Myujumi Juma
Member
- Oct 31, 2007
- 25
- 0
tutaona na kusikia mengi
Nimekutana na khabari kuwa kuan fweza nyingine za BOT zimeliwa kiajabu ajabu na kampuni yenye jina la Kiganda-Kagoda Agriculture Limited.
Baya zaidi ni jinsi gani ambavyo udhaifu wa kiutendaji na utaalamu wa wafanyakazi wa BOT ulivyokuwa mpaka mikataba na makampuni hewa japo yana majina makubwa ukatokea. Hii inadhihirisha kuwa kuna Wizi uliokubuhu au ni uzembe wa hali ya juu.
Maswali:-
New BoT 40bn/- rip-off revelations:What exactly the auditors said
- Hawa Kagoda ni Kamdudu gani?
- Huyo wakili wao Sanze ni mitu gani?
- Uzembe wa namna hii an kukaliwa kwa ripoti hii, kuna maana gani kwa wale waliokuwa na imani na Balali hata kumuita kondoo wa kafara?
- Je ni kwa nini hii ripoti inatoka leo hadharani na si awali?
- Je hii ni mbinu ya Serikali (CCM) kumsukumia kila kitu Balali kuhusiana na BOT ili kuficha kucha zake (CCM) za pesa za Meremeta, Tangold, Mwananchi Investments na Deep Green Pockets, Minara ya Babeli na pesa za EPA(ushunguzi wa Masawe)?
- Je hii ni kulipiza kisasi kwa kuwahiwa na kuzidiwa kete na Balali ambaye katangaza kujiuzulu na kuwaacha Ikulu, Hazina, BOT na CCM solemba?
- Je huu ni ulaji mwingine ambao ulifanyika muda mfupi kabla ya Uchaguzi ili kuhakikisha kuwa "Tsunami" linawamaliza Wapinzani? je Kisima cha Meremeta, Yangold na Deep Pockets kilikuwa kimekaukaa namna hiyo?
- Je yawezekana huu ulikuwa ni uchotaji wa mwisho mwisho baada ya uchaguzi kuahirishwa kutokana na Mgombea wa Chadema kurudisha namba?
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
SENIOR officials at the Bank of Tanzania (BoT) are reported to have colluded in orchestrating a massive fraud involving foreign exchange funds to the tune of almost $30.8m (approx. 40bn/-), it has now been verified.
According to the findings of a BoT audit conducted by the international firm Deloitte & Touche last year, the rip-off is believed to have been facilitated through clear falsification of key documents.
As already reported by THISDAY, the uncovered fraud was with regard to payments made by the central bank to a certain, little-unknown Dar es Salaam-based company going by the name of Kagoda Agriculture Limited.
This company was paid by the BoT a total sum of $30,732,658.82 on the basis of 12 deeds of assignment it had purportedly signed with the government's foreign creditors.
Kutokana na huu mshiko wa Kagoda ambao Zakia Meghji alidai kuwa Ballali alimwambia ni kwa ajili ya Usalama wa Taifa, hivyo kwa kusoma rejea za uchunguzi wa Delloite Touche, haya yalikuwa ni malipo kwa wanaoidai Serikali na si mkopo.
Je kama hizi pesa zilikuwa ni sehemu ya fedha za EPA, ni vipi malipo kwa madeni ya serikali zianze kurudishwa na waliokuwa wakiidai Serikali eti Wanarudisha mikopo?
According to our well-placed sources, immediately after the EPA money was paid into Kagodas account at CRDB Azikiwe, Kyomuhendo and William granted full power of attorney to the local, city-based businessman to handle all matters related to the bank account.
After being given power of attorney, this businessman then started moving the money around through a series of other bank accounts and bureaux de change, all being part of a complex money laundering scam, explained one source.
........Sources say detectives have successfully been able to trace the money trail from the central bank to the CRDB Bank account at Azikiwe, and finally to the businessman in question.
The sources also say the bank accounts of companies owned by this businessman were frozen after it emerged that he was the true beneficiary of the funds paid to Kagoda.
The businessman is understood to have already returned to the government several billions of shillings traced from the Kagoda bank account at the CRDB Azikiwe branch.
Insiders say CRDB is one of several major commercial banks in Dar es Salaam that were used by beneficiaries of the illegal EPA funds.
The businessman linked to this BOT vs KAGODA discrepancy is rostam abdurasul aziz.
Duh!! lakini mpaka sasa zimerudi 50Billion je hizo ni kutoka kwa Kagoda + Interest au??? na kama ni kutoka kwa watuhumiwa wengine Kagoda karudisha ngapi!!
It's about time hawa watu wawekwe hadharani bila kuficha majina na washitakiwe ili wapelekwe wanakostahili...let the suffering END. Tumechoka sana...
Kama ni huyo sioni faida ya yeye kuwa mbunge.
Ndugu yangu CCM hawaoni hilo na wako tayari kuwa na watu wa namna hiyo ilimradi wanapesa. Kibaya zaidi ni Watanzania wenyewe. Watanzania tuko tayari kumchagua mtu jambazi, muuza unga au hata wauaji eti kwa tu wametununulia trekta mbili au tatu. Hatuchagui watu kwa kuangalia INTEGRITY yao. We are cheap
Mimi napenda kukuhakikishia kuwa kama mambo haya yangekuwa yamefanywa na mmoja wa wabunge wa upinzani sasa hivi moto wake ungekuwa si wa kawaida.
Wapinzani hawashindi kwa sababu CCM wanacheat, they have the system behind them, there is no independent electoral commission.. hahaha. which is a joke. and most importantly generation iliyozaliwa ndani ya utawala wa TANU and CCM haiwezi kuona beyond Chama Cha Mapinduzi... Ngoja wafe kwanza... Rostam anapewa Kura na wananchi... kwanini watu wachukue hela za mtu ambae ni mhujumu???kweli kabisa nyangumi kisha kuna watetezi wa mafisadi kina ... na wenzake hapa watakuambia kuwa upinzani hauna strategy ndio maana unashindwa.
WEwe unategemea nini ukishindana kwenye uchaguzi na mtu kama Rostam Azizi ambaye anaweza kutumia hata bilioni moja ya wizi anaofanya kila siku kufanya kampeni?
Wapinzani hawashindi kwa sababu CCM wanacheat, they have the system behind them, there is no independent electoral commission.. hahaha. which is a joke. and most importantly generation iliyozaliwa ndani ya utawala wa TANU and CCM haiwezi kuona beyond Chama Cha Mapinduzi... Ngoja wafe kwanza... Rostam anapewa Kura na wananchi... kwanini watu wachukue hela za mtu ambae ni mhujumu???
tunawapa madaraka wenyewe... tusilalamike sana.
As for wapinzani, sijui, kwanza all the parties that I've seen hav not shown much respect for democrasy with in themselves... Viongozi wa hivyo vyama niwalewale, miaka nenda rudi... Inamaana hawana any other talented people au ndio mambo ya kufanya chama mali ya mtu. SIJUI... CCM wabaya, lakini at the moment it seems to be the only party ambacho kina nguvu zakutosha kumuwezesha mtu asaidie jimbo lake, if they really wanted to. Siwatetei, niwabaya, tena sana... lakini kweli wapinzani, it will take time.
Njake Hotels & Tours Ltd karudisha Tzs. 800 Million through kale kabenki ka wahindi chenye makao makuu pale opposite na Kitega Uchumi.
Kwa kuwa wamegoma kusema si tutasema, ila ushahidi hatutoi, watoe wao kuwa hajalipa hizo Million 800. Naendelea kufuatilia wengine waliorudisha hela zetu.
Nauliza inamaana hapa JF hakuna mfanyakazi anayetokea huko CRDB akatupa jina hasa la mhusika huyu?