Kilbark
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 572
- 171
Hao jamaa wanatuchezea shere kama mchezo wa karata tatu alianza Chavda, Vithlani, Jeetu Patel, Somaia, Manji, Rostam Aziz sasa swali linakuja mbona wanakuwa ngozi za kigabacholi? Au ndio ile dhana ya huyu ana dual citizenship kwa hiyo hata mkipiga kelele hamuwapati.