Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

Status
Not open for further replies.
... as long as we know the FACTS it won't be a problem.
 
source=Uhuru!! Hivi hilo gazeti linauzwaga wapi siku hizi?nina muda sana sijawahi kuyaona hayo ma=paper
 
Haya sasa yametimia msigwa kuwa ni mhuni wa kawaida tu wala siyo mchungaji,

mchungaji gani anaushirika na mafisadi jamani huyu siyo mchungaji ni janga la kitaifa.
 
Kwan kagasheki mambo yake ya bukoba kashamaliza?
 
Kwa hiyo mkuu unataka kutuambia Msigwa akishawatetea basi yeye Kagasheki anashindwa kuwakamata? Kweli haya nayo ni maajabu mengine! Pamoja na hayo, atusaidie kwanza kukamata wanaomaliza tembo wetu kwa sababu sidhani kama nao wanatetewa na Msigwa!
 
Walioko zamu leo ni thatha na kati kati
 
Kawaida ya wapiga kelele wengi bungeni ni kutaka wasikike na mafisadi.

Sio kusikika tu na mafisadi,wanataka mishiko,njaa mbaya si walishazoea wakipiga kelele hivyo wanaitwa na mafisadi na kutulizwa!
 
Hizi tuhuma za Msigwa kuwatetea Mafisadi zinaweza kuwa na ukweli ndani yake, Msigwa anavyopenda pesa, utafikiri Mchagga.

Mafisadi wako chama gani? Mbona vua gamba haikuleta mafanikio???
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Walioko zamu leo ni thatha na kati kati

zamu za kufanya nini mbona hueleweki funguka tukuelewe na chama chenu cha kikabila daima bavicha ni watu wa kujishuku tu.
 
Lema,msigwa,sugu, hawana kitu vichwani mwao kazi yao ni kupiga kelele ndiyo maana wanatumiwa hovyo na mafisadi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom