Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

Status
Not open for further replies.
Siyo ajabu kwa wabunge wa chadema kutumika na wanasiasa hata zito siku hizi anatumika tena vibaya sana.
 
Wewe ndiyo bule kabisa mleta mada sijaona sehemu kataja dini yoyote,

hebu koti kifungu mahala alipotaja dini unaonekana udini umekukaa kichwani sana make unazungumza ambacho ambayo mtoa mada hajasema.

HUYU kashikwa pabaya mkuu, lazima atoe mapovu.
 
Mtei juzi alisema CHADEMA ni waasisi wa uliberary

Miongoni mwa watu waliowashambulia sana C.U.F kw tuhuma za iliberali na maneno ya kashfa ni pamoja Ben Saanane mzee wa sumu,ukiachilia wale wengine watoa kila aina ya takwimu kwa ajili ya kuwachafua cuf wengine tukajaribu kueleza walivyo waliberali lakini tukapuuzww,leo mzee wao kawaumbua wabishe sasa au na yeye wamshambulie kama wana ubavu,wametulia kama maji ya mtungini,sijui yuko wapi HAMY-D awachambue,mwambie aanzishe thread humu ndani ya uliberali na chadema ingawa najua haitadumu sana wataiondoa.huyu jamaa cdm wanamuogopa sana kila thread anayoanzisha wanawaomba mods waiondoe kumbe huwa anasema ukweli.

Hii tabisa ya Viongozi wa CHADEMA kufanya jambo na kusingizia wengine imepandikizwa hata kwa wafuasi wao. Uliberary wao , wakasingizia CUF, mabomu walijipue wao, wasingizie Mwigullu, wako humu JF kwa ajira wanasingizia watu wengine.

Saivi waoga hawataki kabisa kusikia neno uliberali,kwa sbb wahofia kuliberaliwa,we weka humu post inayohusu cdm na uliberali uone haichukui hata dk 10 imeondolewa.

Humu mtandaoni CCM haina mtetezi wa kweli nje ya Nape na Mwigulu (ambao nao wakipoteza vitengo walivyopewa hata utetezi utakwisha). Waliopo ni wafuasi wa CUF wanaoitetea CCM kwa muda mpaka JK amalize muda wake. 2015 ushindani katika uchaguzi CCM itapwaya kwakuwa wanafiki wengi kama hawa watakuwa wamerudi CUF..
 
Vyombo vya habari leo likiwemo gazeti la Uhuru vimeripoti kuwa mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa analipwa na mafisadi ili awatetee kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo bungeni.

Hayo yalisemwa na waziri wa Mali Asili na Utalii, Balozi Kagasheki kuwa miongoni mwa mafisadi ambao anawatetea ni pamoja na wale wanaofanya hujuma kwenye hifadhi za wanyama pori.

Wito wangu kwa Msigwa: Ni vema akafanya kazi ya kutetea watu waliomchagua siyo mafisadi.
Kabla hatujakujibu hebu tuambie hii ni habari ya mbwa au ya mwenye mbwa?
 
Mambo mawili:
1. Dini imeingiaje hapa? kwa hiyo mleta mada na wafuasi wake ni watetezi wa serikali kana kwamba ni ya dini yenu? Uchungaji na upadri unaingiaje hapa? Kwa hiyo unataka tuanze kujadili uislamu na kagasheki, kinana na mkuu?
2. Uliberali wa CUF wapi wapi na nyie? Mko CCM au CUF? Au mnapelekeshwa na udini tu!... Ndiyo maana mimi nawaaambia bila kificho... Mnaokesha kuitetea CCM kwa sababu ya udini mwaka 2015 mtaikimbia iwapo mgombea atakuwa LOWASA au mkristo mwingine.. Naona harufu ya UDINI tu!... Jipimeni..

TAYADI ningekuwa mimi ningepigana , unakubali kuwambiwa ukweli na kuishia kutoa mapovu peke yake. A a aa aaaaa, HAYA WA KWANZA KUMSHIKA MWENZAKE SIKIO? ama kweli ukweli unauma, teh teh teh teh. Pole bwana TAYADI ya kawaida hayo. Msigwa Uncle nini?
 
Wewe ndiyo bule kabisa mleta mada sijaona sehemu kataja dini yoyote,

hebu koti kifungu mahala alipotaja dini unaonekana udini umekukaa kichwani sana make unazungumza ambacho ambayo mtoa mada hajasema.

HUYU kashikwa pabaya mkuu, lazima atoe mapovu.

Wafuasi wa CUF!!... CCM mmemfuata JK akimaliza muda wake mnarudi nyumbani.
 
kingunge juzi alisema ccm ni chana cha matahira..


Mkuu unamaanisha nini kwenye maelezo yako mbona kama vile hazimo kichwani mwako,nakufahamu mara nyingi uko makini vipi leo,au ndo yale ya kukurupuka?!
 
Kabla hatujakujibu hebu tuambie hii ni habari ya mbwa au ya mwenye mbwa?

Habari hii inamhusu yule analyeombea wazinzi kwenye chama chake, inavyoonekana tatizo lauzinzi kwenye chama chake halitibiki na sasa anaamua kula za mafisadi.
 
TAYADI ningekuwa mimi ningepigana , unakubali kuwambiwa ukweli na kuishia kutoa mapovu peke yake. A a aa aaaaa, HAYA WA KWANZA KUMSHIKA MWENZAKE SIKIO? ama kweli ukweli unauma, teh teh teh teh. Pole bwana TAYADI ya kawaida hayo. Msigwa Uncle nini?

Mambo ya ngangari hayo mliyokuwa mmeyazoea!!!
 
Mkuu unamaanisha nini kwenye maelezo yako mbona kama vile hazimo kichwani mwako,nakufahamu mara nyingi uko makini vipi leo,au ndo yale ya kukurupuka?!

Crashwise yuko humu siyo kwa utashi wake, bali kwa ujira ndiyo maana anaandika kulingana na alichoahidiwa kulipwa kwa siku hiyo.
 
Habari hii inamhusu yule analyeombea wazinzi kwenye chama chake, inavyoonekana tatizo lauzinzi kwenye chama chake halitibiki na sasa anaamua kula za mafisadi.
Cdm ikiwa na unayem-quote utaiunga mkono kwasababu moja tu DINI.
 
uhuru?ni habari za kusadikika imetungwa iyo kwanza kijana gani hivi ss ambae anasoma uhuru?
 
Na tuhuma hizi za Mke wa Kagasheki kutumia ushawishi wa mumewe kupewa msaada wa Tshs. Milion kumi kutoka NCCA kwa taasisi yake ya Catherine Foundation Development Ltd, wakati kwanza kuna kanuni inayozuia pesa inayotolewa isizidi Tshs. Milion mbili na vile vile watendaji wa NCCA walishatoa mapendekezo mara mbili kwamba hakuna bajeti ya kusaidia msaada huo, mnaisemeaje nyie Lumumba trio..? Msigwa anataka hela za fisadi Kagasheki..?
 
Bila kumung'unya maneno Msigwa alitamka hadharani kuwa Kinana ni jangili mla tembo na hadi leo Kinana ameshindwa kwenda mahakamani, hao uhuru watamke Msigwa analipwa na fisadi nani, au wanataka kutuambia Kinana anamlipa Msigwa... too cheap propaganda...

Well said man, ni wajinga tu wanaoweza amini propaganda za kitoto namna hii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom