Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

Kama ni kuogopa kuyumba why kuwashitaki wote in a first place?????... hii ni double standard... waachieni kina Jeetu Patel huru sasa maana haina maana tena kuwakamata wao...stupid *ss
 
Huku kuyumba wanakosema ni kwa aina gani maana hawafafanui kwa kina?

Hawa mafisadi kweli wana uwezo wa kuyateka na kuyanyamazisha hata majeshi yetu ya ulinzi na usalama ambayo yanalinda mipaka yetu na maadui wa nchi yetu?Nadhani kama ni kuyumba ki utawala tayari kuna dalili zote kuwa nchi inabiringika sasa iyumbe mara ngapi?

Hizi ni kauli za funika kombe mwana haramu apite,na zina matinki ya kuwaficha vinara wa wizi wa EPA.
 
The way i get it,

- Mawasiliano yapo chini ya vodacom (Rostam) na Tanil (Shivacom) = Kagoda na kadhalika kama ninavosikia.

- Earth Movers ni caspian kule kwenye karibia migodi yote = Rostam, Habib and CCM)(Wawekezaji) achilia mbali service providers e.g. nakadhalika

- Kampeni za CCM 2000,2005 uvumi ni kuwa pesa zilitoka BOT sasa nani atafunga mdomo wakipelekwa? yani leo Tanil leo akisema kuwa alichukua pesa ya Kagoda lakini alishindwa kurudisha kule BOT ila akaona kwa kuwa wadai ni walewale arudishe UVCCM. je, CCM na FMES watasema nini?
- Wakatokea Rostam, Tanil, Patels na NK wakasema kuwa walielekezwa na akina fulani akiwemo huyu mkulu wa kaya waandike TOI na wanoushahidi wa emails huenda na msg pia mkuu wa wapiganaji nae alikuwepo... hapo tu mnabisha kuwa nchi haijayumba?

My take

Hapa kama nilivyosema since then, nchi hii ipo pa zuri sana. kila kitu kwa wenye akili timamu na tufanye uchambuzi wa kina na kuchukua hatua binafsi. Ole wenu mnaofanya maamuzi simply kujaza fikra, njaa yako ya jana na leo na kesho kutwa wanao wataishia kuleeeeee. Tusmsimbue Mola mana yupe busy na Somalia, Iraq, kwenye mafuriko na vimbunga, mana hawakupenda ila yaliandaliwa miaka 20 iliopita.

asanteni
 
Yes man, we are about to make a kill!

Ni kauli ambayo haikupaswa kutolewa hadharani na mtu kama Hosea. Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali ya Kikwete. Ni kuidhalilisha nchi na wananchi wote wa Tanzania! Huu ni unyonge na ulimbukeni ambao unatutia aibu Watanzania kila kona ya dunia. Inatia uchungu sana!

Niliona hivyo pia. Ila ukiangalia kwa upande mwingine, ni jambo la kushukuru kwamba ametoa hilo tamko. Kwamba amefanya hilo kwa nia njema au la, kwetu hilo ni heri.
Inaonesha tumepiga hatua; kwani sasa, zile tetesi za chenkapa kuhusika kwenye kashfa ya KAGODA, sio tetesi tena.

Wahusika watakuwa wameudhiwa na kauli ya Hosea.

.
 
Wote wanajua wanachokifanya hapa ila kwa sasa wanatuletea mazingaombwe. Ndiyo maana walisha andaliwa VIP rooms kule Ukonga. Hafungwi mtu hapa!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu mzee anazeeka vibaya. nchi ilianza kuyumba baada ya yeye na taasisi yake kuwafuga wala rushwa ikiwemo RICHMOND aliyoisafisha. anasubiri nini mpaka leo hajaachia ngazi?
 
masikini mie nilikua sijui maana ya msemo..Janja ya nyani kula indi bichi..
Bwana Hosea akubali yeye ameshakula indi mbichi asitudanganye wa Tz hana janja tena huyu.
 
Siri mpya ya EPA yaiumbua Kagoda

Jamani tunaliwa na wenye meno !! Masikini Tanzania !! Je huyu ndiye Tenga wa Richmond AU ?

Mag3
Ndio mwenyewe huyo huyo tena ni mkufunzi wa UDSM (kama hajaacha). Na hao ndio wasomi wetu. Kwenye dili la Richmond alikuwa na ndugu yake pia
 
Why is no one putting the names of kagoda thiefs????????
Kagoda ni ROSTAM ABDURASUL AZIZ.

Hao wamiliki wa AFRITAINER (T) LTD yaani BAHRAM ABDURASUL CHAKAAR na GULAM ABDULASUR CHAKAAR ni ndugu wa damu wa Rostam, wakati TABU OMAR ni mwajiriwa ofisi za Caspian ya ROSTAM.

Sasa nini kinaleta kigugumizi kumkamata ROSTAM??????? kama ROSTAM hajakamatwa, issue yote ya EPA is FUCKEN!!! FUCKEN DPP!!! FUCKEN IGP,AG and HOSEA!!!! and FUCKEN........
 
Huu ni upuuzi mtupu, huyu Dokta sijui wa sheria kweli hajaona kama kweli nchi tayari imeshayumba!!! Siwezi kumlaumu maana alidandanya Bunge na wananchi kuhusu Richmond Scandal. Alipoteza credibility kwa bunge na wananchi na hawezi kuwa credible kwa mara nyingine. Na sielewi ana u-special gani kuendelea kushikilia idara hiyo nyeti ya serikali.

Serikali yetu iko kimbelembele kukimbilia kutatua matatizo ya nchi jirani na hata kutuma majeshi kuondoa utawala wa kijeshi (Boca) katika nchi nyingine. Hivi ni kweli hawa mafisadi wa EPA ni zaidi ya iliyokuwa serikali ya Boca?
Nchi itayumba vipi wakati tuna majeshi ya Ulinzi na Usalama pamoja na watanzania kwa ujumla? Hakuna kinachoshindikana kama wananchi wazalendo wanapokupa support yao.

Naamini watanzania wazalendo halisi hawatasita kuchukuwa silaha kuilinda nchi yao kama vyombo vya ulinzi na usalama vitashindwa majukumu yao. Ulinzi na usalama wa Tanzania ni wa kila mtanzania.

Kiongozi wa idara nyeti kama Hosea kutoa kauli hiyo ni hatari na ni ukosefu wa busara na heshima kwa watanzania. Kama kazi imekushinda achia ngazi wapo wengine wana uwezo zaidi yako. Inawafanya watanzania waamini kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama vimechafuka. Viongozi wachache wanaweza kuwa wamechafuka lakini si members wote.

Kwa kumalizia napenda tu kukumbushia kwa serikali ya JK kuwa nchi tayari ilishayumba kwa kukosa uongozi thabiti, kukumbatia FISADIZ na wala rushwa wengine. Wananchi ndiyo wanapiga kura, JK unaogopa nini kuwashughulikia hao mnaowaogopa???????????? Hapo ndiyo utaona utamu wa kuwa na wagombea binafsi, kama chama chako kikikutosa wakati umefanya kazi nzuri kwa niaba ya nchi yako sioni kama kuna mtanzania atakunyima kura ukigombea kama MGOMBEA BINAFSI. Hivyo nakusihi kuharakisha hii sheria, kisha fumba macho uanze kuwashughulikia hao wanaotishia kitumbua chako. FANYA MEMA na UTALIPWA KWA KURA NJEMA.
 
Kama nimesikia vizuri Hosea leo kasema tusubiri in a months time tutashangaa, alikua anamjibu Lipumba. Was quoted by the bbc, sikilizeni dira ya dunia, so maybe there is hope
 
hii kauli ni sawa na kusema tukifukuza wawekezaji nchi itayumba.... kweli wezi wanayumbisha nchi wakishitakiwa? nina wasiwasi na pHD ya huyu ndugu yetu!!!
 
Nafikiri watu wa kuwakamata wakaonyesha wamiliki wa kagoda Ltd wameonekana kwenye hizo document kwani sheria lazima waliocertify wawe wanawajua personally, maana kuna taharifa kuwa wamiliki hawajulikani na ofisi ya kipawa haipo.

Hawa BRELA ina maana hawakuconfirm location ya address kabla ya kuwaregister nafikiri walitakiwa kwenda na kuconfirm kuwa hiyo physical address ni valid.

BRELA!!!!!!!!
tuma tu jina la kampuni bila document watakupatia leseni, nimesikia wanataka kutembelea maofisi sijui wataanzia wapi maana mengine yameandikishwa yanauza magari utakuta yanauza na vifaa vya ofisi, basi tabutabu tupu, i hope na wao watashulikiwa mi nimechoka kabisa na hii nchi yangu, bora tu wazungu warudi maana yale majengo waliojenga enzi zile bado yapo, hata mibarabara ile ya enzi zile siku izi ni upuuuuuuuuuuuzi mtupu, hope OBAMA hajarithi haka ka geni ka utapelitapelib
 
Kagoda ni ROSTAM ABDURASUL AZIZ.

Hao wamiliki wa AFRITAINER (T) LTD yaani BAHRAM ABDURASUL CHAKAAR na GULAM ABDULASUR CHAKAAR ni ndugu wa damu wa Rostam, wakati TABU OMAR ni mwajiriwa ofisi za Caspian ya ROSTAM.

Sasa nini kinaleta kigugumizi kumkamata ROSTAM??????? kama ROSTAM hajakamatwa, issue yote ya EPA is FUCKEN!!! FUCKEN DPP!!! FUCKEN IGP,AG and HOSEA!!!! and FUCKEN........

SIZE="7"]Sasa nini kinaleta kigugumizi kumkamata ROSTAM??????? kama ROSTAM hajakamatwa, issue yote ya EPA is FUCKEN!!! FUCKEN DPP!!! FUCKEN IGP,AG and HOSEA!!!! and FUCKEN........[/SIZE][/QUOTE]
Tanzanian
 
lol..lugha hapo juu ni hatari but the msg is clear... Ni hivi... tunataka magazeti yote yaandike

WATANZANIA WANAWATAKA MABOSI WA KAGODA
 
JF kama kweli ni sauti ya Watanzania basi naombeni petition ya kuhakikisha the Govt inapata presha yakutosha kuhusu KAGODA... Tutumie nguvu zote zinazowezekana hawa jamaa wanaoogopwa waingie segerea hatakama serikali ya mungwana itabidi ianguke.. Magazeti, walio wabunge na walio kwenye civil society humu ndani naombeni jamani tufanye one concerted effort

WATANZANIA TUNATAKA MABOSI WAKAGODA WASHTAKIWE... Tuungane mikono
 
I Ushi wa Rombo fully support the petition Kagoda washitakiwe (Kagoda isomeke Manji and Rostam)
 
Tuanzie hapa,....maana ndio mhusika mkuu
 
Attachments

  • nyaraka.jpg
    nyaraka.jpg
    158.7 KB · Views: 110
Back
Top Bottom