Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

Na huyu Benjamin Mwangonda wa Khatco Management Limited -aliye kuwa shahidi wakati hati namba 54040ikitolewa naye napata mashaka naye.
 
Naona sasa wamekubali yaishe...!
Safi sana mkuu INVISIBLE kwani ni wazi UPANDE WA WAZALENDO UNAIBUKA KIDEDEA!
Ngoja na mimi niiperuzi halafu nije na uchambuzi wangu.
Pia Mkuu tunashukuru kwa kutoa msisitizo wa hao ma guest kutoka huko msituni na kuja kweupe kijiunga na wanajamii wenzao kwenye mustakabali wa TAIFA pale watakapojisali ili na wao waweze kutoa mchango wao.
 
Amanigk, na wewe tusaidie kujua pale Caspian Limited ofisini kwa Rostam Kiwalani ni plot namba ngapi vile?!!! Halafu huyu John.... Kyomyuhendo, anafanya wapi kazi vile!!!??? halafu nani vile aliyekua anakwenda BoT kupush malipo? nani aliyelazimishwa na wanene kupatiwa malipo? baadaye Ni nani aliyekwenda kuzibadilisha fedha na ni katika bureu de change gani... naona kama jina linafanana na jina la kampuni inayimiliki jengo moja lililoanguka vile!!?? kwa kuwa unajua zaidi kaka hebu tusaidie

Hivi Tina ile ndoto yako ilikuwa ni ndoto kweli?
We dada wewe...!mhn.
Hata hivyo tunashukuru!
Mimi nilishawaambia waje na plan B wakabisha!
Sasa ona wanavyoumbuka hawa watu...kwi kwi kwi!
Hi vi ulisema Rais nani na waziri mkuu nani vile?
Kwa utaratibu huu...Ndoto yako na ishindwe!
Kwani ulisema ndoto zako zote huwa kweli!
Yani Lowassa kuwa rais ni ndoto ya kweli?
 
hold on.... hivi haya majina ni ya kweli au ni viini macho, kwa maana ya wahusika kubadili majina yao???
 
jama eeee si tulale na hawa kina Mwakosya na Chaula, komu sijui... Kimei... mpaka kieleweke

Yani siku moja hela zote hizi... hawa hawakuwa na huruma na sisi hata kidogo kwanini tuwahurumia.. hebu tuchimbe plot numbers za Rostam
 
Kuna kamsemo ka kiswahili kanasema.. "ukiona giza totoro, jua mapambazuko yanakaribia". Thanks Invisible and other JF members.
Katika hili Dr. Kimei ana mengi ya kueleza kwa Watanzania, why CRDB only and not other banks!!!!!
 
Kuna kamsemo ka kiswahili kanasema.. "ukiona giza totoro, jua mapambazuko yanakaribia". Thanks Invisible and other JF members.
Katika hili Dr. Kimei ana mengi ya kueleza kwa Watanzania, why CRDB only and not other banks!!!!!

Nafikiri Mkuu umeuliza swali zuri sana Dr Kimei atakuwa alikuwa na Mkono wake.

Angalia hili

01j1021795700-Holland

01j1021795701-Azikiwe

01j1021795702-Tower

01j1021795703-Kijitonyama

01j1021795704-Lumumba

01j1021795705-vijana

Kwa experience yangu hizi zote zitakuwa zilifunguliwa tawi moja tu na kuzisambaza.
 
Hii ni moja ya sababu kubwa kwa Pinda kupewa uwaziri mkuu, connection nyingine iko kwenye zile threads zilizowekwa hapa wakati na kabla ya Pinda kuteuliwa kuwa waziri Mkuu.

hint..... southern cross!
Dadangu hapa umeniacha kidogoo, kuhusu Pinda.
 
Tuandamane vipi??,

Hata mambo yanayohusu maslahi yetu sote wa-tz tunawekeana bati mzee??? Tunahitaji kufahamu hili ni suala la kitaifa ni vizuri kufahamishana.. hatuwezi wote kuwa na access na hizo nyeti wengine tuko ziwani tunajiandaa kwenda kutupa nyavu!!!
 
Invisible,

Hii ni moja ya sababu kubwa kwa Pinda kupewa uwaziri mkuu, connection nyingine iko kwenye zile threads zilizowekwa hapa wakati na kabla ya Pinda kuteuliwa kuwa waziri Mkuu.

hint..... southern cross![/QUOTE]

I also dont follow this! Kama yeye ndo kazuia live coverage ya Slaa, he also sacks!
 
Dadangu hapa umeniacha kidogoo, kuhusu Pinda.

Kuna watu walifikiri kuwa akiwekwa Pinda basi atatumia "nguvu nyuma yake" kufunika mambo ya southern cross.... Pinda amewadissapoint maana naye naona ameacha liende tu.

Ukifuatilia wale waliokuwa wanapendekeza hapa kuwa Pinda apewe u-PM au wale waliounga mkono apewe u-PM, moja ya sababu ilikuwa hili- kulinda siri ya wakulu ... wale ... just make a connection now...

Unganisha hili na Mwangonda then utajua what I am talking about.
 
Tuandamane vipi??,

Hata mambo yanayohusu maslahi yetu sote wa-tz tunawekeana bati mzee??? Tunahitaji kufahamu hili ni suala la kitaifa ni vizuri kufahamishana.. hatuwezi wote kuwa na access na hizo nyeti wengine tuko ziwani tunajiandaa kwenda kutupa nyavu!!!

Nadhani basi hujaelewa toka mwanzo

Chukua hii:

Hii Doc inaweza kufunguliwa na members tu ukiwepo wewe

Kuziba bati nilikuwa na maana ya wasiotaka kujiunga na JF

NOTE: Kama hujaelewa nitakufafanulia tena... sina ttz
 
I also dont follow this! Kama yeye ndo kazuia live coverage ya Slaa, he also sacks!

Mkuu Jobo,

Hapa zinawekwa links na hints... Anza kusoma threads za mwanzo za invisible, ukimaliza hapo jaribu kutafuta majibu ya Tina, ukimaliza hapo, nenda kwenye link ya invisible kuhusu topic ya mkjj ambayo inauliza swali kuhusu mwangonda, ukijaribu kujibu yale maswali, unganisha na yaliyosemwa wakati na kabla ya Pinda kuteuliwa kuwa PM (hii inajibu sana swala la southern cross na connection zingine nyingi ambazo wengi walidhani kuwa Pinda atazifunika).

Wakati huo endelea na yanayojadiliwa hapa JF for the last 5 days uone vile ambavyo hii forum ina majibu muhimu sana yanayoweza kuwasaidia wabunge kwenye kinachoendelea.

Itachukua muda lakini that's how this thread inaendelea kwa sasa....
 
nchi ina laana ya aina yake hii!
yaani BOT haioni hata aibu kutoa pesa ya mwananchi wakati inajua uongo! au ndo maneno ya mkullo, pesa si ya mwananchi wala ya bot kwa hiyo haina hasara acha itolewe tu!
 
Aisee hii thread inaelekea kubaya sana. Ni warning tu, lakini it seems dots ziko karibu kumalizwa zote na huko mtakakofika ndio wataalam wa kupoteza watu, kwa hiyo umakini wa hali ya juu unatakiwa sasa.

Ni ushauri tu!!!
 
Just curious,

Hivi signing authority za BOT zikoje? HIvi inawezekana pesa kubwa kiasi hicho kusainiwa na kuidhinishwa bila kuwa na saini ya wakubwa kama Wakurugenzi au katibu wa Bodi?

Ama Kweli Tanzania kichwa cha Mwendawazimu!
 
Back
Top Bottom