Kagame will never live in peace, ni mwoga mno!

Tuangalie TZ-Rwanda beef in a big picture unaweza kukuta kuna Tanzania(Kikwete) interests ndani ya huu mgogoro hasa mashariki mwa Congo DR.Kama ilivyo kwa Museveni na Kagame walivyo na interests zao ndani ya Congo Kikwete (na Tanzani) naye anaweza kuwa na kitu anachofaidi au atakachofaidi kutokana na kujihusisha na huu mgogoro. Hatuwezi kutuma majeshi bila faida, ni sawa nchi zote zinazojihusisha na migogoro nje ya mipaka mfano hizi za mabepari zinafaidi kwa namna moja au nyingine. Wanasiasa wanatuambia ni kulinda amani blah blah lazima patakuwa na faida fulani wanayopata. Ni mawazo yangu tu, naweza kuwa right or wrong.
 
its just a matter of time, yaani, kipindi RPF wapo msituni, walihesabika kama FDLR wa sasa, ungejisikiaje kama kagame angekuwa wiped off before reaching kigali?hata hao FDLR kuna siku watakuja kutia timu kigali na hautaamini kwasababu asilimia kubwa ya wanyarwanda sio watusi, ni wahutu ambao miyoni mwao ni FDLR ila machoni ni RPF. kipindi gadafi anatawala libya wakati akiwapa watu pesa za bure waoe na nyumba etc aliamini asilimia mia wapo naye, siku walipokuja kumgeuka hakuamini macho yake, kumbe walikuwa naye machoni mioyoni walikuwa wanamchukia kwa kuwanyima uhuru.

hakuna mhutu hata mmoja atakayekubali wahutu wenzie waendelee kuteseka msituni, amewaona maelfu wakiuawa na mtusi, akafurahi. hakuna mhutu kama huyo. its just a matter of time.

kitu pekee ambacho watz tunatakiwa kujiandaa ni kupokea wakimbizi wengine, however unfortunately time hii naamini hatutakuwa wakaribu kwa wanyarwanda kama kipindi cha nyuma kwasababu tu mesaidia wanyarwanda wengi. hawa wanaojua kiswahili humu ndani walisomea tz kwa kodi za tz wakila vyakula vya tz na kunya mav.i kwenye ardhi ya tz lakini leo hii kagame na watu wake wamesahau fadhila zote wakanyeea kambi. kuna siku mkirudi kwenye kambi hili mlalala kwenye mav.i. amini usiamini.

kabla ya rwanda kujiunga east africa, hakukua na matatizo, huyu mdudu rwanda/kagame alipotia mguu tu ni kama yule mdudu anayenuka, alichafua hali ya hewa hakuna maelewano, kizazi cha nyoka ni nyoka tu.

Your ranting only highlights your general ignorance of Rwanda/Rwandese people.
 
Tuangalie TZ-Rwanda beef in a big picture unaweza kukuta kuna Tanzania(Kikwete) interests ndani ya huu mgogoro hasa mashariki mwa Congo DR.Kama ilivyo kwa Museveni na Kagame walivyo na interests zao ndani ya Congo Kikwete (na Tanzani) naye anaweza kuwa na kitu anachofaidi au atakachofaidi kutokana na kujihusisha na huu mgogoro. Hatuwezi kutuma majeshi bila faida, ni sawa nchi zote zinazojihusisha na migogoro nje ya mipaka mfano hizi za mabepari zinafaidi kwa namna moja au nyingine. Wanasiasa wanatuambia ni kulinda amani blah blah lazima patakuwa na faida fulani wanayopata. Ni mawazo yangu tu, naweza kuwa right or wrong.

ni kweli kwamba kuna interest kubwa kwa tanzania kwa kuwepo na amani congo mfano hakutakuwa na maelfu ya wakimbizi tz kutoka congo kama miaka ya nyuma,pili fursa za kibiashara ni kubwa kibiashara kwa nchi ya congo ukizingatia utajiri wa mali asili wa congo na soko la biashara la watu zaidi ya milioni 70!!na ndiyo sababu sadc imeikaribisha congo haraka haraka pamoja na matatizo yao!!!kuna nchi kama hizi za coalition of landless hata zikiomba uanachama sadc hazitakubaliwa!!!
 
hofu kuu imemjaa,

1. FDLR wanaweza kutia timu wakati wowote tokea congo au maeneo mengine

2. Kayumba nyamwasa na kundi lake walioko ukimbizini wanaweza kumshambulia wakati wowote tokea eneo ambalo hadi sasa halijui. kayumba na wenzie walishafanya kazi naye post za juu hivyo anawajua walivyo imara na bora kuliko yeye katika vita na kila kitu, anawaogopa kuliko ukoma.

3. Kagame anatapatapa kiasi kwamba anaamini kuwa tz inawasaidia hao wapinzani wake, na anafikiri ati tz itawasaidia kuingilia Rwanda wapinzani wake. kitendo chake cha kuchimba mahandaki ni kubip tu ili pengine tz imwogope ikifikiri kuwa labda tz inamwogopa kwamba rwanda itaishambulia tz wakati wowote, ajabu yake ni kwamba, Tz inajua kuwa Rwanda haina uwezo wowote kuishambulia Tz milele, na kama Tz ikipata sababu za msigi inao uwezo kumshambulia kagame kufumba na kufumbua akasambaratika.

4. marafiki wa kagame kama vile MAREKANI na uingereza wamemtosa. hii imetokea baada ya OBAMA kuahirisha safari yake yeye alipokataa ushauri wa kuongea na FDLR. pia imesababishwa na kagame kumuua KAREGEYA africa kusini. jambo hili limepunguza sifa zake kimataifa na kila mtu anamlaani. marekani pia imelaani kitendo hicho. silaha hapati tena na ametoswa. marafiki zake waliobaki ni kenyatta ambaye hatabiriki na museven ambaye naye halali usingizi na hana raha ya maisha.

5. KAGAME anaiheshimu na kuiogopa sana Tanzania kwasababu ya wachina, anaamini kauli ya balozi wa china mwaka jana siku ile manowari ya kivita ya kichina ilipotua bandari ya dsm balozi akasema "ATAKAYE ISHAMBULIA TANZANIA AMEISHAMBULIA CHINA" akiwa na maana kuwa China itaisaidia Tanzania kupigana na maadui zake. jambo hili linamfanya aamini kuwa zile siri za kijeshi na silaha alizokuwa anajua tz tunazo sio statistic sahihi, wachina wanaweza kuwa wameleta sihala mpya na bora na wanaweza kuzileta wakati wowote kwasababu tz ina access ya bahari hivyo inaweza kuingiza mzigo bila kupitia nchi nyingine kama alivyo yeye landlocked.

6. KAGAME anajua kuwa, hata kama siku moja atapata msaada wa museven na kenyatta, Tanzania itasaidiwa sana na SADC katika kila kitu wakati wowote, hivyo uwezo wa kuishambulia tz hataupata milele.

mambo haya pamoja na mengi, yanamfanya kagame asilale usingizi, anajua wakati wowote anaweza kupindulia na watu wake, pia anajilaumu sana kumess up with Tanzania kitendo kilichofanya awe kama anao adui pembeni mwake ambaye anaweza kumfanya asilale usingizi kama akiamua.

pia kagame inasemekana ali mu underestimate kikwete, na anajilaumu kwanini aliingia bifu lile kwasababu amepata hasara zaiku kuliko faida kama asingeingia kwenye bifu na tz na kikwete.

Nimependa hii tahariri
 
The safest,cleanest and most non corrupt state in Africa..hi vyo vitu is through discipline and hardwork sio longolongo mlizozoea,soon mtaanza kwenda Kigali kutafuta kazi na maisha bora wapuuzi wakubwa nyie na ndoto zenu za mchana

Nani akatafute Rwanda kazi? Nchi yenyewe overpopulated nimebahatika kuishi Rwanda nikiwa mdogo wakti wa Habyarimana huko Nyakarambi a Kibungo Rwanda haina lolote nchi ile ndogo sana hata pa kulima shida kupatikana wanyarwanda walikimblia Tanzania angalau kupata ardhi waweze kulima na kufuga meneo ya Rusumo, Nyakahura, Kanazi, Ngara, Biharamulo, Rulenge nk

Rwanda ndio watapata hasara na si Tanzania na kisa cha mgogoro wa Congo ni ardhi kinchi kidogo kama Mkoa wa Mara ile nchi haina maendeleo ya viwanda wala teknolojia kama Singapore au Taiwan kiasi cha kwamba watanzania wakatafute kazi bali level yake ni sawa na nchi za maziwa makuu na ukiwa huna viwanda na teknolojia ardhi ndio inakuwa raslimali kubwa ndio maana Tanzania na Congo ni sleeping giants sio vikalagosi Rwanda, Uganda wala Kenya waliokalia kuti kavu
 
PK ni rubbish kabisa hata kumdiscuss ni kumpa kick
 
ni kweli kwamba kuna interest kubwa kwa tanzania kwa kuwepo na amani congo mfano hakutakuwa na maelfu ya wakimbizi tz kutoka congo kama miaka ya nyuma,pili fursa za kibiashara ni kubwa kibiashara kwa nchi ya congo ukizingatia utajiri wa mali asili wa congo na soko la biashara la watu zaidi ya milioni 70!!na ndiyo sababu sadc imeikaribisha congo haraka haraka pamoja na matatizo yao!!!kuna nchi kama hizi za coalition of landless hata zikiomba uanachama sadc hazitakubaliwa!!!

nilichokuwa namaanisha ni faida zisizokuwa obvious. Mfano nilisoma sehemu sijui ni hapa au media nyingine wanadai Uganda wanafaidika kwa kuexport almas za Congo DR kimagendo. Mfano mwingine ni kama Marekani, UK etc zinavyofaidika kunyonya mafuta ya Iraq, Libya baada ya kuspend pesa na majeshi yao katika vita ktk nchi hizo.
 
Nani akatafute Rwanda kazi? Nchi yenyewe overpopulated nimebahatika kuishi Rwanda nikiwa mdogo wakti wa Habyarimana huko Nyakarambi a Kibungo Rwanda haina lolote nchi ile ndogo sana hata pa kulima shida kupatikana wanyarwanda walikimblia Tanzania angalau kupata ardhi waweze kulima na kufuga meneo ya Rusumo, Nyakahura, Kanazi, Ngara, Biharamulo, Rulenge nk

Rwanda ndio watapata hasara na si Tanzania na kisa cha mgogoro wa Congo ni ardhi kinchi kidogo kama Mkoa wa Mara ile nchi haina maendeleo ya viwanda wala teknolojia kama Singapore au Taiwan kiasi cha kwamba watanzania wakatafute kazi bali level yake ni sawa na nchi za maziwa makuu na ukiwa huna viwanda na teknolojia ardhi ndio inakuwa raslimali kubwa ndio maana Tanzania na Congo ni sleeping giants sio vikalagosi Rwanda, Uganda wala Kenya waliokalia kuti kavu

Haaa haaaa.....umenifurahisha mkuu!....haaaa haaaa!!
 
Nampenda Rais wangu Kagame, uoga umewajaa watu mpaka povu lawatoka kwa maneno, kila post ni Kagame tuu.. Ukiuliza hivi hii yote yanini ooh!kamtukana Kikwete, upande mwingine Kikwete mwenyewe anasema tayari ameshamaliza tofauti zake na Kagame, na Tanzania imeonya vyombo vya habali vinavyokuza mgogoro usio kuwepo:
Hawa FDRL walishindwa wakiwa na nchi mkononi unadhani leo ndio wataweza?Wengi wa viongozi wa FDRL wanatafutwa jamii ya kimataifa kujibu kesi ya mauaji, hivi is this a credible organization to be considered a legal political party?
Comments za watu kama Jmali zilinifanya niingie into details na ukweli ni kwamba more than 50%of Rwanda cabinet ni Wa Hutu, ukianza na Prime Minister mwenyewe;
Sasa hoja hizi sijui oo Tutsi,Tutsi, sijui waHutu wanaonewa zinatoka wapi, hivi unadhani serikali inatofautisha vipi mTutsi na Mhutu wakati kwenye ID hakuna kabila, unadhani wakati wakuomba kazi unaweka kabila lako, au unadhani wa Tutsi wote wanafahamiana?
Uwezo wa Rwanda kujihami unajulikana, ndio maana to me i don`t care to who talks or try to organize the already disorganised FDRL kwani najua hakuna lolote wanaloweza kufanya:
Wishfull thinking which are coming out through forums like this wont cease:Ndio maana wale wote wanaoponda wataendelea kutumia future tense:
Rwanda ina miaka ishilini tu tangu ianze kujijenga kuilinganisha na nchi ambazo hazijakutana na matatizo inaonyesha ni wapi Rwanda imefika:
Wanya Rwanda hawana chuki dhidi ya wa Tanzania nadhani wa Tanzania walio Rwanda wanaweza ku confirm my statement.
Pia waTanzania najua hawana chuki yoyote dhidi ya wa NyaRwanda i mean what i am talking manake nikiwa Dar, sifichi kuwa mimi ni MNyaRwanda:
However kuna watu humu kwa faida zao binafsi hawapendi mentioning Rwandese as Rwandese wao wana attack Tutsi, so you can easily identify who are those attackers:
 
unatakiwa kuelewa kuwa, watz na wanadunia wengi wanamchukia kagame lakini hawawachukii wanyarwanda wote na wala hawawachukii watuti kama kabila. wanamchukia kagame na RPF kwasababu wamesababisha vifo vya raia wa congo zaidi ya milioni sita (6,000,000). hivyo, hata kama kagame hataadibishwa na ulimwengu huu wa leo, roho hizi bado zinamlilia, nafsi yake kama hatamrudia Mungu wake lazima italipizwa kisasi na muumba aliyewaumba wale watu milioni sita. the same to those FDLR ambao walishiriki genocide, kama hawata mrudia Mungu wataadhibiwa, hata kama sisi wanadamu tutashindwa kuwaadhibu FDLR NA KAGAME, Mungu kuna siku ataaadibisha na watajuta kwanini walizaliwa. ajabu yake ni kwamba, kagame hajutii, anazidi tu kuua watusi kwa wahutu, karegeya, kayumba kaponea chupuchupu na wengine wengi. Rwanda bila kagame ni nchi nzuri sana.
 
We ----- seems you have no clue na unachoandika zaidi ya mapovu tuu,hopefully ndoto zako za mchana zitaisha soon and back into reality.
 
magazeti ya serikali yenu yanawaona vipi FDLR na Twagiramungu nchini kwetu kama sio paranoia? Mwoga hapa ni serikali yenu sio sisi.
 
Talkandtalk, unamhadaa nani? kutokuwa na kitambulisho chenye kuonyesha kabila sio tija mie nimeishi Rwanda naifahamu sana pia Rwanda wahutu na watusi wote wanaongea lugha moja na utamaduni ni mmoja mambao ni mila na desturi moja the only different are disntictive features, yaani maumbile na mtazamo wa mtu ndio hutofautisha kabila lake ukiwa na pua ndefu nyembamba, uso mrefu, shingo ndefu wewe ni mtusi na ukiwa na pua pana, uso mpana, shingo ya kawaida wewe ni mhutu hata kama baba na mama yenu ni mmoja mathalani Kagame anavyoonekana ni mtusi na Uhuru Kenyatta angekuwa Rwanda ni mhutu sasa kitambulisho cha nini iwapo watusi wenyewe waliweza kujitofautisha kwa mtazamo? napotembea mjini nikaona mhindi au mwarabu sihitaji kujua ni mhindi au mwarabu kwa kuangalia kitambulisho bali wana muonekano tofauti wa kuweza kuwatambua

Hizi features watusi walizienzi ili waweze kujitambua tokana na kuwa ni uzao wa huko Ethiopia walikuja wakaigiliana na makabila ya maziwa makuu lakini zile features za uso mwembamba, masikioa marefu, shingo ndefu, pua ndefu na hata urefu vikabakia na kuweza kuonekana maana wao ndio walihighlights lakini wanasindwa kujua hizohizo features walizoziainisha ili waweze kujitambua we are one out of many nations? ndizo hizo hizo features zinazotumika pia kwa upande wao waonekane nyoka na mataifa mengine maana Newton"s Third law of Motion can be summarised as "action and reaction are equal but different in opposite directions" kwahiyo feature walizotengeneza kuwalinda wao pia zinatumika kuwabomoa wao ndio maana opereshi ya kuondoa wanyarwanda haikuwa shida kuwatambua watusti
 
Talkandtalk tuhuma zako dhidi ya serikali ya kihutu ya Rwanda sio kweli hata wakati wa Habyarimana Rwanda ilikuwa imeendelea vyema tu iwapo maendeleo kwako mpaka mtusi awe rais basi uko sahihi lakini hata wakati wa Habyarimana, Rwanda ilikuwa vyema tu na watusi walionekana ni waasi na walijificha nchi jirani na wengine Uganda kwenye jeshi la Museveni kama ilivyo leo wahutu wako nchi za jirani na wengine ni waasi wa FDRL

At the beginning Kagame was perceived a hero who walked under the shadow of beloved General Freddy Rwigema before he turned to be a dictator who distorted the law to perpetuate atrocities by comitting high crimes against humanity under the so called fighting insurgents and remnants of INTERAHAMWE in Congo, also by dividing Rwandese people into two social class for permanent victimization of Tutsi and criminalization of Hutus, Today in Rwanda if your Tutsi, you are a victim (INKOTANYI WORRIOR) and f your Hutu, you are a criminal (INTERAHAMWE WORRIOR)

The accusation of Kagame against persecuting Hutus are too strong in the way Dictator Kagame cannot come forward and deny them, our very keen question to him and we would like him to come foward to answer something he won't do it is to tell us what happened to the prominent Hutu figures such as Pastore Bizimungu the immediate President of Rwanda after genocide, Faustine Twagiramungu the immediate Prime Minister, Seth Sendashonga the immediate Interior Minister and Dr Alex Kanyarwengwe the RPF chairman and Rwandan minister? These prominent Hutus fought alongside Kagame within RPF for the cause of Rwanda either in battle field or in diplomatic missions, and it was these prominent Hutus who showed the image of RPF in International communities as the Counter Revolutionary Party based on national unity not for a single tribe Tutsi as many critics and detractors pointed finger at RPF.

After the capture of Kigali many Hutus who fought for RPF were kept at the bay and others were given positions not very vital compared to their counterparts Tutsi, In military governments or dictatorship governments the following positions are very vital to run the regimes: Defense Minister, Chief of the Military, Chief of Intelligence, Chief of Intelligence in military, Commander of Army, Commander of Air force, Commander of operations within the military and all these positions none of them were given to a single Hutu, besides the Rwandan Army consisted 85% of soldiers belongs to Tusti tribe and 15% Hutu tribe while the Tusts only has 35% or less of population within the country the majority are Hutu with 5% percent or less Twa Tribe or known as Abayovu

Although Bizimungu became president of Rwanda in fact he was a hand out president mostly ceremonial the real power was vested to Paul Kagame a Vice President also a Defense Minister then but the de facto ruler of Rwanda. To prove his power the prominent hutus within the RPF government were accused and imprisoned for something they never did even thought of while others were forced to exile eventually ended in death after being assassinated at Kagame's order for instance Seth Sendashonga who was killed by a hit man in Nairobi. Talkandtalk the 50% position of cabinet you mentioned is useless if The Hutus are not given very vital positions which mostly are occupied by long neck and long nosed people The Tutsi

Some Tutsi such as Lt General Kayumba Nyamwasa and Col Patrick Karegeya knew very well about Kagame's atrocities distanced themselves from him fled the country and voiced out Kagame's crime to reach the International communities they survived many life attempts on them at the order of Kigali government eventually Col Karegeya was killed by coward ruthless and hertless agents acting on behalf of Dictator Kagame, rest in peace Comrade Karegeya you have shown your courage and for General Kayumba Nyamwaswa and his colleagues the will to depose Kagame goes on and the dream shall never die. Thus why we are here at Jamii Forum to let people know the truth
 
we can never deny genocide of rwanda, lakini hata hivyo what kagame (not all rwandans) is doing can not be justified, kwasababu anachofanya sasa sio kuua wahutu tu, bali watusi wenzie waliokuwa nao msituni ambao pia walishawahi kumwokoa alipotaka kuuawa kama kina nyamwasa. hivi anaamini kuwa milele hawa wabaya wake wataangamia bila kurudisha mashambulizi kwake? hajui kama kuna siku na yeye ataanza kukimbiakimbia kama wao wakati huo wao wakiwa wameshika madaraka? kagame haangalii mbele. all we are talking ni kuwasaidia wanyarwanda wenzake wala si watz.
 
Mwanamutapa tuondolee urofa wako , wenzako walishapost Hiyo migazeti mnayookoteza kwenye web hapa Mara nyingi tuu wakawa blasted then wewe unakuja unajifanya Rwanda expert kumbe copy and paste,hata Kama humpemdi Pk lakini sio kuokoteza hiyo migazeti kuja kudanganya watu humu
 
Talkandtalk, unamhadaa nani? kutokuwa na kitambulisho chenye kuonyesha kabila sio tija mie nimeishi Rwanda naifahamu sana pia Rwanda wahutu na watusi wote wanaongea lugha moja na utamaduni ni mmoja mambao ni mila na desturi moja the only different are disntictive features, yaani maumbile na mtazamo wa mtu ndio hutofautisha kabila lake ukiwa na pua ndefu nyembamba, uso mrefu, shingo ndefu wewe ni mtusi na ukiwa na pua pana, uso mpana, shingo ya kawaida wewe ni mhutu hata kama baba na mama yenu ni mmoja mathalani Kagame anavyoonekana ni mtusi na Uhuru Kenyatta angekuwa Rwanda ni mhutu sasa kitambulisho cha nini iwapo watusi wenyewe waliweza kujitofautisha kwa mtazamo? napotembea mjini nikaona mhindi au mwarabu sihitaji kujua ni mhindi au mwarabu kwa kuangalia kitambulisho bali wana muonekano tofauti wa kuweza kuwatambua

Hizi features watusi walizienzi ili waweze kujitambua tokana na kuwa ni uzao wa huko Ethiopia walikuja wakaigiliana na makabila ya maziwa makuu lakini zile features za uso mwembamba, masikioa marefu, shingo ndefu, pua ndefu na hata urefu vikabakia na kuweza kuonekana maana wao ndio walihighlights lakini wanasindwa kujua hizohizo features walizoziainisha ili waweze kujitambua we are one out of many nations? ndizo hizo hizo features zinazotumika pia kwa upande wao waonekane nyoka na mataifa mengine maana Newton"s Third law of Motion can be summarised as "action and reaction are equal but different in opposite directions" kwahiyo feature walizotengeneza kuwalinda wao pia zinatumika kuwabomoa wao ndio maana opereshi ya kuondoa wanyarwanda haikuwa shida kuwatambua watusti

Hapo kwenye Red yaani sijakuelewa unamaanisha nini, kwa wakati mmoja unakubali kwamba kulikuwa na intermarriages kati ya makibila lakini eti Watutsi hawakubadilika? This is scientifically wrong na haiwezekani, inabidi uwe makini na documents unazokumbana nazo kwenye internet manake nyingine zinakuwa zimeandikwa na watu kama wewe wasio na ujuzi wowote juu ya Rwanda:
Kuna Wa Hutu wengi tuu ambao ukiwaangalia phsically huwezi kuwatofautisha na wa Tutsi, at the same time kuna Watutsi wengi tu ukiwaangali huwezi kuwa tofautisha na WaHutu;
May i give you an example?just google some one called Tharcise Karugarama the former minister of Justice, the guy is pure Tutsi from Uganda angalia sura yake halafu niambie, ukishamaliza google image ya Bernard Makuza huyu kwa sasa ni senator na alikuwa waziri mkuu compare those two photos kwa kufuatisha vielelezo vyako:
Those are nonsense, true those are characteristic feutures za makabila hayo, uhusiano na kuingiliana kwa jamii hizi kumeleta kizazi kingine:
Another issue ni kwamba environment pia inasaidia in shaping some ones physical appearence ndio maana Mtutsi wa Tanzania,hafanani na yule wa Congo, au Burundi i hope you know that:

2:What is that operation you are talking about?Hahahh mbona serikali yako inasema ilikuwa ni operasheni dhidi ya wahamiaji haramu regardless ya walikotoka, na ndio maana wa Rundi,WaGanda,Kenyans etc ambao walikuwa wahamiaji haramu wote waliguswa na hiyo operation, am surprised kwamba wewe una insist kwamba ilikuwa inalenga wa Tutsi, really??hahah

3.Mataifa gani hayo yanaona Wa Tutsi kama nyoka!khaa just mention one of them with evidence;
 
unatakiwa kuelewa kuwa, watz na wanadunia wengi wanamchukia kagame lakini hawawachukii wanyarwanda wote na wala hawawachukii watuti kama kabila. wanamchukia kagame na RPF kwasababu wamesababisha vifo vya raia wa congo zaidi ya milioni sita (6,000,000). hivyo, hata kama kagame hataadibishwa na ulimwengu huu wa leo, roho hizi bado zinamlilia, nafsi yake kama hatamrudia Mungu wake lazima italipizwa kisasi na muumba aliyewaumba wale watu milioni sita. the same to those FDLR ambao walishiriki genocide, kama hawata mrudia Mungu wataadhibiwa, hata kama sisi wanadamu tutashindwa kuwaadhibu FDLR NA KAGAME, Mungu kuna siku ataaadibisha na watajuta kwanini walizaliwa. ajabu yake ni kwamba, kagame hajutii, anazidi tu kuua watusi kwa wahutu, karegeya, kayumba kaponea chupuchupu na wengine wengi. Rwanda bila kagame ni nchi nzuri sana.

Kagame ni kati ya viongozi wachache wa Afrika wanaopendwa,Rwanda ina marafiki wengi tu na isingefika ilipo sasa bila misaada ya kimataifa:
Chuki uliyonayo kwa Kagame usidhani na wote wako kama wewe:
Hayo mauaji ya Congo unayoongelea just nikukumbushe kuwa Congo kuna vikundi vya waasi tena vyenye silaha zaidi ya ishilini wote hawana kazi nyingine zaidi ya kuua:
Majeshi ya Rwanda yalipokuwa Congo hawakuwa na mda wa kuua raia, they busy chasing Interahamwe.
 
Hapo kwenye Red yaani sijakuelewa unamaanisha nini, kwa wakati mmoja unakubali kwamba kulikuwa na intermarriages kati ya makibila lakini eti Watutsi hawakubadilika? This is scientifically wrong na haiwezekani, inabidi uwe makini na documents unazokumbana nazo kwenye internet manake nyingine zinakuwa zimeandikwa na watu kama wewe wasio na ujuzi wowote juu ya Rwanda:
Kuna Wa Hutu wengi tuu ambao ukiwaangalia phsically huwezi kuwatofautisha na wa Tutsi, at the same time kuna Watutsi wengi tu ukiwaangali huwezi kuwa tofautisha na WaHutu;
May i give you an example?just google some one called Tharcise Karugarama the former minister of Justice, the guy is pure Tutsi from Uganda angalia sura yake halafu niambie, ukishamaliza google image ya Bernard Makuza huyu kwa sasa ni senator na alikuwa waziri mkuu compare those two photos kwa kufuatisha vielelezo vyako:
Those are nonsense, true those are characteristic feutures za makabila hayo, uhusiano na kuingiliana kwa jamii hizi kumeleta kizazi kingine:
Another issue ni kwamba environment pia inasaidia in shaping some ones physical appearence ndio maana Mtutsi wa Tanzania,hafanani na yule wa Congo, au Burundi i hope you know that:

2:What is that operation you are talking about?Hahahh mbona serikali yako inasema ilikuwa ni operasheni dhidi ya wahamiaji haramu regardless ya walikotoka, na ndio maana wa Rundi,WaGanda,Kenyans etc ambao walikuwa wahamiaji haramu wote waliguswa na hiyo operation, am surprised kwamba wewe una insist kwamba ilikuwa inalenga wa Tutsi, really??hahah

3.Mataifa gani hayo yanaona Wa Tutsi kama nyoka!khaa just mention one of them with evidence;

Naona wameitoa thread nimekujibu haijaenda
 
Mwanamutapa tuondolee urofa wako , wenzako walishapost Hiyo migazeti mnayookoteza kwenye web hapa Mara nyingi tuu wakawa blasted then wewe unakuja unajifanya Rwanda expert kumbe copy and paste,hata Kama humpemdi Pk lakini sio kuokoteza hiyo migazeti kuja kudanganya watu humu

Nafikiri wewe ndiye uadaganya watu kuhusu mada zangu sikopi popote bali naandika kwa jinsi ninavyofahamu na kutafuta ukweli sehemu mbalimbali kasha nalinganisha, iwapo unaona nimekopi chukua mada yangu yeyote ipeleke unakojua ila mie nakushauri itumbukize google ambayo itakuonyesha original writer ni nani kisha njoo jamii irudishe na kuelezea Mwanamutapa alikotoa ntakubali ban na credibility yangu kuondoka,maana kwangu copy and paste ni crime kwasababu ni plagiarism. Tena google itapigia mistari na aya nilizocopy na itaonyesha orginal tahariri iliandikwa na nani.

Koba jifunze kuenzi na kuheshimu tahariri za watu naona uliniunderestamate wewe na Talkandtalk ambaye naye namjibu sasa hivi naye uozo wake limjibu kwenye simu ikakataa sintochoka kuandika ukweli News of Rwanda wananifahamu ilijibishana na waandishi wa habari kwa njia ya gazeti la na ya email wao wenyewe walijua wanadeal na mtanzania ambaye yuko well informed na waliingia mitini ntakupa email zao uwaulize pia jia langu halisi halafu uone kama watakuambia ni copy and paste maana ni majibishano I know Rwanda and Burundi like my backyard.
 
Back
Top Bottom