Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

Ndugu zangu nimefurahishwa sana kwa jinsi mlivyokuwa mnachangia na jinsi mnavyoonyesha uchungu tulionao na nchi yetu,,hakika nimesoma nakuamini sasa mungu anakwanda kufungua milango na kuonyesha ufisadi wote uliokuwa unafanyika na unaotarajiwa kufanyika,,,kweli hali ni mbaya ndugu yangu watu wanakula pesa kilaini kupita kiasi,,kweli tumelllamika na kuandika mengi ya kweli,,kama watanzania wenzangu na wengineo hawa watu wanaitaji maombi ya hali ya juu bila kuangalia wewe ni wa dini gani naomba tushiirikiane wote kwenye kufunga kuiombea nchi yetu na kumwomba mungu washugulikie wale wote wanaotafuna hela za wanakodi ,,katika maombi naomba muweke mambo yafuatayo

1))kabla ya kuomba jikabidhi mbele za bwana akusamehe makosa yote

2))mwambie mungu aonekane kwa kila mmoja anaetafuna nchi yetu isivyo halali,,,na kama unawafahamu naomba uwataje kabisa na mwambie mungu ashugulike nao,,

3))Tumwombe mungu atuondolee hali ya uoga hasa kwa wale mafisadi wote wa nchii hii,,hakika mungu hatatuacha,,,

tukubali kufunga J5 Ijayo na naomba wenzangu mniunge kwa hili maombi yatawangoa.....amini usiamini kenya wameiba ila kwa kusali na kuomba amani itakuwepo na ukweli utaonekana ndugu zangu,,

Nawatakia michango mema kwa kila
hoja kuwaondoa mafisadi hawa
 
Pdidy,

"Mungu" huwasaidia wanaojisaidia.Zaidi ya kuomba na kufunga unafanya nini?
 
Serikali itoke usingizini wapo wafanyakazi wa serikali wakiwemo wa benki kuu wana miliki mali kuliko wafanyabiashara na mishahhara yao inajulikana.Je na hii tunasubiri uchunguzi wa makampuni ya nje?.
 
Pdidy nakuunga mkono,pamoja na maombi uwazi ni muhimu na wenye taarifa wasiishie jambo forums tu,waende na sehemu nyingine ambako taarifa zinaweza kuwafikia watu wengine
 
Nani hasa mmiliki wa Kagoda?

Mwandishi Wetu Februari 27, 2008
Raia Mwema

UTATA unazidi kugubika ilipo na anayemiliki kampuni ya Kagoda Agricultural Limited (KAL) ambayo inatajwa kuchota kiasi cha Dola za Marekani 30,732,658.82 (zaidi ya Sh Bilioni 40) kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika akaunti ya Madeni ya Nje (EPA).

Uchunguzi wa muda mrefu wa waandishi wa habari na hata wa makachero kuhusu mmiliki halisi wa kampuni hiyo na zilipo ofisi zake, unaelekea kugonga mwamba.

Kampuni hiyo ambayo kumbukumbu za Msajili wa Makampuni (BRELA) zinaonyesha kwamba ofisi zake zipo Kipawa Industrial Area Plot namba 87, Temeke, Dar es Salaam lakini eneo hilo lina makampuni tofauti jirani lakini na namba hiyo haionekani.

Badala yake wachunguzi wanakuta viwanja kuanzia Plot 77 na hata Plot 86 na Plot 88 katika eneo hilo maarufu la viwanda, lakini plot ilipo Kagoda haionekani popote hata kwa kutumia wataalamu wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi.

Katika hali isiyo ya kawaida, hata namba za simu na anuani zinagonga mwamba baada ya namba hizo kwa sasa kuwa na wamiliki tofauti lakini wamiliki wa awali wanafichwa ama hawaonekani katika kumbukumbu zozote rasmi mbali ya maneno ya mitaani.

Tayari waliotajwatajwa katika kuhusika na Kagoda wametoa matamko kwa watu mbalimbali na hadharani kwamba hawana uhusiano wowote na kampuni hiyo.

Hao ni pamoja na Mbunge wa Igunga Rostam Aziz ambaye alisambaza matangazo magazetini kiasi cha mwezi mmoja uliopita, akieleza kuwa Kagoda haikuwa kampuni yake.

Katika hatua nyingine, aliyesimamia na kufuatilia pesa za EPA ndani ya BoT na hatimaye kuchukua fedha za kampuni hiyo katika Benki ya CRDB Limited, tawi la Azikiwe, anajulikana waziwazi na wafanyakazi wa maeneo hayo, lakini kumbukumbu zake zinaelezwa kupotea ama kufichwa na wahusika kwa nia ya kuwasaidia watuhumiwa ama kwa sababu za kichunguzi.

Hata hivyo, inaelezwa kwamba wapelelezi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) walikwisha kuchukua nyaraka zote muhimu ikiwa ni pamoja na kadi ya benki iliyotumika kufungulia akaunti tawi la Azikiwe, ikiwa na picha na saini za wahusika wote muhimu kwa uhakiki zaidi.

Sakata la BoT, na zaidi akaunti ya EPA, limechukua sura mpya baada ya kuelezwa kwamba sasa mkakati wa Serikali ni kuhakikisha fedha zote kiasi cha shilingi bilioni 133 zinarejeshwa kabla ya kuchukuliwa hatua kwa wale waliofanya makosa ya kijinai katika kupata fedha hizo.

Imeelezwa katika hali ya kutatanisha kwamba tayari hata fedha kutoka kwa wamiliki wa Kagoda nazo zimekwishakuanza kurejeshwa japo kwa awamu, jambo linalodhihirisha kwamba Serikali inawafahamu kwa hakika kabisa wamiliki wa Kagoda na inawaficha ama inataka kuwalinda kwa sababu zilizodhahiri kwamba ni za kisiasa zaidi.

Katika uchunguzi wa awali wa mkaguzi wa nje, Samuel Sithole, kutoka kampuni ya kimataifa ya Deloitte & Touche yenye makao yake Afrika Kusini, alionya kuhusu matendo ya kihalifu ndani ya Kagoda kabla ya kuandikiwa barua na Waziri wa Fedha, Zakia Meghji kwamba fedha hizo zilienda katika mambo "nyeti" ya kiusalama.

Hata hivyo, siku nne baada ya kuandika barua hiyo, Meghji alifuta barua hiyo akielezea kupotoshwa na aliyekua Gavana, Dk. Daudi Ballali, uamuzi ambao ulimgharimu kwa kiasi kikubwa mwanamama huyo ambaye sasa ameachwa nje ya Baraza la Mawaziri.

Hatua ya kuelekeza suala hilo la akaunti ya EPA katika kufidia zaidi inaelezwa kuwa ya makusudi ya kutaka kunusuru wahusika, lakini pia hata Serikali yenyewe na hasa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho taarifa zinaonyesha kwamba sehemu ya fedha hizo ziliingia katika uchaguzi wake.

Lakini wachunguzi wanasema hata kama hatimaye suala hilo litakuwa limefikia ukomo kwa wahusika kulipa fedha walizochota, bado mbele ya safari suala hilo itabidi liibuke tena.

Wanasema linaweza kuibuka kwa kuangalia nyaraka zilizoghushiwa kwa kuwa kosa la kughusi ni zito na lenye kubeba adhabu kubwa zaidi.

"Wanaahirisha tu tatizo. Hapa suala si wingi wa fedha wala nani aliyekwiba. Tatizo ni kwamba watu hawa walighushi nyaraka. Kwa vyovyote vile kughushi ni kosa zito na tutashangaa kama upelelezi hautaelekezwa katika eneo hilo", anasema mtaalamu mmoja wa fedha ambaye hakutaka kutajwa.

Anaongeza: "Hawa watu walidanganya, wakaiba. Hii si kesi ya madai. Wanastahili kushitakiwa.

Kwanza ungetarajia wangechukuliwa hatua za kushitakiwa kwa sababu walighushi nyaraka. Hilo linalofanywa sasa la kutaka walipe tu fedha lingekuja baada ya hukumu ya suala la kughushi."

"Dhahiri hii ni moja ya njia ya kutaka kuwalinda watu. Na kama inavyosemwa hawa watakuwa ni watu wakubwa. Sasa hii inaonekana kuwa kesi ya madai badala ya kuwa kesi ya jinai. Kwanza wengine tunaambiwa hata hayo madeni hayakununuliwa," alisema.
 
Nimekutana na khabari kuwa kuan fweza nyingine za BOT zimeliwa kiajabu ajabu na kampuni yenye jina la Kiganda-Kagoda Agriculture Limited.

Baya zaidi ni jinsi gani ambavyo udhaifu wa kiutendaji na utaalamu wa wafanyakazi wa BOT ulivyokuwa mpaka mikataba na makampuni hewa japo yana majina makubwa ukatokea. Hii inadhihirisha kuwa kuna Wizi uliokubuhu au ni uzembe wa hali ya juu.

Maswali:-
  1. Hawa Kagoda ni Kamdudu gani?
  2. Huyo wakili wao Sanze ni mitu gani?
  3. Uzembe wa namna hii an kukaliwa kwa ripoti hii, kuna maana gani kwa wale waliokuwa na imani na Balali hata kumuita kondoo wa kafara?
  4. Je ni kwa nini hii ripoti inatoka leo hadharani na si awali?
  5. Je hii ni mbinu ya Serikali (CCM) kumsukumia kila kitu Balali kuhusiana na BOT ili kuficha kucha zake (CCM) za pesa za Meremeta, Tangold, Mwananchi Investments na Deep Green Pockets, Minara ya Babeli na pesa za EPA(ushunguzi wa Masawe)?
  6. Je hii ni kulipiza kisasi kwa kuwahiwa na kuzidiwa kete na Balali ambaye katangaza kujiuzulu na kuwaacha Ikulu, Hazina, BOT na CCM solemba?
  7. Je huu ni ulaji mwingine ambao ulifanyika muda mfupi kabla ya Uchaguzi ili kuhakikisha kuwa "Tsunami" linawamaliza Wapinzani? je Kisima cha Meremeta, Yangold na Deep Pockets kilikuwa kimekaukaa namna hiyo?
  8. Je yawezekana huu ulikuwa ni uchotaji wa mwisho mwisho baada ya uchaguzi kuahirishwa kutokana na Mgombea wa Chadema kurudisha namba?
New BoT 40bn/- rip-off revelations:What exactly the auditors said

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

SENIOR officials at the Bank of Tanzania (BoT) are reported to have colluded in orchestrating a massive fraud involving foreign exchange funds to the tune of almost $30.8m (approx. 40bn/-), it has now been verified.

According to the findings of a BoT audit conducted by the international firm Deloitte & Touche last year, the rip-off is believed to have been facilitated through clear falsification of key documents.

As already reported by THISDAY, the uncovered fraud was with regard to payments made by the central bank to a certain, little-unknown Dar es Salaam-based company going by the name of Kagoda Agriculture Limited.

This company was paid by the BoT a total sum of $30,732,658.82 on the basis of 12 deeds of assignment it had purportedly signed with the government's foreign creditors.

Kutokana na huu mshiko wa Kagoda ambao Zakia Meghji alidai kuwa Ballali alimwambia ni kwa ajili ya Usalama wa Taifa, hivyo kwa kusoma rejea za uchunguzi wa Delloite Touche, haya yalikuwa ni malipo kwa wanaoidai Serikali na si mkopo.

Je kama hizi pesa zilikuwa ni sehemu ya fedha za EPA, ni vipi malipo kwa madeni ya serikali zianze kurudishwa na waliokuwa wakiidai Serikali eti Wanarudisha mikopo?
 
Asante Mchungaji! Hii ishu nadhani iliongelewa kwenye thread zingine na inahitaji ifunguliwe mjadala mrefu, kwani ishu ya kusema watarudisha pesa haipo kabisaaaa! Hawa wakamatwe na wawekwe jela wajibu mashtaka ambayo ni pamoja na kughusi na kuiba pesa za umma. Wakiturudishia well and good kama siyo wafilisiwe.
 
Revealed: Kagoda`s secret money trail

The main entrance to CRDB`s Azikiwe branch, as pictured yesterday when the place was closed.
-Huge funds transferred from BoT to CRDB bank account, then elsewhere

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

FRESH details emerging from the Bank of Tanzania’s external payment arrears account scandal show that the billions of shillings paid to the dubious Kagoda Agriculture Limited company was channelled through an account at CRDB Bank’s main Azikiwe branch in Dar es Salaam.

According to THISDAY’s latest findings, the payments of over $30.8m (approx. 40bn/-) from the EPA account to the Kagoda company during 2005/06 were made through account number 01J1021795701 at CRDB Azikiwe located in the city centre.

It is understood that after the payments were confirmed, the money was swiftly transferred to other bank accounts as part of an elaborate money-laundering operation under the supervision of a certain prominent local business tycoon.

Although the names of two virtually unknown individuals - John Kyomuhendo and Francis William � are listed as directors in the company’s official documents, it has come to light that they were not the real owners of the company, but merely used to formalise legal requirements for the registration of the company, official correspondence with the BoT, and the forged deeds of assignment.

According to our well-placed sources, immediately after the EPA money was paid into Kagoda’’s account at CRDB Azikiwe, Kyomuhendo and William granted full power of attorney to the local, city-based businessman to handle all matters related to the bank account.

’’After being given power of attorney, this businessman then started moving the money around through a series of other bank accounts and bureaux de change, all being part of a complex money laundering scam,’’ explained one source.

The mysterious Kagoda Agriculture Limited company was paid a total sum of $30,732,658.82 by BoT using 12 falsified deeds of assignment it had purportedly signed with foreign creditors of the government.

Sources say detectives have successfully been able to trace the money trail from the central bank to the CRDB Bank account at Azikiwe, and finally to the businessman in question.

The sources also say the bank accounts of companies owned by this businessman were frozen after it emerged that he was the true beneficiary of the funds paid to Kagoda.

The businessman is understood to have already returned to the government several billions of shillings traced from the Kagoda bank account at the CRDB Azikiwe branch.

Insiders say CRDB is one of several major commercial banks in Dar es Salaam that were used by beneficiaries of the illegal EPA funds.

The government in January this year ordered an investigation into how local banks handled the transactions of companies implicated in the 133bn/- EPA scam.

Former finance minister Zakia Meghji told the National Assembly that the BoT’s banking supervision department had been instructed to establish whether or not the local banks complied with existing laws and regulations against money-laundering.

Serious question marks have been raised over how the EPA beneficiaries were allowed by some of the local banks and bureaux de change to move around huge sums of money without alerting relevant government regulatory and security agencies.

All the 12 forged deeds of assignment used by the Kagoda company were signed between September 10 and November 5, 2005. However, the company itself (Kagoda Agriculture Limited), was officially registered by the Business Registration and Licensing Authority (BRELA) on September 29, 2005.

This means that Kagoda signed some of the deeds of assignment with the government’s foreign creditors even before the company was actually officially registered.

All the forged documents were signed in Dar es Salaam before the same individual, B.M Sanze, an advocate & notary public & commissioner of oaths.

Two of the deeds of assignment (pictured), signed on October 18, 2005 relating to two German companies - Lindeteves J. Export BV and Hoechst - were made using the wrong currency for a total amount of 1,164,402.76 euros.

However, on November 1, 2005, the BoT wrote to the Kagoda company’s stated general manager, Kyomuhendo, to inform him that the correct currency of use in the deeds of assignment should be deutsche marks.

The euro currency was introduced on January 1, 2002 to 12 European countries, including Germany. At the time that the Tanzanian government fell into debt with the two German companies, the currency in use was still deutsche marks.

On November 14, 2005, ’Kyomuhendo’ sent written correspondence to the then BoT governor, Dr Daudi Ballali, informing him that the Kagoda company had managed to revise the deeds of assignment and instructing the central bank to ’’credit the proceeds to account number 01J1021795701 at CRDB Azikiwe Branch.’’

The BoT’s former external auditors, Deloitte & Touche of South Africa, are understood to have been appalled when they discovered that the central bank later released 8.2bn/- to Kagoda.

The current Minister for Finance, Mustafa Mkulo, has announced that around 50bn/- has so far been recovered out of the 133bn/- embezzled from the EPA account.

According to our sources, some of the recovered funds came from the businessman linked to the Kagoda company.
 
The businessman linked to this BOT vs KAGODA discrepancy is rostam abdurasul aziz.
 
According to our well-placed sources, immediately after the EPA money was paid into Kagoda’’s account at CRDB Azikiwe, Kyomuhendo and William granted full power of attorney to the local, city-based businessman to handle all matters related to the bank account.

’’After being given power of attorney, this businessman then started moving the money around through a series of other bank accounts and bureaux de change, all being part of a complex money laundering scam,’’ explained one source.

........Sources say detectives have successfully been able to trace the money trail from the central bank to the CRDB Bank account at Azikiwe, and finally to the businessman in question.

The sources also say the bank accounts of companies owned by this businessman were frozen after it emerged that he was the true beneficiary of the funds paid to Kagoda.

The businessman is understood to have already returned to the government several billions of shillings traced from the Kagoda bank account at the CRDB Azikiwe branch.

Insiders say CRDB is one of several major commercial banks in Dar es Salaam that were used by beneficiaries of the illegal EPA funds.

Duh!! lakini mpaka sasa zimerudi 50Billion je hizo ni kutoka kwa Kagoda + Interest au??? na kama ni kutoka kwa watuhumiwa wengine Kagoda karudisha ngapi!!

It's about time hawa watu wawekwe hadharani bila kuficha majina na washitakiwe ili wapelekwe wanakostahili...let the suffering END. Tumechoka sana...
 
Njake Hotels & Tours Ltd karudisha Tzs. 800 Million through kale kabenki ka wahindi chenye makao makuu pale opposite na Kitega Uchumi.

Kwa kuwa wamegoma kusema si tutasema, ila ushahidi hatutoi, watoe wao kuwa hajalipa hizo Million 800. Naendelea kufuatilia wengine waliorudisha hela zetu.
 
Kama ni huyo sioni faida ya yeye kuwa mbunge.

Ndugu yangu CCM hawaoni hilo na wako tayari kuwa na watu wa namna hiyo ilimradi wanapesa. Kibaya zaidi ni Watanzania wenyewe. Watanzania tuko tayari kumchagua mtu jambazi, muuza unga au hata wauaji eti kwa tu wametununulia trekta mbili au tatu. Hatuchagui watu kwa kuangalia INTEGRITY yao. We are cheap

Mimi napenda kukuhakikishia kuwa kama mambo haya yangekuwa yamefanywa na mmoja wa wabunge wa upinzani sasa hivi moto wake ungekuwa si wa kawaida.
 
kweli kabisa nyangumi kisha kuna watetezi wa mafisadi kina ... na wenzake hapa watakuambia kuwa upinzani hauna strategy ndio maana unashindwa.

WEwe unategemea nini ukishindana kwenye uchaguzi na mtu kama Rostam Azizi ambaye anaweza kutumia hata bilioni moja ya wizi anaofanya kila siku kufanya kampeni?
 
Wapinzani hawashindi kwa sababu CCM wanacheat, they have the system behind them, there is no independent electoral commission.. hahaha. which is a joke. and most importantly generation iliyozaliwa ndani ya utawala wa TANU and CCM haiwezi kuona beyond Chama Cha Mapinduzi... Ngoja wafe kwanza... Rostam anapewa Kura na wananchi... kwanini watu wachukue hela za mtu ambae ni mhujumu???

tunawapa madaraka wenyewe... tusilalamike sana.
As for wapinzani, sijui, kwanza all the parties that I've seen hav not shown much respect for democrasy with in themselves... Viongozi wa hivyo vyama niwalewale, miaka nenda rudi... Inamaana hawana any other talented people au ndio mambo ya kufanya chama mali ya mtu. SIJUI... CCM wabaya, lakini at the moment it seems to be the only party ambacho kina nguvu zakutosha kumuwezesha mtu asaidie jimbo lake, if they really wanted to. Siwatetei, niwabaya, tena sana... lakini kweli wapinzani, it will take time.
 
Ndugu yangu,

Tanzania viongozi wa upinzani wamekuwa walewale kwa sababu wewe umekaa pembeni ukisubiria kufanyiwa kila kitu. Watu wangapi wako tayari kujiunga upinzani na kupoteza kazi zao na biashara zao?

Lawama zingine zinakurudia wewe zaidi kuliko hao unaojaribu kuwalaumu!
 
Taarifa nzuri ila zina mapungufu,tunachohitaji watanzania ni kujua nani anahusika na nini juu ya pesa hizo na nini kitafuata baada ya kuwabaini. Gazeti moja liliandika mfanyabihasahara huyo anajulikana na wafanyakazi wa CRDB bank tawi la Azikiwe. Nauliza inamaana hapa JF hakuna mfanyakazi anayetokea huko CRDB akatupa jina hasa la mhusika huyu?
 
Njake Hotels & Tours Ltd karudisha Tzs. 800 Million through kale kabenki ka wahindi chenye makao makuu pale opposite na Kitega Uchumi.

Kwa kuwa wamegoma kusema si tutasema, ila ushahidi hatutoi, watoe wao kuwa hajalipa hizo Million 800. Naendelea kufuatilia wengine waliorudisha hela zetu.

Sasa hao wanaorudhisha hizo fedha mbona hatuoni wakishifikishwa katika vyombo vya dola ili waseme ziliko nyingine.
 
Back
Top Bottom