Munaishiaga kutoa ahadi tu, na sio kutekeleza kile mlichoahidi.View attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Hata JPM mlitaka
Jinsi mnavyoreport habari, ni bora wangeachiwa wanahabari wenyewe wareport. Rais Samia anajenga Stand kweli!!
Watakuambia mama katoa pesa,wakati ni pesa ya serikali wakti kwao mchambawima hakuna chochoteMunaishiaga kutoa ahadi tu, na sio kutekeleza kile mulicho ahidi.
Tazama machinjio ya vingunguti, mpaka leo ni miaka mingapi imepita (tangu mulipo ahidi) na haijakwisha?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hagaya hana ukanda wala ukabila mkuu wangu,Hangaya mjanja Sana anamwaga mihela sukumagang,maana anajua huo ndo mtaji wa kuingia Ikulu.
Ukijitenga na sukumagang,
Ukijitenga na JPM.
Unasngukia pua asubuhi siyo jioni.
Au nasema uongo ndugu zangu!
Mbona haikuwa hivi ilivyo mpaka kaja AndersonAnderson anafanya kazi ila kahama inamapato mengi kutokana na mazao,dhahabu na biashara ya maduka,lodge,vituo vya mafuta etc
Ni JABALI SIO JABARI wewe MkuryaJabari la siasa [emoji23][emoji23]

sijakuelewa unamainisha nn unaposema mapato ya ndani na kodi.kumbe kodi si mapato ya ndani?we need to know what are sources of gvt revenues?Bajeti ya serikali = Mapato ya ndani + Misaada toka nje + Makusanyo ya kodi
Wamebaki Kama nzi waliofia kwenye kidonda kibichiWaulize chawa wenzako wa kipindi Cha Magu Wana Hali gani sasa hivi.
Mkuu hata wewe ni source kwani hujui?sijakuelewa unamainisha nn unaposema mapato ya ndani na kodi.kumbe kodi si mapato ya ndani?we need to know what are sources of gvt revenues?
CHAWA WA UFIPA WAO VIPI HALI ZAO MKUU?Wamebaki Kama nzi waliofia kwenye kidonda kibichi
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Tumfikirie 2025 tumpatie kijiti bwa shee ili atuvushe mkurugenziInasadikiwa Mkurugenzi wa Kahama Town Council ndio Mkurugenzi bora Tanzania kwa sasa,
Rais wa 2025 tunaye ambae ni Mhe Samia Suluhu HassanTumfikirie 2025 tumpatie kijiti bwa shee ili atuvushe mkurugenzi
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kaja lini?kama hujui heri unyamaze,anderson jpm kamkuta kahamaMbona haikuwa hivi ilivyo mpaka kaja Anderson
Khaaaa,View attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Upumbavu na ujinga wa wananchi ndio mitaji ya Wanasiasa.. Shame on ccm.View attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
sawa ndugu mkurugenzi tumekuelewa.Inasadikiwa Mkurugenzi wa Kahama Town Council ndio Mkurugenzi bora Tanzania kwa sasa,
sijakuelewa unamainisha nn unaposema mapato ya ndani na kodi.kumbe kodi si mapato ya ndani?we need to know what are sources of gvt revenues?