Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

Status
Not open for further replies.
Anajua sana kwamba alikuwa night.

Hii tabisa ya Viongozi wa CHADEMA kufanya jambo na kusingizia wengine imepandikizwa hata kwa wafuasi wao. Uliberary wao , wakasingizia CUF, mabomu walijipue wao, wasingizie Mwigullu, wako humu JF kwa ajira wanasingizia watu wengine.
 
Sio tu upeo mdogo,wahuni,wendawazimu na wala njemu hii ndio kazi yao si wametumwa!

Pia hawa wote wanaotetea habari hii wana akili mgando isioweza kutambua ukweli na uwongo ni upi, huyo jangili wa tembo wetu alitamkwa hadharani kua anaua tembo, ina maana baada ya jangili kutajwa hadharani alimuita mch msigwa na kumpa rushwa? Ili azidi kumchafua au ili iweje?

Na hilo gazeti lililopoteza umaarufu naona linataka kurudi kwenye chat tena, wahariri wamechelewa sana aisee, watafute habari nyingine!
 
Hii tabisa ya Viongozi wa CHADEMA kufanya jambo na kusingizia wengine imepandikizwa hata kwa wafuasi wao. Uliberary wao , wakasingizia CUF, mabomu walijipue wao, wasingizie Mwigullu, wako humu JF kwa ajira wanasingizia watu wengine.

Saivi waoga hawataki kabisa kusikia neno uliberali,kwa sbb wahofia kuliberaliwa,we weka humu post inayohusu cdm na uliberali uone haichukui hata dk 10 imeondolewa.
 
Hizi tuhuma za Msigwa kuwatetea Mafisadi zinaweza kuwa na ukweli ndani yake, Msigwa anavyopenda pesa, utafikiri Mchagga.

Watuambie kafanya nini katika kuwatetea hao mafisadi na ni akina nani hao.. hahahahaaa...!
 
Pia hawa wote wanaotetea habari hii wana akili mgando isioweza kutambua ukweli na uwongo ni upi, huyo jangili wa tembo wetu alitamkwa hadharani kua anaua tembo, ina maana baada ya jangili kutajwa hadharani alimuita mch msigwa na kumpa rushwa? Ili azidi kumchafua au ili iweje?

Na hilo gazeti lililopoteza umaarufu naona linataka kurudi kwenye chat tena, wahariri wamechelewa sana aisee, watafute habari nyingine!

kama wewe ulivyo na akili ndogo.NJEMU?
 
Kagasheki anapaswa kutaja majina ya vigogo wanaojihusisha na ujangili,
 
Watuambie kafanya nini katika kuwatetea hao mafisadi na ni akina nani hao.. hahahahaaa...!

usiwe mvivu wa kusoma umeshapewa chanzo cha habari husika unataka nini tena,
au unaogopa kusoma mwenyewe huna roho utazimia ukishudia uozo wa kaka yako.
mbunge anahongwa taifa limefika pabaya sana.
 
Na inavyoonekana kamwagiwa nyingi kweli hadi kalewa.njaa mbaya sana inakufanya uwe mlafi ukishaona.

Kule kujifanya anauza soksi na wamachinga pale Iringa mjini kumbe zilikuwa geresha ili wananchi wasijue janja yake, ama kweli za mwizi ni arobaini.
 
usiwe mvivu wa kusoma umeshapewa chanzo cha habari husika unataka nini tena,
au unaogopa kusoma mwenyewe huna roho utazimia ukishudia uozo wa kaka yako.
mbunge anahongwa taifa limefika pabaya sana.

Huyu jamaa mburula kweli eti anataka atengenezewe kila kitu.we umeonyeshwa si ufunue uanze kula yani unataka mpaka uwekewe na mkono.
 
imani yangu kwa msigwa ilipotea pale alipowaambiwa watu wafanye biashara barabarani nikajua pale ni hewa.
 
Kule kujifanya anauza soksi na wamachinga pale Iringa mjini kumbe zilikuwa geresha ili wananchi wasijue janja yake, ama kweli za mwizi ni arobaini.

Huyu jamaa hatofautiani na babu yake,yeye kasepa uchungaji,yule kasepa upadirisho!jamani njaa hizi?!
 
Ndiyo maana msigwa anapapala sana kumbe ni kulinda maslahi yake kwa hao wanaomlipa pesa halafu na yeye anajiita ni mwakilishi wa wananchi kumbe kaenda bungeni kulinda na kutetea maslahi ya mafisadi.
 
Tehe tehe tehe kagasheki kweli kilazza ameishawasoma Wabongo wengi wanapenda uongo sasa ni ,mwendo wa danganya toto kila siku!! Mwenye akili za marehemu pekee ndie atakayeshabikia uongo kama huu
 
Vyombo vya habari leo likiwemo gazeti la Uhuru vimeripoti kuwa mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa analipwa na mafisadi ili awatetee kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo bungeni.

Hayo yalisemwa na waziri wa Mali Asili na Utalii, Balozi Kagasheki kuwa miongoni mwa mafisadi ambao anawatetea ni pamoja na wale wanaofanya hujuma kwenye hifadhi za wanyama pori.

Wito wangu kwa Msigwa: Ni vema akafanya kazi ya kutetea watu waliomchagua siyo mafisadi.

Kweli kabisa.. Anamtetea kinana kuwa "si Jangili"... Tena anamtetea Kagasheki kuwa "wizara yake na Serikali kuu anayoitumikia inahusika moja kwa moja kutorosha wanyama hai (wakiwemo Twiga)" kwenda Uarabuni kupitia KIA.
 
CCM kama mashetani vile, waziri analalamika tu, rais ndo usiseme kazi kupeleka umbea kwa wazungu!
 
Ndiyo maana msigwa anapapala sana kumbe ni kulinda maslahi yake kwa hao wanaomlipa pesa halafu na yeye anajiita ni mwakilishi wa wananchi kumbe kaenda bungeni kulinda na kutetea maslahi ya mafisadi.

Inasikitisha sana... Amezidi sana, anapewa buku tu na "rais mpya" ili aseme PEMBE ZA NDOVU NI BIASHARA YA KINANA na Mkewe ila alipoteuliwa kuwa katibu mkuu wa CHAMA CHA MAFISADI ameacha kuua tembo na kuchomoa meno yake.
 
Uhuru semeni FISADI ni nani?Au sisi wananchi ndio mnatuita fisadi tuliomtuma mh.Msigwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom