Mwanamutapa
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 513
- 489
Hapo kwenye Red yaani sijakuelewa unamaanisha nini, kwa wakati mmoja unakubali kwamba kulikuwa na intermarriages kati ya makibila lakini eti Watutsi hawakubadilika? This is scientifically wrong na haiwezekani, inabidi uwe makini na documents unazokumbana nazo kwenye internet manake nyingine zinakuwa zimeandikwa na watu kama wewe wasio na ujuzi wowote juu ya Rwanda:
Kuna Wa Hutu wengi tuu ambao ukiwaangalia phsically huwezi kuwatofautisha na wa Tutsi, at the same time kuna Watutsi wengi tu ukiwaangali huwezi kuwa tofautisha na WaHutu;
May i give you an example?just google some one called Tharcise Karugarama the former minister of Justice, the guy is pure Tutsi from Uganda angalia sura yake halafu niambie, ukishamaliza google image ya Bernard Makuza huyu kwa sasa ni senator na alikuwa waziri mkuu compare those two photos kwa kufuatisha vielelezo vyako:
Those are nonsense, true those are characteristic feutures za makabila hayo, uhusiano na kuingiliana kwa jamii hizi kumeleta kizazi kingine:
Another issue ni kwamba environment pia inasaidia in shaping some ones physical appearence ndio maana Mtutsi wa Tanzania,hafanani na yule wa Congo, au Burundi i hope you know that:
2:What is that operation you are talking about?Hahahh mbona serikali yako inasema ilikuwa ni operasheni dhidi ya wahamiaji haramu regardless ya walikotoka, na ndio maana wa Rundi,WaGanda,Kenyans etc ambao walikuwa wahamiaji haramu wote waliguswa na hiyo operation, am surprised kwamba wewe una insist kwamba ilikuwa inalenga wa Tutsi, really??hahah
3.Mataifa gani hayo yanaona Wa Tutsi kama nyoka!khaa just mention one of them with evidence;
Kwanza napenda kukufahamisha kuwa siandiki kwa mazoea wala kusikia tu bali nimeona mwenyewe na ninauzoefu na Rwanda maaa nimeishi Nyakarambi na Kibungo pia Mugiteranye na Muyinga nchini Burundi ingawa Bundi tuliishi kwa muda mchache na kuopt kuishi Rwanda iiyokuwa imeendelea kuliko Burundi maan baba yangu alikuwa ni daktari alienda huko kufungua Dispensaries zake binafsi huko miaka ya 1983-1989 nilikuwa mdogo nasoma shule za misingi lakini niliyajua sana haya mambo ya Utusi na Uhutu kwasababu yalikuwa waziwazi miaka ile watusi walitawala Burundi na wahutu walitawala Rwanda wakati sasa hivi ni vice versa
Si kweli kuwa watusi wa Rwanda wako tofuti na wa Brundi wala Tanzania au Congo au watusi wa Rwanda wanafanana zaidi ni big no watusi kuna features zinazowatofautisha na wabantu wengine na hata wao hutambuana na hawahitaji vitambulisho ukimuangalia Paul Kagame hafanani na Jenerali Fredy Rwigema Gwasa, wala Jenerali James Kabarege wala Jenerali Kayumba Nyamwaswa wala Col Patrick Karegeya lakini bado wana features zinaoonyesha wote ni watusi na ingawa hawafanani vile. Hata Burundi Michel Mchombero hafanani na Prince Louis Rwagasore, wala Col Babtiste Bagaza wala Major Pierre Buyoya lakini wana zile features za kuwafanya wote watambulike ni watusi. In matter of fact Major Buyoya resemble General Rwigema than Kagame who is more skinny and slake although they come from different countries to dispute your notion about Tusti from Rwanda are more identical than others
Muingiliano wa makabila kweli upo lakini kunabadhi ya asili za watu huacha tracks za features ndio maana wasomali leo bado wana features za kiarabu ingawa waliingiliana na wabantu lakini bado wana disintictive features likewise people from Horn of Africa the Ethiopians, the Eritreans and people from Djibout bado kuna tracks kuonyesha waliingiliana na watu wa mashariki ya kati ingawa makabila mengi afrika hutambulikana kwa lugha na utamadun wao yapo baadhi hutambulikana kwa features zao mfano watusi pia Riverlake Nilots unaweweza watambua pia ingawa wao ni rangi zaidi wakiingiliana inapotea mfano Luo, lango, Acholi na Nubians. Kwa watusi ni pua, masikio,shingo, ugoko wa mguu na unyayo wao ambao wengi wao hauko curved uko flat haya ya miguu niliyajua wakati nataka kujiunga jeshi miaka ile ulikuwa nichunguzi kwelikweli. Miei mshabki sana wa kwaya ya Kisabato kutoka Rwanda iitwayo Ambassodor to Christ wale waimbaji watusi ni wengi zaidi ingawa hawashabihiani lakni wana features za kuonyesha nani mtusi mle na nani sio mtusi I can Identify them so easily na haitachukua dakika moja kuisha
.
Kuhusu Operesheni ondoa Wanyarwanda haswa watutsi ilifunikwa kwa Tanzania kujifanya inatoa wahamiaji haramu pia toka Kenya, Malawi, na Burundi lakini lengo kubwa ilikuwa ni wayarwanda wenye asili ya kitusi it was just a cover up nawe ukawa faked and you bought it, hahahahahahahahahahahaha kweli Tanzania kiboko I was there in Biharamulo in matter of fact sikupenda maana kuna jamaa zangu nawajua sana rafiki zangu wamezaliwa Tanzania hata Rwanda hawaijui mie niliwasimulia mana nimeshi ilinisikiisha sana sababu ya mjinga Kagame anayekumbatia Kenya at the expenses of Tanzania wakati Tanzania, Rwanda na Burundi zimeingiliana na kuoleana kwa miaka mingi pia kufanya biashara kwa pamoja kuliko Kenya. Burundi wanalitambua sana ndio maana wako na Tanzania kasoro mjinga Kagame anayejifanya ni game changer
Ulitolea mfano wa mhutu kufanana kitusi na mtusi kufanana kihutu hiyo ni mfano michache sana one in a million unafikiri mauaji ya halaiki Rwanda Interahamwe waliangalia vitambulisho? Walichofanya waliangalia features hata watusi walionunua uhutu na vitambulisho kuandikwa wahutu maana wahutu walitawala ujiokoa upate madaraka ni kujifanya mhutu haikusaidia features zaidi ndio ilikuwa ni uthibiisho na si kitambulisho. Hata Burundi wakati watusi wanatawala wahutu walitoa fee maalumu kitambulisho kiandikwe mtusi bado haikusaidia ilipokuja mauaji ya halaiki Burundi ambapo Michel Mchombero aliua wahutu wengi miaka ya 70 ni features zilitumika kuofautisha nani mhutu nani mtusi vivyo hivyo wakati wa mauaji ya Melchor Ndadaye na wahutu wenzake mwaka 1993 yaliofanywa na Kanali Jean Bikomagu na kumrudisha Meja Buyoya madarakani