Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

Status
Not open for further replies.
CCM kama mashetani vile, waziri analalamika tu, rais ndo usiseme kazi kupeleka umbea kwa wazungu!

Ni kama chadema wanavyolalamika,babu analalamika kivyake,mbowe nae hivyo hivyo na hat ninyi wafuasi vivyo hivyo.
 
Huyu jamaa hatofautiani na babu yake,yeye kasepa uchungaji,yule kasepa upadirisho!jamani njaa hizi?!

Dini imeingiaje hapa? kwa hiyo mleta mada na wewe mchangiaji mmeleta mada hii kutetea serikali kana kwamba ni ya dini yenu? Uchungaji na upadri unaingiaje hapa? Kwa hiyo unataka tuanze kujadili uislamu na kagasheki, kinana na mabosi wengine?
 
Wito wangu kwa Msigwa: Ni vema akafanya kazi ya kutetea watu waliomchagua siyo mafisadi.

Viroba vimeharibu sana akili za vijan wetu;pasipo shaka yyt ile kijana huyu "rais mpya" hasa kwa bandiko lake hili la kumhusisha Mb Msigwa na ufisadi ni kielelezo tosha kama viroba vina athiri mno ubongo wa vijana wetu!
 
Saivi waoga hawataki kabisa kusikia neno uliberali,kwa sbb wahofia kuliberaliwa,we weka humu post inayohusu cdm na uliberali uone haichukui hata dk 10 imeondolewa.

Mtei juzi alisema CHADEMA ni waasisi wa uliberary
 
Babu hakuwa padri?!,Msigwa hakuwa mchungaji?!,toa kwanza majibu halafu ndio mimi na wewe tujadiliane.sijazungumzia udini.
 
Viroba vimeharibu sana akili za vijan wetu;pasipo shaka yyt ile kijana huyu "rais mpya" hasa kwa bandiko lake hili la kumhusisha Mb Msigwa na ufisadi ni kielelezo tosha kama viroba vina athiri mno ubongo wa vijana wetu!

kuna mtu mlevi hapa tanzania kama vijana wa bavicha wakiongozwa na lema.
 
Viroba vimeharibu sana akili za vijan wetu;pasipo shaka yyt ile kijana huyu "rais mpya" hasa kwa bandiko lake hili la kumhusisha Mb Msigwa na ufisadi ni kielelezo tosha kama viroba vina athiri mno ubongo wa vijana wetu!

Ngoja nitakuwekea mmoja wa vijana wa BAVICHA alilewa viroba mpaka akaokotwa hoi, bin taaban ili ukome kuhamisha mada. Rais Mpya kasema ukweli mtupu, na hizi taarifa za Msigwa kuwalamba miguu mafisadi zilianza kusikika takribani mwezi mmoja na nusu uliopita.
 
Mtei juzi alisema CHADEMA ni waasisi wa uliberary

Miongoni mwa watu waliowashambulia sana C.U.F kw tuhuma za iliberali na maneno ya kashfa ni pamoja Ben Saanane mzee wa sumu,ukiachilia wale wengine watoa kila aina ya takwimu kwa ajili ya kuwachafua cuf wengine tukajaribu kueleza walivyo waliberali lakini tukapuuzww,leo mzee wao kawaumbua wabishe sasa au na yeye wamshambulie kama wana ubavu,wametulia kama maji ya mtungini,sijui yuko wapi HAMY-D awachambue,mwambie aanzishe thread humu ndani ya uliberali na chadema ingawa najua haitadumu sana wataiondoa.huyu jamaa cdm wanamuogopa sana kila thread anayoanzisha wanawaomba mods waiondoe kumbe huwa anasema ukweli.
 
Vyombo vya habari leo likiwemo gazeti la Uhuru vimeripoti kuwa mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa analipwa na mafisadi ili awatetee kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo bungeni.

Hayo yalisemwa na waziri wa Mali Asili na Utalii, Balozi Kagasheki kuwa miongoni mwa mafisadi ambao anawatetea ni pamoja na wale wanaofanya hujuma kwenye hifadhi za wanyama pori.

Wito wangu kwa Msigwa: Ni vema akafanya kazi ya kutetea watu waliomchagua siyo mafisadi.

Mch. Msigwa anawatetea wananchi wanaoporwa rasilimali zao na watu kama kinana katibu mkuu wa CCM, hadi kupelekea kinana kutishia kufungua kesi dhidi ya Mch Msigwa lakini ukweli unabaki pale pale yale meno ya tembo yamekamatwa kwenye meli ya kinana na kwa hiyo ilitosha kuitaifisha ile meli na kuwasotesha mahakamani wliokamatwa na meno

Iliwahi kutokea wavuvi wa kigeni waliingia kwenye ukanda wetu, Magufuli akakamata meli, wavuvi na shehena ya samaki, ile meli ilitaifishwa na ipo serikalini

Sasa mafisadi anaowatetea Msigwa ni nani? Wananchi? Punguzeni upumbavu rushwa inapofusha, mtakufa
 
Saivi waoga hawataki kabisa kusikia neno uliberali,kwa sbb wahofia kuliberaliwa,we weka humu post inayohusu cdm na uliberali uone haichukui hata dk 10 imeondolewa.

Hii tabisa ya Viongozi wa CHADEMA kufanya jambo na kusingizia wengine imepandikizwa hata kwa wafuasi wao. Uliberary wao , wakasingizia CUF, mabomu walijipue wao, wasingizie Mwigullu, wako humu JF kwa ajira wanasingizia watu wengine.

usiwe mvivu wa kusoma umeshapewa chanzo cha habari husika unataka nini tena,
au unaogopa kusoma mwenyewe huna roho utazimia ukishudia uozo wa kaka yako.
mbunge anahongwa taifa limefika pabaya sana.

imani yangu kwa msigwa ilipotea pale alipowaambiwa watu wafanye biashara barabarani nikajua pale ni hewa.

Huyu jamaa hatofautiani na babu yake,yeye kasepa uchungaji,yule kasepa upadirisho!jamani njaa hizi?!

Ndiyo maana msigwa anapapala sana kumbe ni kulinda maslahi yake kwa hao wanaomlipa pesa halafu na yeye anajiita ni mwakilishi wa wananchi kumbe kaenda bungeni kulinda na kutetea maslahi ya mafisadi.

Mambo mawili:
1. Dini imeingiaje hapa? kwa hiyo mleta mada na wafuasi wake ni watetezi wa serikali kana kwamba ni ya dini yenu? Uchungaji na upadri unaingiaje hapa? Kwa hiyo unataka tuanze kujadili uislamu na kagasheki, kinana na mkuu?
2. Uliberali wa CUF wapi wapi na nyie? Mko CCM au CUF? Au mnapelekeshwa na udini tu!... Ndiyo maana mimi nawaaambia bila kificho... Mnaokesha kuitetea CCM kwa sababu ya udini mwaka 2015 mtaikimbia iwapo mgombea atakuwa LOWASA au mkristo mwingine.. Naona harufu ya UDINI tu!... Jipimeni..
 
So if you are commenting on or criticizing an item someone else has posted it is a crime
 
Awataje majina hao wanaotetewa atoe na ushahidi, hatutaki blah blah.

"kinana»» WEKA MBALI NA TEMBO"
 
ndio maana tunaambiwa "utter nonsense".....Sasa waziri anataka tumuamini...basi a back up na fact.....utter nonsens
 
Acha propaganda wewe sema ukweli wako weka data za ukweli ili ueleweke.
Unachotaka kutuambia ni kwamaba alimtuhumu Kinana ili amkatie pochi? Na umesema Kagasheki kasema anachukua pochi kwa mafisadi embu tutajie hao mafisadi na kisai ambacho ameshavuta mpaka sasa?

Kumbe zile kelele alizokuwa anapiga mara kumtuhumu kinana ilikuwa ni danganya toto kuwahadaa watu yeye ni mhusika wa uharifu.
 
Ukipigana vita ya ujangili taabu ukikaa kimya taabu, tanzania hii! Mbona vita watu wanapigana mchana kweupe wote tumesikia leo eti wanatetea mafisadi. No thank you. Shame on them. Huwezi kuficha uovu kwa watu zaidi ya watu 45milioni tz. Watz mnaona na kusikia wenyewe na mtaamua wenyewe kwa masilai yenu wenyewe.
 
Mambo mawili:
1. Dini imeingiaje hapa? kwa hiyo mleta mada na wafuasi wake ni watetezi wa serikali kana kwamba ni ya dini yenu? Uchungaji na upadri unaingiaje hapa? Kwa hiyo unataka tuanze kujadili uislamu na kagasheki, kinana na mkuu?
2. Uliberali wa CUF wapi wapi na nyie? Mko CCM au CUF? Au mnapelekeshwa na udini tu!... Ndiyo maana mimi nawaaambia bila kificho... Mnaokesha kuitetea CCM kwa sababu ya udini mwaka 2015 mtaikimbia iwapo mgombea atakuwa LOWASA au mkristo mwingine.. Naona harufu ya UDINI tu!... Jipimeni..
Wewe ndiyo bule kabisa mleta mada sijaona sehemu kataja dini yoyote,

hebu koti kifungu mahala alipotaja dini unaonekana udini umekukaa kichwani sana make unazungumza ambacho ambayo mtoa mada hajasema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom