omkalendelo
Senior Member
- Feb 24, 2017
- 113
- 186
Bukoba hamna lolote Hata kahama inawazidi Mbali xana kuanzia mijengo mzunguko wa hela na idadi ya Benki nyingi za biasharaUkiwa nankwende ndani kule, utaambiwa dar kuzuri sana, majumba makubwa kabisa yako dar, ila haimaanishi kuwa dar nzima kuna majumba mazuri, hapana, hata nyumba za hovyo zipo, tena hovyo.
Kwahiyo hata hizo picha si kweli kuwa huko kagera nyumba zote ni tamu.
Kagera inazidiwa na Kigoma.