Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,457
- 11,565
Uhuru umepitiliza kila mtu anaamua anavyotaka
Kwa nini mnawaita watu wa mfumo?Kuna V8 plate no. ya raia ilikanyaga boda akafa apo apo kibaha haikusimama boda wenzie wakaona mbele kam kuna kajam flan wakaiungia,gari ndani ina watu kam wanne wote wa mfumo na wanavyamoto..walisimama wakatoa vyuma wakabebwa watatu wakawekwa nyuma ila walienda kuwaachia morogoro,uzuri washkaji wana roho nzuri,walipiga simu ofisini kwao,kesho yake maziko walikuja wenzao kuzka na kuleta pole
imagine amegongwa ndugu yako au wewe halafu mgongaji akasepa bila kutoa msaada utajiskiaje?Was*nge sana,mwenyewe nimekutana na kisanga kama hiki ila mwenye pikipiki wala hakuumia na wala hakudondoka aliyumba tu.
Sikuona sababu ya kusimama palepale kutengeneza foleni, wakadhani nakimbia,wakablock barabara na miluzi kibao.
Mhusika hakuwa boda ni pikipiki binafsi hlf wa kishua siyo njaa njaa,tukaelewana bila hata mie kushuka.
Mabodaboda walikuwa tayari wanavuta milango nishuke,hawakuamini jamaa alipoamua kupotezea na kuondoka bila kuhitaji hata mia.
Ni mwezi huuhuu wa 8.
Kuna mdau hapo kauliza Bodaboda akigonga huwa anasimama?imagine amegongwa ndugu yako au wewe halafu mgongaji akasepa bila kutoa msaada utajiskiaje?
Angalau wewe umeona. Kuna hasira sana na chanzo ni unemployment ya wale wanaomaliza vyuo wakitegemea kazi ila hawazipati. Hata 29/10 ilikuwa hivi hivi.Hii nchi kuna tatizo watu wana hasira sana, dispute kama hii inaweza kuwa solved bila violence… Nyie tusijifanye hatuoni, kuna tatizo kubwa sana.
Ni kama nchi imetoboka.
Hata angesimama ingekuwa hivyo hivyo bodaboda huwa akili hawanaTukio lililozua taharuki jijini Dar-es-Salaam ambapo dereva wa gari kagonga boda, (inasemekana kafariki) kisha kukimbia kwa kasi
Boda wenzake wakaanza kumfukuza kwa kasi, baada ya kumpata hiki ndicho kilichotokea
Angeitoa tu basi wanatawanyika wote. Au angepiga juuWamemkuta jamaa hana chuma cha mzungu wangemwagwa watu ubongo hapo mbaya sana hii
Tukio lililozua taharuki jijini Dar-es-Salaam ambapo dereva wa gari kagonga boda, (inasemekana kafariki) kisha kukimbia kwa kasi
Boda wenzake wakaanza kumfukuza kwa kasi, baada ya kumpata hiki ndicho kilichotokea
Hizi kesi zinategemea mazingira ilipotokea hiyo ajali,kijijini simama toa msaada.imagine amegongwa ndugu yako au wewe halafu mgongaji akasepa bila kutoa msaada utajiskiaje?
Ndugu yangu kama ni Bodaboda sitashangaa akigongwaimagine amegongwa ndugu yako au wewe halafu mgongaji akasepa bila kutoa msaada utajiskiaje?
Haya baada ya kupasua kioo roho inarudi?....Mjinga wewe hasara zaidi ya roho?
Hapo wengi wanaongozwa na hasira za maisha na siyo kwa sababu ya ajali iliyotokea. Vijana wengi wenye maisha ya kuunga-unga wamejawa na chuki kwa wenye afadhali ya maisha. Nchi yenye vijana wengi wasio na ajira kama Tanzania, huwa inakuwa kama petrol inayosubiri moto.😆😆😆 kuna wasenge wanajua kutia hasara, yaani alivyovunja hicho kioo hata hajali
Du basi kama Nchi tumefikia pabaya sanaNdugu yangu kama ni Bodaboda sitashangaa akigongwa