Pakeni rangi hayo mabati.Njombe tc
View attachment 3333227
Ili wafiche kutu 😂😂😂🤗. Nyumba zenyewe Old fashioned hata zikipakwa rangi nothing will changePakeni rangi hayo mabati.
Nyumba za matajiri 😂😂😂😭😭😭😭😭😭Njombe tc
View attachment 3333227
Nyumba za matajiri 😂😂😂😭😭😭😭😭😭
Mji una sehemu ya makazi na biashara njombe haichanganyi mambo Kama Kijiji haki Cha katoro visit njombe uje ubaki mdomo waz hizo NI nyumba za biashara tu za kuishi Kama hiz zpo za kutosha [ATTACH type="full"]3334264[/ATTACH]Hali ya hewa njombe tc ndo inachangia kutu kutokana na unyevu na mvua nyingi hasa maeneo ya makete dc , njombe tc ,lupembe na baadhi ya maeneo ludewa ila makambako ,wangingombe ,na mtwango haya maeneo hayana kutu kutokana kuwa na hali ya hewa tofauti ya msitu wa tanwat ni eneo ambalo Kama lilitenganisha Hali mbili za hewa ukanda wa tambarare na miinukoIli wafiche kutu 😂😂😂🤗. Nyumba zenyewe Old fashioned hata zikipakwa rangi nothing will change