Kagera/bukoba villages gallery

Kagera/bukoba villages gallery

Tukiondoa hiyo migomba panakuwa mjini kabisa
bk%20rural%203.jpeg
bk%20rural%204.jpeg
 
Uzi unalengo la kuwaonesha watanzania wengi ambao hawajawahi kufika au wanausikia mkoa wa kagera na vijiji vyake wafike walau Kwa picha . Vijiji vya mkoa wa kagera vinasifa ya kuwa na migheto mikali ijengwayo na wasomi na PhD holders kutoka huko ambao ndo wengi.wahaya hawajengi ipasavyo mji mkuu wa mkoa wao bukoba Bali huko wazaliwako vijijini ndani ndani huko hata barabarani ni ngumu kuziona.hivyo basi namkaribisha mtu yoyote wa mkoa huu na aufahamuyo mkoa alete migheto iliyopo huko migombani ili kuwadhihirishia watanzania wanaokaa huko tandale kuwaponda Tu .wakati reality ipo .hatutaki battle za kikabila hapa.lengo ni kudumisha utalii na kuwaonesha watu faida za elimu na kujali chimbuko lenu karibun.Tuanzie hapaView attachment 1003870View attachment 1003873View attachment 1003874View attachment 1003875View attachment 1003878View attachment 1003879

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeuona mjengo wa Rwehumbiza
 
Bukoba, mjengo upo kijijini alafu full self contained rooms.. Yaani ndani kama ulaya.
Wahaya ni noma!
IMG_20200918_124922.jpg
 
nina miaka 40+, hii nyumba ilikuwa ni duka la muarabu flani nimesahau jina lake (mhaya wenye asili ya kiarabu) Kishanda -Muleba, View attachment 1123215View attachment 1123215hii nyumba nimezaliwa na nimeikuta hivi hivi hadi leo ipo nashangaa wahaya wenzangu hamtaki kuonyesha majumba kama haya ambayo yapo mengi katika miji ya Muleba, Nshamba, Kamachumu nk
Afu sijui huwa kuna nn mahali ambapo waarabu waliweka makazi, wakija kuhama pana dorola kupita maelezo
 
Byekela, Mighera, Nshambya, Nyakato, Kibeta, Ijuganyondo, Kitendaguro, Itahwa, Hamghembe, Kashai, Kahororo, Forodhani, Maruku, Nyabesiga, Msila
 
Ukiwa nankwende ndani kule, utaambiwa dar kuzuri sana, majumba makubwa kabisa yako dar, ila haimaanishi kuwa dar nzima kuna majumba mazuri, hapana, hata nyumba za hovyo zipo, tena hovyo.
Kwahiyo hata hizo picha si kweli kuwa huko kagera nyumba zote ni tamu.

Kagera inazidiwa na Kigoma.
Naunga Mkono Hoja
Lakini, Bila Picture Ya Mto Ngono, Katelero, Minziro, Kyaka
Hatuwezi Kukubali
 
Back
Top Bottom