Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,575
Msajili aiombe msamaha CCM kwa kuvunja kizimba cha Chadema
Kumbe Mgeja aliuawa?Na wewe upo huko Kahama?
----
Hakuna kilichonifurahisha huko Kahama, kama kurestishwa kwa MUGEJA kutokana na yale mambo ya 29'OCT. Alikuwa ana kiherehere baba yuleeeeeee... kama vile Nchi hii wasio CCM, hawana haki ya kuishi!
Mwambieni Farao na Majeshi yake . Tunaelekea Kaanani. Hakika hatutarudi tena nyuma.Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Kwenye hiyo picha mbona cha ccm hakionekani?Vya ccm vyote pia vipo kwenye hifadhi ya barabara lakini wana Chadema hawavigusi kabisa!!!
Ccm wanakaribia kukata moto ndiyo maana wanaruka-ruka ovyo!!
Barabara za uma zilizo chini ya taruraUmejileta. Barabara ipi? Hujui kitu kaa kimya
Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Yes,
nadhani ni vizuri mazingira yakawekea safi baada ya kuharibiwa na watu wa fujo, matusi na uropokaji nonsense 🐒
Huu ni uchokozi mkubwa wanataka turudi October 29?Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Yap ni kweli ata Abdul amesema hivyoYes,
nadhani ni vizuri mazingira yakawekea safi baada ya kuharibiwa na watu wa fujo, matusi na uropokaji nonsense 🐒
Mbona kama kiko barabarani sana. Kweli ni Siasa apo???Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Na nyie vunjeni vyao,acheni kulialia wakati option IPO.Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena.
Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia.
Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
View attachment 3591848
Kwaiyo Demokrasia kwenu ndio kuvunja Sheria zilizowekwa¿¿¿¿
Kwaiyo Demokrasia kwenu ndio kuvunja Sheria zilizowekwa¿¿¿¿
Vipo vya CCM pia vimevunja na Manispaa!!!Na nyie vunjeni vyao,acheni kulialia wakati option IPO.
Naomba jibu
CCM kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 Chadema pia walishiliki CCM ilipata % ngapi unachojua ww??
Mm najua ni %98
Sasa Uchaguzi mkuu kumbuka Chadema wamewasusia CCM !!!
sasa mlitaka CCM ipate chini ya %98¿¿¿
Ingekuwa chini yake!!!
ndio sasa mngeweza kutengeneza hoja za Msingi!!!!
Unataka cha ccm?Kwenye hiyo picha mbona cha ccm hakionekani?