Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Bajeti ya serikali= Mapato ya ndani + Mikopo + fadhilaMkuu unataka tena tuanze kutafuta dikshenari za wizara ya fedha?
Kama unaona vipo sawa kitoe kimojawapo, hiyo equation itaendelea kubaki sahihi...
Ngoja nikurahisishie...
Bajeti ya serikali = Mapato ya ndani + Fedha za wahisani
,Taarifa nzuri sana hii.
