Vipi una hasira na nyumba za Wahaya huko vijijini??? Washauri na ndugu zako waachane na tembe [emoji3][emoji3][emoji3]Nina elfu tatu hapa, nataka nipige kimoja.[emoji23]
[emoji23] Nawatania tu mzee, binafsi Mke wangu ni muhaya kanizalia mtoto mzuri sana.Vipi una hasira na nyumba za Wahaya huko vijijini??? Washauri na ndugu zako waachane na tembe [emoji3][emoji3][emoji3]
karibu ule senene[emoji23] Nawatania tu mzee, binafsi Mke wangu ni muhaya kanizalia mtoto mzuri sana.
Mbona ni mwanza hapa nishswahi kufika