Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,725
- 92,157
Hii nchi kuna tatizo watu wana hasira sana, dispute kama hii inaweza kuwa solved bila violence… Nyie tusijifanye hatuoni, kuna tatizo kubwa sana.
Ni kama nchi imetoboka.
Hii nchi ni kuchukiana kwa sasa ni Mila na desturi. Hasa ukifanikiwa hakuna atakayekuelewa