hofu kuu imemjaa,
1. FDLR wanaweza kutia timu wakati wowote tokea congo au maeneo mengine
2. Kayumba nyamwasa na kundi lake walioko ukimbizini wanaweza kumshambulia wakati wowote tokea eneo ambalo hadi sasa halijui. kayumba na wenzie walishafanya kazi naye post za juu hivyo anawajua walivyo imara na bora kuliko yeye katika vita na kila kitu, anawaogopa kuliko ukoma.
3. Kagame anatapatapa kiasi kwamba anaamini kuwa tz inawasaidia hao wapinzani wake, na anafikiri ati tz itawasaidia kuingilia Rwanda wapinzani wake. kitendo chake cha kuchimba mahandaki ni kubip tu ili pengine tz imwogope ikifikiri kuwa labda tz inamwogopa kwamba rwanda itaishambulia tz wakati wowote, ajabu yake ni kwamba, Tz inajua kuwa Rwanda haina uwezo wowote kuishambulia Tz milele, na kama Tz ikipata sababu za msigi inao uwezo kumshambulia kagame kufumba na kufumbua akasambaratika.
4. marafiki wa kagame kama vile MAREKANI na uingereza wamemtosa. hii imetokea baada ya OBAMA kuahirisha safari yake yeye alipokataa ushauri wa kuongea na FDLR. pia imesababishwa na kagame kumuua KAREGEYA africa kusini. jambo hili limepunguza sifa zake kimataifa na kila mtu anamlaani. marekani pia imelaani kitendo hicho. silaha hapati tena na ametoswa. marafiki zake waliobaki ni kenyatta ambaye hatabiriki na museven ambaye naye halali usingizi na hana raha ya maisha.
5. KAGAME anaiheshimu na kuiogopa sana Tanzania kwasababu ya wachina, anaamini kauli ya balozi wa china mwaka jana siku ile manowari ya kivita ya kichina ilipotua bandari ya dsm balozi akasema "ATAKAYE ISHAMBULIA TANZANIA AMEISHAMBULIA CHINA" akiwa na maana kuwa China itaisaidia Tanzania kupigana na maadui zake. jambo hili linamfanya aamini kuwa zile siri za kijeshi na silaha alizokuwa anajua tz tunazo sio statistic sahihi, wachina wanaweza kuwa wameleta sihala mpya na bora na wanaweza kuzileta wakati wowote kwasababu tz ina access ya bahari hivyo inaweza kuingiza mzigo bila kupitia nchi nyingine kama alivyo yeye landlocked.
6. KAGAME anajua kuwa, hata kama siku moja atapata msaada wa museven na kenyatta, Tanzania itasaidiwa sana na SADC katika kila kitu wakati wowote, hivyo uwezo wa kuishambulia tz hataupata milele.
mambo haya pamoja na mengi, yanamfanya kagame asilale usingizi, anajua wakati wowote anaweza kupindulia na watu wake, pia anajilaumu sana kumess up with Tanzania kitendo kilichofanya awe kama anao adui pembeni mwake ambaye anaweza kumfanya asilale usingizi kama akiamua.
pia kagame inasemekana ali mu underestimate kikwete, na anajilaumu kwanini aliingia bifu lile kwasababu amepata hasara zaiku kuliko faida kama asingeingia kwenye bifu na tz na kikwete.