facebook.com/elolamafm/videos/1589379538419137/?app=fbl

Unazani ajira kwenye hayo mazao na ajira za kwenye dhahabu ipi inalipa vizuri?
In short hatuwezi kufanana, mnategemea mazao, tunategemea dhahabu

Leo nipo kata moja ya Bukandwe wilaya ya mbogwe Geita, kwenye kata hii kuna migodi 7 ya dhahabu ( kanegere namba 1, kanegere namba 2, kanegere mlimani, shikalibuga, bukandwe, nhungwiza na mkweni). Kuna muda mapato yaliyokuwa yanakusanywa kwa siku kutoka mgodi wa kanegere mlimani ni zaidi ya million 6 , swali, je unazani hela yote ilifika kwa serikali? Uzembe wa serikali unawadanganya nyie msioijua dhahabu

Yaani hata muwekewe makampuni 100 hamuwezi kufikia kipato cha kwenye dhahabu
Mji ulio karibu na migodi hii ni Masumbwe. Ukitaka kujua watu wanahela basi fika kwenye mji huu
 
Dhahabu ni ya kubahatisha ila Kilimo ni uhakika zaidi.

Kabla ya kuja huko Masumbwe takwimu ziko wazi hiyo ndio Mikoa ya watu maskini pamoja na hizo Dhahabu zenu 😂 😂
 
Hiyo ni kwenye makaratasi 😂😂🤗🤗 onyesha ushahidi on the ground. Hata mnapolala matajiri mnapgopa kutuonyesha au utajiri wenu wa Michongo ya Ibilisi?
Na mazao siyo kwamba hayapo, kuna mpunga ndio zao kuu tunauzia soko la ndani hukuhuku na nchi jirani ( Rwanda, Burundi na DRC)
 
Sasa makaratasi yanatoa takwimu wapi kama sio ground? 😂😂

Kama huko Kuna hela mbona viwanda na makampuni yasije kuwekeza huko?
 
Kwa akili timamu kabisa unaamini mkoa wenye dhahabu kila kona uzidiwe kiuchumi na mkoa unaotegemea miti na mazao 😂😂😂?

Kama unauelewa mpana juu ya mambo ya uchumi unazani hiyo GDP ya mkoa wa Geita ndio uhalisia wa uzalishaji wa mkoa au ni uhalisia wa kile serikali inachoambulia?

Kwenye dhahabu serikali inachopata ni kidogo sana na kinachobaki kwa watu kihalali na kinachobaki kwenye mikono ya wapigaji ni pesa nyingi sana.Takwimu zinakuwa sio sahihi kutokana na kuchukuliwa tathmini ya kile serikali inachopata.
Ukitaka niamini hizo data za GDP za mkoa, lazima zionyeshe ni dhahabu kiasi gani imezalishwa na hapo ndio waseme serikali imepata kiasi gani ( na ninavyozani hawawezi kuweka takwimu za wazi lazima wapike kuficha mambo yao.

Geita peke yake inaweza kuendesha Budget ya serikali, yaani huko kwingine pote mle bata tu.(Hapo mpaka tuwe na viongozi wasio na akili na mitazamo kama yenu)
 
Sasa makaratasi yanatoa takwimu wapi kama sio ground? 😂😂

Kama huko Kuna hela mbona viwanda na makampuni yasije kuwekeza huko?
Sasa kwa ground mtuwekee na makazi ya watu mnapoishi matajiri tuone na tupime kama nyie ni matajiri kweli, la sivyo mtaendelea kuwa matajiri kwenye makaratasi ya serikali tu 😂😂😂
 
Sasa makaratasi yanatoa takwimu wapi kama sio ground? 😂😂

Kama huko Kuna hela mbona viwanda na makampuni yasije kuwekeza huko?
Unazani viwanda vinawekeza bila kuzingatia vigezo vya msingi?
1. Raw materials zinapatikana? Kwa dhahabu sawa, samaki sawa, na mpunga sawa. Ndio maana kumejaa viwanda vya mpunga, dhahabu na uvuvi
2. Wafanyakazi wanapatikana? Kwa population iliyopo Geita hakuna ugumu, shida ni kwamba hutopata wafanyakazi kwa urahisi kama kiwanda chako utakiweka karibu na migodi ya dhahabu kwa sababu migodini malipo ni mazuri na yapo juu.
3.kuhusu soko hakuna shida population ni kubwa mno ( karibia mara nne ya mkoa wa njombe). Shida ni namba 2 hapo juu unaweza jikuta gharama za uzalishaji zipo juu utafeli kwenye soko
4. Kwa ufupi ni kwamba mgodi mmoja wa dhahabu (wenye wachimbaji wadogo wadogo) unauwezo wa kuzalisha zaidi ya ajira elf3 . Je huko kwenu kuna viwanda vingapi? Kila kiwanda kinaajiri watu wangapi?
 
Povu sana ,yaani vibarua ndio Ajira? 😂😂

Mbona huko migodini kumejaa watu maskini?

Mwisho mambo ya mipunga yanatoka wapi wakati mnasema huko Kuna Dhahabu ? 😂😂

Acha porojo wewe maskini wa Geita
 
Dhahabu ni ya kubahatisha ila Kilimo ni uhakika zaidi.

Kabla ya kuja huko Masumbwe takwimu ziko wazi hiyo ndio Mikoa ya watu maskini pamoja na hizo Dhahabu zenu 😂 😂
Unazungumzia dhahabu ipi?🤗🤭😂 , haujui hata dhahabu inapatikana vipi, sema ueleweshwe
 
Povu sana ,yaani vibarua ndio Ajira? 😂😂

Mbona huko migodini kumejaa watu maskini?

Mwisho mambo ya mipunga yanatoka wapi wakati mnasema huko Kuna Dhahabu ? 😂😂

Acha porojo wewe maskini wa Geita
Nimeshajua shida yako, uelewa wako wa mambo ya economy/ commercial ni mdogo sana. Nimekutajia idara zinazotoa ajira kwa wingi
1. Mining
2. Agriculture ( kilimo cha zao la mpunga)
3. Uvuvi ( lake Victoria)
Sasa unataka tuwekewe viwanda vya parachichi😂😂😂?
 
Ya Masumbwe
Kula hiyo chuma kwanza 💥 👇
1747563026041.jpg

Sasa ebu post makazi ya matajiri hapo makambako 🤗😂😂
 
Zote hamna kitu ndio maana badala ya maskini kupungua mnazidi kuongezeka.

Hivi unajua kwamba Kwa mujibu wa sensa hivyo vimikoa vyenu vinaongoza Kwa vijumba vya miti na udongo?
Kuna dhahabu ya vikole na dhahabu ya mkanda, sasa hiyo unayosema ni ya kubahatisha ni ipi
 
Zote hamna kitu ndio maana badala ya maskini kupungua mnazidi kuongezeka.

Hivi unajua kwamba Kwa mujibu wa sensa hivyo vimikoa vyenu vinaongoza Kwa vijumba vya miti na udongo?
Weka ushahidi 😂😂😂 na isiwe kwenye karatasi tu, uonyeshe pia hizo nyumba zinapatikana kijiji kipi,
In short tunawazidi kila kitu, wingi wa matajiri tunawazidi na wingi wa maskini tunawazidi 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom