Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
501
1,214
Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.

Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.
 
Shughuli hiyo muhimu itafanyika kesho Jumatatu Januari 18, 2021na kuonyeshwa moja kwa moja na vyombo mbalimbali vya habari

Shule ya Sekondari ya Ihungo iliyopo mjini Bukoba Mkoani Kagera iliharibiwa kufuatia tetemeko la ardhi la Septemba 10, 2016
 
Mwenyekiti wa Chadema taifa Mbowe na katibu mkuu wa CCM Bashiru Ally wasikose kuhudhuria walisoma hapo shule imetoa vipanga viongozi wa juu chama tawala na upinzani

Hotuba ya Raisi itamke wazi mchangi wa Ihungo kwenye siasa za Tanzania

Viongozi wakuu hao wawili walipikwa hapo
 
Shughuli hiyo muhimu itafanyika kesho Jumatatu Januari 18, 2021na kuonyeshwa moja kwa moja na vyombo mbalimbali vya habari

Shule ya Sekondari ya Ihungo iliyopo mjini Bukoba Mkoani Kagera iliharibiwa kufuatia tetemeko la ardhi la Septemba 10, 2016
Mikono yenye laana inaendelea kutenda laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…