Kagonga boda, kakimbia kisha kadakwa

Kagonga boda, kakimbia kisha kadakwa

Hii nchi kuna tatizo watu wana hasira sana, dispute kama hii inaweza kuwa solved bila violence… Nyie tusijifanye hatuoni, kuna tatizo kubwa sana.

Ni kama nchi imetoboka.
Kuna shida Sana Nchi hii, watu Wana hasira na kisirani kwenye mambo yasiyo na Maana hizi Hasira wangewekeza na kwenye mambo mengine tungekuwa mbali sana kama Taifa
 
Hii ni mbaya mkuu!

Tunayetakuwa kumuonea na kummalizia hasira zetu hatumuwezi ndio maana tunamaliziana hasira wenyewe kwa wenyewe.

In a bigger picture, hali si nzuri… basi tu hata serikali yenyewe inapambana kubaki madarakani, watu sio vipaumbele vyao.
Mnyonge anatumia uwezo na nguvu nyingi kumnyonga mnyonge mwenzake
 
Back
Top Bottom