Kagoda: Ni Rostam

Kwanza kabisa Mkuu Mwanakijiji na timu nzima ya Cheche hongereni sana kwa hii kazi kubwa,

Nimekisoma chote na hali inatisha,sasa kuna ishu moja ambayo haileweki.huyu aliyekua waziri wa fedha Basil Mramba anasahaulika sana. Jaribio lolote la kuwakwepesha hawa majambazi na mkono wa sheria litakua ni jaribio la ku-test hasira za watanzania na wapenda haki.

Kama serikali inataka kuwe na amani basi iache sheria ichukue mkondo wake,Tanzania ni yetu sote na hakuna mtu mwenye haki ya kutunyonya halafu serikali ikae kimya.Message ishakua very clear ndiyo maana tukawakataa wakoloni.Leo hii wanakuja raia wa kigeni kutuibia halafu serikali inakaa kimya au inajaribu kuwalinda huku waalimu wetu wanaoteseka kuanzia alfajiri hadi usiku kwa chaki wakielekezewa mitutu ya bunduki ktk kudai haki,watoto maskini wa kitanzania wanapigwa mabomu ya machozi wanapodai haki yao,serikali inakua na haraka ya kuwanyanyasa watanzania wanaodai haki yao kuliko kuwachukulia hatua wanyonyaji na wahujumu uchumi wa taifa letu tena raia wa kigeni ambao hata inawezekana hela zenyewe wamewekeza mchi za nje

Mimi natoa wito kwa watanzania kupandisha hasira kuliko ilivyokua enzi za uvamizi wa Dikteta Idd Amini katika Ardhi ya Tanzania,wananchi msiwe na subira kwani sasa subira yavuta shari kwanini serikali isiwe na subira wakati waalimu walipotangaza mgomo wa kudaia haki zao na badala yake wakakimbilia mahakamani usiku kuzuia au kuidhulumu haki ya walimu?

Nimejua ni kwanini watu wengine hata wasomi wanaamua kutumia njia ya mkato kuleta mapinduzi ya haraka,no we cant wait for that!
 
Ndiyo maana JK alimuondoa Rostam kwenye uweka hazina wa CCM mapema kwa sababu JK alikua mtu wa kwanza kujua Rostam ni mhusika? Sasa tunapata picha,lakini inabidi watanzania tuhakikishe hatolewi mtu kafara hapa mpaka yule mwizi wa mwisho na hata waziri wa fedha enzi hizo hata kama hakuhusika au kunufaika na huo mshiko kama alizembea,basi tunae.

Nadhani hatua za kwanza kabisa kwa hao watu itakua ni kuziachie nyadhifa zozote za uma walizo nazo halafu tuwashughulikie kama vibaka wengine.Akiachwa hata mmoja basi Tanzania haitatawalika
 
Hii ni hatari sana,tena kwa usalam wa Nchi yetu.Kama ni kweli(Yes) hadi viongozi ambao wako kwa ajili ya kulinda maambo yahusuyo usalama wa nchi.\

Mwanakijiji umenishtua sana na hnaogopa sasa,Nilikuwa nahisi tu na kusikia kuwa kagoda ni dudu kubwa.

Asante kwa kumsaidia DPP,umewasilisha jibu ambalo pinda alilisahau jana kulijibu.

"kama CCM ikiacha misingi yange mie nitaiacha sababu CCM siyo Mama Yangu".

Misingi ya chama ilianza kupotea toka lini?

Ile Act ya 1996 inasemaje?
 
Huku rais akiwataka watanzania kuvumilia hali ngumu

Mara sitembei na fuko la hela. Ngoja tuone huu moto utakavyounguza sasa.Sijui walimu wanaidai serikali sh bilioni ngapi ambazo waalimu wanaelekezewa mitutu ya bunduki au ni kiasi gani kilitakiwa kuongezwa kwenye bajeti ya elimu ili wana na mabinti wa kitanzania wasomwe kwa mkopo wa asilimia 100 au angalao 80 kwa kila mwanafunzi ili dhana ya cost sharing ionekane?

Sijui wastaafu wa EAC wanaidai serikali kiasi gani hadi wanyanyaswe na serikali yao.Nadhani ndoto ya Mashujaa wetu waliojitoa kwa jasho na damu ili kutuletea ukombozi bado haijatimia.Kuna haja kuamsha ukombozi wa pili,kuna haja ya kujitolea tena kwa jasho na damu kuikamilisha ndoto hiyo. Mashujaa wetu walitangulia mbele ya haki katikati ya harakati au baada ya harakati wapumzike kwa amani

Heko kwa waandishi na mhariri wa kijarida cha cheche,mmetekeza sehemu yenu ni zamu yetu sasa na Mungu awape nguvu
 
Hii ni hatari sana,tena kwa usalam wa Nchi yetu.Kama ni kweli(Yes) hadi viongozi ambao wako kwa ajili ya kulinda maambo yahusuyo usalama wa nchi.\

Mwanakijiji umenishtua sana na hnaogopa sasa,Nilikuwa nahisi tu na kusikia kuwa kagoda ni dudu kubwa.

Asante kwa kumsaidia DPP,umewasilisha jibu ambalo pinda alilisahau jana kulijibu.

"kama CCM ikiacha misingi yange mie nitaiacha sababu CCM siyo Mama Yangu".

Misingi ya chama ilianza kupotea toka lini?

Ile Act ya 1996 inasemaje?

Si utani mkuu Gembe hali inatisha, nikikumbuka siku ile Balali anahojiwa na waandishi wa habari akisem a kuwa yeye ni mtu safi na moyo wake ni mweupeeeeeee, na hii ya juzi juzi ya Rostam kwamba yeye si fisadi na analitumikia taifa hili hukuku komfo likiwa juu!!!!!!

No wonder hawa jamaa kuua mtu nadhani kwao si ishu. Ngoja tuone mwisho wake.
 
Interesting article.. I know for a fact kina Apson, Ballali, Mkapa... probably and Kingunge kweli wamepiga hili tukio and Rostam of course.. About Manji, and i heard this 4months ago.. walimuomba alipe Kagoda's share lakini jamaa hana hatia.. so Manji hawezi guswa.. Apson anasiri za nchi kumshtaki ni ngumu sana labda wamuuwe.. Nalo ni swala gumu, wale watu wa usalama loyalty yao iko kwao wenyewe.. That guy is dangerous not to mention ndio kampa JK nchi.. Yule mwanae Tom who is also a closet homosexual was given Ubunge as a token to Mzee Apson... hii situation ni ngumu sana... I didn't like the way the richmond deal imejaribu kuwa connected na Kagoda.. its an entirely unrelated issue.. hapo kidogo dots zilikuwa zinaungwa pale ambapo hazipo.. but otherwise there is a considerable amount of truth in what has been said hapa.
 
mmmh!Wahenga walisema,Heri kafiri akufaaye kuliko Islam asiyekufaa.Kama tuliowakabidhi usalama wa nchi na maisha yetu wanakomba kila kitu,aibu kubwa kwa Tifa hili changa.
 
Interesting article.. I know for a fact kina Apson, Ballali, Mkapa... probably and Kingunge kweli wamepiga hili tukio and Rostam of course.. About Manji, and i heard this 4months ago.. walimuomba alipe Kagoda's share lakini jamaa hana hatia.. so Manji hawezi guswa.. Apson anasiri za nchi kumshtaki ni ngumu sana labda wamuuwe.. Nalo ni swala gumu, wale watu wa usalama loyalty yao iko kwao wenyewe.. That guy is dangerous not to mention ndio kampa JK nchi.. Yule mwanae Tom who is also a closet homosexual was given Ubunge as a token to Mzee Apson... hii situation ni ngumu sana... I didn't like the way the richmond deal imejaribu kuwa connected na Kagoda.. its an entirely unrelated issue.. hapo kidogo dots zilikuwa zinaungwa pale ambapo hazipo.. but otherwise there is a considerable amount of truth in what has been said hapa.

Hakuna mkuu,

Huyo apson anatakiwa kukamatwa mara moja na kuwekwa under detention.Inamaana hata ngekomba hazina yote angeachwa tu kwa kuwa ana siri ya Nchi? Utaratibu huu sikubaliani nao lazima apatiwe kibano kikali.

Manji nae mwizi tu,kwanini akubali kuhusika katika kuficha wahujumu uchumi.Sijui sheria inasemaje,lakini i'm sure sheria ikinyooshwa kabisa this guy sholud be under blust furnance.

Hakuna cha huyu jamaa kuwa usalama wa taifa wala nini,hata mkapa ana siri za nchi,hata wakuu wa majeshi pia wanakua na siri za nchi but huwa wanafukuzwa kazi na kukamatwa jinsi Kabila alivyomtimua Kalembe. jeshi limekosa nidhamu.alifanya hivyo. Hapa kwetu usalama wa taifa pia umekosa nidhamu,huyu jamaa hatakiwi kuachwa kabisa,na sisi wananchi tumeshaelewa utovu wa nidhamu wa mkuu wa usalama wa taifa,serikali inabidi iachie hayo majina haraka sana
 
Interesting article.. I know for a fact kina Apson, Ballali, Mkapa... probably and Kingunge kweli wamepiga hili tukio and Rostam of course.. About Manji, and i heard this 4months ago.. walimuomba alipe Kagoda's share lakini jamaa hana hatia.. so Manji hawezi guswa.. Apson anasiri za nchi kumshtaki ni ngumu sana labda wamuuwe.. Nalo ni swala gumu, wale watu wa usalama loyalty yao iko kwao wenyewe.. That guy is dangerous not to mention ndio kampa JK nchi.. Yule mwanae Tom who is also a closet homosexual was given Ubunge as a token to Mzee Apson... hii situation ni ngumu sana... I didn't like the way the richmond deal imejaribu kuwa connected na Kagoda.. its an entirely unrelated issue.. hapo kidogo dots zilikuwa zinaungwa pale ambapo hazipo.. but otherwise there is a considerable amount of truth in what has been said hapa.

Hakuna mkuu,

Huyo apson anatakiwa kukamatwa mara moja na kuwekwa under detention.Inamaana hata angekomba hazina yote angeachwa tu kwa kuwa ana siri ya Nchi? Utaratibu huu sikubaliani nao lazima apatiwe kibano kikali.

Manji nae mwizi tu,kwanini akubali kuhusika katika kuficha wahujumu uchumi.Sijui sheria inasemaje,lakini i'm sure sheria ikinyooshwa kabisa this guy sholud be under blust furnance.

Hakuna cha huyu jamaa kuwa usalama wa taifa wala nini,hata mkapa ana siri za nchi,hata wakuu wa majeshi pia wanakua na siri za nchi but huwa wanafukuzwa kazi na kukamatwa jinsi Kabila alivyomtimua Kalembe. jeshi limekosa nidhamu.alifanya hivyo. Hapa kwetu usalama wa taifa pia umekosa nidhamu,huyu jamaa hatakiwi kuachwa kabisa,na sisi wananchi tumeshaelewa utovu wa nidhamu wa mkuu wa usalama wa taifa,serikali inabidi iachie hayo majina haraka sana
 
Kikwete Muoga hawezi... anawaogopa mpaka kina Adadi anawapa ubalozi, Lumbanga.. itakuwa Apson kukamatwa.. japokuwa Lumbanga anasiri nyingi tuu.. JK. Ataishia kuwaonea kina Mramba na Yona maana wale ni wezi ambao hawana kamba inayomgusa yeye..
 
Mwanakijiji Heshima mbele Mkuu,

Huu ni Msumari na nashukuru Mungu umeweza kupata Mshika Nyundo maana watu walikuwa wanashindwa kusema badala yake tunaambia State Sponsored.
 
mmh there r hypocrites out there
some ppl cant stop talking talking even if its nonsense

cant u appreciate if someone is really good and deserving
if u have issues abt someone bring it ON and stop speculating.... u look dumb

u know who u r.... cant bother writing a name
 
Hakuna cha nchi kuyumba hao usalama wa Taifa si lolote kazi yao kubwa ni kuilinda CCM dhidi ya Wapinzani na kuwalinda kina Mkapa na RA.

Huyo Apson Mwang'onda anatakiwa naye awekewe muziki na DPP acheze mbele ya hakimu.
 
Hakuna mkuu,

Huyo apson anatakiwa kukamatwa mara moja na kuwekwa under detention.Inamaana hata angekomba hazina yote angeachwa tu kwa kuwa ana siri ya Nchi? Utaratibu huu sikubaliani nao lazima apatiwe kibano kikali.

Manji nae mwizi tu,kwanini akubali kuhusika katika kuficha wahujumu uchumi.Sijui sheria inasemaje,lakini i'm sure sheria ikinyooshwa kabisa this guy sholud be under blust furnance.

Hakuna cha huyu jamaa kuwa usalama wa taifa wala nini,hata mkapa ana siri za nchi,hata wakuu wa majeshi pia wanakua na siri za nchi but huwa wanafukuzwa kazi na kukamatwa jinsi Kabila alivyomtimua Kalembe. jeshi limekosa nidhamu.alifanya hivyo. Hapa kwetu usalama wa taifa pia umekosa nidhamu,huyu jamaa hatakiwi kuachwa kabisa,na sisi wananchi tumeshaelewa utovu wa nidhamu wa mkuu wa usalama wa taifa,serikali inabidi iachie hayo majina haraka sana

Move ya Manji naona ilikuwa ni karata ya ccm ya kisiasa kwasababu walitaka kumhusisha yeye na kudai kuwa ni miugomvi ya kibiashara/Wafanyabiashara.

Wana JF mnakumbuka tumetoka mbali sana kuanzia walipotaka kuitumia issue hii ya ufisadi kupanda chuki za kidini na kikabila miongoni mwa jamii ya watanzania.
Wananchi wakatae..Nadhani walishakataa....At least baadhi ya maeneo ya nchi hususan Tarime.

Tulishazungumza mengi sana hapa na ushauri tuliwapa...Lakini wamerudisha pesa na kujificha...Msamaha walikataa kuomba...Sasa tumefikia mahali ambapo hatujui karata yao nyingine kwasababu huko kuyumba kwa nchi hakuna mwananchi anayejali kwasababu wengi wao nchi inayumba long time ago...Kuna kitu kibaya kwenye uyumbaji wa nchi kama kukosa haki za kimsingi na kufukarishwa na viongozi mliowachaguwa? Kufanywa manamba kwenye taifa lenu wenyewe?

Kwa wale wapiganaji wa kweli Mungu awalinde kwani the cause is noble...Whenever its about the people's rights and freedom and above all...The well being of our nation and of the future generation...God bless you all.
God bless Tanzania...God bless Afrika.
 
Ahsante sana MMM.

Una haki ya kuomba kupumzika kidogo. Na naunga mkono hoja hiyo. Jitihada zako zinatia moyo na kutupa changamoto sisi wengine. Kama kila mmoja angetoa mchango kidogo tu, wa kuipigania nchi yetu basi natumai ingetuchukua siku kidogo sana kuikomboa. Ukiuliza mafisadi watakwambia TZ itakombolewa baada ya miaka 100, hata EL aliamini hivyo. Lakini wengine tunaamini (kwa moto huu) itakombolewa kesho!
 
toleo15.jpg

MKJJ ukiongeza kurasa utuombe/utufahamishe mapema, na safari hii vimaandishi vimezidi kuwa vidogo hujui huku kijijini kupata miwani ya kusomea mpaka Lions club waje toka Dar? ila leo umenikonga moyo "JOB DONE"
 
Nakumbuka maneno haya ambayo yaliyosemwa na mahabusu mwaka 2007 ya tarehe 14 march,wakati viongozi wa serikali walipokuwa wakitaka kuanza kutembelea magereza ya Keko,wakiongozwa na Waziri wa Sheria wa kipindi hicho mh. Mary Nagu.

moja ya maneno waliyosema ni haya

“Hatutaki suluhisho lolote kati yetu na polisi, wala hatumtaki (Kamishna Alfred) Tibaigana … sisi tunamtaka Lowassa, au waje gerezani Waziri wa Sheria na Katiba, Mary Nagu, Mkurugenzi wa Mashitaka Tanzania, Mwanasheria Mkuu, Mkurugenzi wa Upelelezi, au Hakimu Makazi Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu… kufika kwao gerezani ndio utatuzi wa kilio chetu,”

Maneno haya yamenijia muda huu,Hata ni kama kwa kuzugwa tu mahabusu wanamtaka Lowassa,Mpaka sasa hajawahi kwenda huko kuwaona,Mie nawaunga mkono hao mahabusu.Yes najua wapo watakao chukia na kama tunavyojua sauti ya watu wengi ni sauti ya mungu na mimi naomba tuseme

Na kwa kuwa makosa ya kina Mramba hayana tofauti sana na makosa aliyoyafanya mzee wa bangusilo,kara na wengine wengi

“Hatutaki suluhisho lolote kati yetu na Rais, wala hatumtaki Pinda … sisi tunamtaka Lowassa na wenzake wote waliohusika na RDC,KAGODA au waende Gerezani… kufika kwao gerezani ndio utatuzi wa kilio chetu,”

Ndiyo Nimetumwa ,na nimetumwa na Mungu kusema maneno haya

Similar Discussions

Back
Top Bottom