Kagame will never live in peace, ni mwoga mno!

Kagame will never live in peace, ni mwoga mno!

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,898
hofu kuu imemjaa,

1. FDLR wanaweza kutia timu wakati wowote tokea congo au maeneo mengine

2. Kayumba nyamwasa na kundi lake walioko ukimbizini wanaweza kumshambulia wakati wowote tokea eneo ambalo hadi sasa halijui. kayumba na wenzie walishafanya kazi naye post za juu hivyo anawajua walivyo imara na bora kuliko yeye katika vita na kila kitu, anawaogopa kuliko ukoma.

3. Kagame anatapatapa kiasi kwamba anaamini kuwa tz inawasaidia hao wapinzani wake, na anafikiri ati tz itawasaidia kuingilia Rwanda wapinzani wake. kitendo chake cha kuchimba mahandaki ni kubip tu ili pengine tz imwogope ikifikiri kuwa labda tz inamwogopa kwamba rwanda itaishambulia tz wakati wowote, ajabu yake ni kwamba, Tz inajua kuwa Rwanda haina uwezo wowote kuishambulia Tz milele, na kama Tz ikipata sababu za msigi inao uwezo kumshambulia kagame kufumba na kufumbua akasambaratika.

4. marafiki wa kagame kama vile MAREKANI na uingereza wamemtosa. hii imetokea baada ya OBAMA kuahirisha safari yake yeye alipokataa ushauri wa kuongea na FDLR. pia imesababishwa na kagame kumuua KAREGEYA africa kusini. jambo hili limepunguza sifa zake kimataifa na kila mtu anamlaani. marekani pia imelaani kitendo hicho. silaha hapati tena na ametoswa. marafiki zake waliobaki ni kenyatta ambaye hatabiriki na museven ambaye naye halali usingizi na hana raha ya maisha.

5. KAGAME anaiheshimu na kuiogopa sana Tanzania kwasababu ya wachina, anaamini kauli ya balozi wa china mwaka jana siku ile manowari ya kivita ya kichina ilipotua bandari ya dsm balozi akasema "ATAKAYE ISHAMBULIA TANZANIA AMEISHAMBULIA CHINA" akiwa na maana kuwa China itaisaidia Tanzania kupigana na maadui zake. jambo hili linamfanya aamini kuwa zile siri za kijeshi na silaha alizokuwa anajua tz tunazo sio statistic sahihi, wachina wanaweza kuwa wameleta sihala mpya na bora na wanaweza kuzileta wakati wowote kwasababu tz ina access ya bahari hivyo inaweza kuingiza mzigo bila kupitia nchi nyingine kama alivyo yeye landlocked.

6. KAGAME anajua kuwa, hata kama siku moja atapata msaada wa museven na kenyatta, Tanzania itasaidiwa sana na SADC katika kila kitu wakati wowote, hivyo uwezo wa kuishambulia tz hataupata milele.

mambo haya pamoja na mengi, yanamfanya kagame asilale usingizi, anajua wakati wowote anaweza kupindulia na watu wake, pia anajilaumu sana kumess up with Tanzania kitendo kilichofanya awe kama anao adui pembeni mwake ambaye anaweza kumfanya asilale usingizi kama akiamua.

pia kagame inasemekana ali mu underestimate kikwete, na anajilaumu kwanini aliingia bifu lile kwasababu amepata hasara zaiku kuliko faida kama asingeingia kwenye bifu na tz na kikwete.
 
ok mkuu umenipa nguvu mpya ya kumfikiria tena kagame!
 
Kagame na wapambe wake wamekalia kuti kavu kwa sasa...ni sikio la kufa.
 
uliyoyasema yote ya kweli. Lakini tunaomba yeyote atupie picha za hayo mahandaki wanayochimba upande wa rwanda.
 
Pamoja na yote, kuendelea kwa Kagame kuwa Rais kule Rwanda ni kwa fadhila za Tanzania tu, kutomwondoa madarakani.
Sababu za kumwondoa zipo, uwezo wa kumwondoa upo, nia tu inakosekana kwa sasa.
Wacha aendelee na madudu tupate nia yenyewe na kufunga kazi
 
The safest,cleanest and most non corrupt state in Africa..hi vyo vitu is through discipline and hardwork sio longolongo mlizozoea,soon mtaanza kwenda Kigali kutafuta kazi na maisha bora wapuuzi wakubwa nyie na ndoto zenu za mchana
 
hofu kuu imemjaa,

1. fdlr wanaweza kutia timu wakati wowote tokea congo au maeneo mengine

2. kayumba nyamwasa na kundi lake walioko ukimbizini wanaweza kumshambulia wakati wowote tokea eneo ambalo hadi sasa halijui. Kayumba na wenzie walishafanya kazi naye post za juu hivyo anawajua walivyo imara na bora kuliko yeye katika vita na kila kitu, anawaogopa kuliko ukoma.

3. kagame anatapatapa kiasi kwamba anaamini kuwa tz inawasaidia hao wapinzani wake, na anafikiri ati tz itawasaidia kuingilia rwanda wapinzani wake. Kitendo chake cha kuchimba mahandaki ni kubip tu ili pengine tz imwogope ikifikiri kuwa labda tz inamwogopa kwamba rwanda itaishambulia tz wakati wowote, ajabu yake ni kwamba, tz inajua kuwa rwanda haina uwezo wowote kuishambulia tz milele, na kama tz ikipata sababu za msigi inao uwezo kumshambulia kagame kufumba na kufumbua akasambaratika.

4. marafiki wa kagame kama vile marekani na uingereza wamemtosa. Hii imetokea baada ya obama kuahirisha safari yake yeye alipokataa ushauri wa kuongea na fdlr. Pia imesababishwa na kagame kumuua karegeya africa kusini. Jambo hili limepunguza sifa zake kimataifa na kila mtu anamlaani. Marekani pia imelaani kitendo hicho. Silaha hapati tena na ametoswa. Marafiki zake waliobaki ni kenyatta ambaye hatabiriki na museven ambaye naye halali usingizi na hana raha ya maisha.

5. kagame anaiheshimu na kuiogopa sana tanzania kwasababu ya wachina, anaamini kauli ya balozi wa china mwaka jana siku ile manowari ya kivita ya kichina ilipotua bandari ya dsm balozi akasema "atakaye ishambulia tanzania ameishambulia china" akiwa na maana kuwa china itaisaidia tanzania kupigana na maadui zake. Jambo hili linamfanya aamini kuwa zile siri za kijeshi na silaha alizokuwa anajua tz tunazo sio statistic sahihi, wachina wanaweza kuwa wameleta sihala mpya na bora na wanaweza kuzileta wakati wowote kwasababu tz ina access ya bahari hivyo inaweza kuingiza mzigo bila kupitia nchi nyingine kama alivyo yeye landlocked.

6. kagame anajua kuwa, hata kama siku moja atapata msaada wa museven na kenyatta, tanzania itasaidiwa sana na sadc katika kila kitu wakati wowote, hivyo uwezo wa kuishambulia tz hataupata milele.

Mambo haya pamoja na mengi, yanamfanya kagame asilale usingizi, anajua wakati wowote anaweza kupindulia na watu wake, pia anajilaumu sana kumess up with tanzania kitendo kilichofanya awe kama anao adui pembeni mwake ambaye anaweza kumfanya asilale usingizi kama akiamua.

Pia kagame inasemekana ali mu underestimate kikwete, na anajilaumu kwanini aliingia bifu lile kwasababu amepata hasara zaiku kuliko faida kama asingeingia kwenye bifu na tz na kikwete.

siku za paka kutawala rwanda zinahesabika
 
The safest,cleanest and most non corrupt state in Africa..hi vyo vitu is through discipline and hardwork sio longolongo mlizozoea,soon mtaanza kwenda Kigali kutafuta kazi na maisha bora wapuuzi wakubwa nyie na ndoto zenu za mchana
Ngoja waje,... nadhani ww ni mnyarumtutsi
 
Pamoja na yote, kuendelea kwa Kagame kuwa Rais kule Rwanda ni kwa fadhila za Tanzania tu, kutomwondoa madarakani.
Sababu za kumwondoa zipo, uwezo wa kumwondoa upo, nia tu inakosekana kwa sasa.
Wacha aendelee na madudu tupate nia yenyewe na kufunga kazi

VITA YA TANZANIA NA Rwanda haitadumu zaidi ya siku saba kabla ya PAKA kuikimbia kigali na kuacha shangwe kwa wapenda demokrasia wa rwanda
 
You may wish to be true statement!
Tumeshaona na kuthibitisha kuwa matatizo ya nchi jirani yanaweza kusababisha matatizo kwa majirani. Hii imekuwa kweli DRC, Burundi, Rwanda, Uganda, etc.
Tuombe amani tu!
 
The safest,cleanest and most non corrupt state in Africa..hi vyo vitu is through discipline and hardwork sio longolongo mlizozoea,soon mtaanza kwenda Kigali kutafuta kazi na maisha bora wapuuzi wakubwa nyie na ndoto zenu za mchana

Arobain yenu inafika soon. Msidhan kila mahal ni pa kuchezea kama soko. Kwa taarifa hizo longolongo zako utakuja kuprov ninj maana ya Tanzania. Fanyeni mambo mkiangalia impact mbeleni sio mnakwenda kama vichaa. Mtajutia kutukana baba zenu na pua zenu ndefu
 
The safest,cleanest and most non corrupt state in Africa..hi vyo vitu is through discipline and hardwork sio longolongo mlizozoea,soon mtaanza kwenda Kigali kutafuta kazi na maisha bora wapuuzi wakubwa nyie na ndoto zenu za mchana

Wewe nchi ya rwanda haina tofauti na ukubwa wa arusha tutaenea??? Na sio kwamba tunakuja kwasababu kwetu hakuna NOOOni kwasababu kwetu tunao wengi wataalam hadi kumfanya kagame kuja kuomba... na hao makachero warwanda waliopo tanzania wanamuingiza kagame chocho...
 
Nyie lazima mtakuwa wehu tuu si bure,na wewe majeshi AKA interahamwe with a bad dream endelea na mitusi na mikelele yako lakini soon the law will catch up with you kama baba zako wanaofungwa left and right everyday ..sio MTZ wewe acha kudanganya watu na for the sorry azzez msioelewa mnatumiwa poleni sana
 
Hakuna rais anaopiga kazi afrika kama Kagame.
Nyie pigeni majungu mwisho wa siku mtalala. Kagame ni mtu wa kazi si majungu.

Mungu ibariki Rwanda, Marekani na Tanzania.

Kagame we piga kazi usiwasikilize waswahili wamezoea maneno
 
Mkuu siku zote huwa napenda kuangalia uhusiano kati ya Rwanda na Tanzania beyond Paul Kagame na JK. Believe me hakuna ugomvi kati ya Rwanda na Tanzania, issue ya sasa ni ndogo sana.

Ni kweli PK ana wasiwasi, na sababu ni kuwa kuna mengi yanayomzunguka.

Lakini a point to add ni kuwa Kenya na Tanzania, hata kwa udi na uvumba na hata kwa uchochezi zitaendelea kuwa karibu, na kama ikijakutokea Kenya na Tanzania zimekorofosha kwa level kama ya Rwanda, basi ujue ni maajabu ya dunia. Kuna economic, cultural na people to people interactions za hali ya juu kiasi kwamba hata PK ajaribu kuvuruga hataweza.

Uganda is not a country anyway, it has three pieces in it and we have a stake in one. Rwanda yenyewe hata leo ukienda Kigali unaweza kukuta kuna product kubwa sana ya Tanzania.

That is why sikubaliani na hoja kuwa kuna wasiwasi wa vita kati ya TZ na Rwanda, PK know that pretty well.

PK amjeitahidi sana kuiongoza vizuri Rwanda, lakini anaudhi pale anapoanza ku-behave kama FDLR. FDLR walijifanya hwasikii la mtu na waliona mapanga is only way. Tabia ya kuua watu whether ni wahutu or watutsi, kwame haikubaliki.
 
Yaani leo ki nchi kama Rwanda kitufanye tufikirie hadi back up ya SADC na Wachina?

Kagame hawezi kuinyima usingizi Tanzania hata kidogo ni mambo ya kidiplomasia tu.

Tanzania tuna marafiki wengi tena tuliowatengeneza wenyewe na kuwa walivyo leo na ikibidi kuwatumia ni kwenye mazingira mazito si ki nchi ambacho Majasusi nguli tu wanatosha kuisambaratisha bila hata ku mobilize Jeshi.
 
Back
Top Bottom