Kagera/bukoba villages gallery

Kagera/bukoba villages gallery

Iyangilo ya mwaka gani witness?
I real don't know over there in such.....mi mara ya kwanza kwenda BK ni last year December.....Bibi yuko hapo itongo, nshamba,so nikapata na wasaa wa kuzurura vijiji vya karibu...nikafika hapo iyangiro kuna bar inaitwa mnazareth something like that....doooh kumepooza mbaya mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cku nyingine ukija nitafte nikutembeze bado unaitaji kuijuwa ardhi ya bibi yako@ witness
 
Back
Top Bottom