Kagame will never live in peace, ni mwoga mno!

Kagame will never live in peace, ni mwoga mno!

propaganda ni sehemu ya vita, lakini propaganda za rwanda kuincriminate Tanzania kwa mgongo wa FDLR , hauifanyi rwanda kuwa clean na vitendo vya kagame kuwa sawa, ukweli utabaki kwamba vita ya Tanzania na Rwanda itakuwa ya muda mfupi sana na rwanda itapata hasara kubwa kuliko tanzania, that being the fact, porojo zitaendelea kwa muda mrefu na vita havitapiganwa
 
Mkuu well said, Rwanda ni sawa na kikundi cha ngonjera shuleni na vita haitachukua muda hata kama watasaidiwa na makuadi wao Uganda, Tanzania kuvamia Rwanda itakuwa mithili ya Russia kuvamia Cremia ni kama tunacheki movie kumbe ndio tunatwaa nchi na kufukuzilia mbali Kaburu Kagame na Tutsi Apartheid kama Kamanda Mwanamutapa alivyoielezea na inafit kweli hapo Rwanda maana wachache watusi wanatawala wengi wahutu sawa na makaburu Afrika ya Kusini walivyotawala
 
Kwanza umeshindwa kuthibitisha kwasababu ni juha wee na pua ndefu wenzako mnadhania hatujuia kuhusu ujivuni wa watusi na kujifanya wa maana kuliko wengine na upumbavu wao wa Bahima Empire ujinga pili Rwanda haina lolote kupeleka sub standard hospital ndio mwake maana hamna lolote mpekekewe hosptali za maana kwani Rwanda nanyi mmeendelea vile? When you go to Rome you act like Romans, kwahiyo substandard kwa Rwanda ilikuwa ni mwake kutokana na level yenu ya maendeleo pia maana mlikuwa hampitani na Tanzania wala Uganda wala Kenya wajinga nyie

Nani kafilisika? kuna wenye maisha magumu kama wanyarwanda? wanaamua kuvamia Congo kupunguza pressure na wanaishi kinyamela Tanzania? na wengi wenu ------- nyie mmejaa US kama wakimbizi ukiwamo wee mwenyewe maana Rwanda hakuna pakushika kile kinchi ni sawa na kikundi cha akina mama taarabu au cha ngonjera hakina mashiko ni uchafuzi wa mazingira

Hivi wewe f.a.l.a unajua maana ya coma, full stop, excamation mark etc. Ndio maana nimekwambia wewe utakuwa ni product ya kayumba schools. Elimu hamna kabisa. Kajifunze kwanza jinsi ya kuandika halafu urudi hapa kwenye jukwaa la wasomi.
 
Wapoteza mida ni nyie na serikali ya kibaguzi ya kijinga na wajinga wenzenu wakidhania watatawala muda mrefu kenge fisimaji mkubwa uliyezaliwa kwa njia ya m.k.u.n.d.u ndo maana unafikiria kimavimavi mwanaharamu mkubwa uzao wa nuksi kama Mwanamutapa alivyosema

Naona mama yako alikufundisha vyema.
 
Hivi wewe f.a.l.a unajua maana ya coma, full stop, excamation mark etc. Ndio maana nimekwambia wewe utakuwa ni product ya kayumba schools. Elimu hamna kabisa. Kajifunze kwanza jinsi ya kuandika halafu urudi hapa kwenye jukwaa la wasomi.

Get the ---- out here son of the b.i.t.c.h who told you people in this forum are writing exams, thesis, dissertation, book or an article for the news paper? We are just presenting our thoughts without following all writing rules s.u.c.k.e.r who can't match my intellect, education level and understanding capacity besides some of us are very critical to the government of our own so we try to disguise as much as possible since writings leaves traits as fingerprints retarded Nyalu mkubwa
 
Oooooh....so you are also scared of your government! Wanang'oa meno eeeh? Last time i heard was that tanzanian goverment is the best in the region....kumbe serikali inawakandamiza...so its not democratic eeeh...unajileta mwenyewe...endelea kutiririka.
 
Sijawahi popote pale kusifia serikali ya Kikwete ni bora in matter of fact is one of the worse government in the region maana rais hana uwezo ni mweupe kichwani alishinda kura Dodoma za CCM 2005 kwa rushwa na sura nzuri lakini uwezo hana akiwa anaongea au anatoa hoja utadhania alikomea form two, is useless president ever in my country

Na mie huwa sikatai ukweli nilichokuwa nakupinga wewe kuwa Rwanda ni bora kuliko Tanzania pia Kagame ni greatest president, pamoja na kuwaTanzani ina Rais kilaza pengine kuliko wote maziwa makuu, lakini pia ukweli haupingiki Tanzania ni bora kwa mwananchi wa kawaida kuishi kuliko nchi zote za maziwa makuu huo ndo mtazamo wangu, na ubora wa Tanzania si Kikwete ambaye katurudisha nyuma bali ni misingi imara ya Mwalimu Julius Nyerere
 
Ok...we agree on one thing. Nadhani hapa kwenye JF hujawahi kusikia mnyarwanda anasema kagame is better than kikwete. Sisi tunachosema ni kwamba ya kwetu mtuachie sisi tutayatatua kwa muda wetu. Na nyie mna yenu. Fanyeni na myatatue kwa muda wenu. Kitu ambacho tutapinga mpaka siku ya mwisho, ni kuwapa nafasi baadhi ya watu humu ambao wao wenyewe wanakiri kwamba ni wanyarwanda waliokimbia vita ambao wanatumia forum hii kueneza chuki dhidi ya rwanda kwa manufaa yao wenyewe. Hilo halikubaliki na halitakaa likubalike.
 
Hahahahaaa, safi kabisa! Na sisi kitengo cha propaganda kimeanza kujibu mapigo kwa kagame na propaganda zake! kaza buti mkuu uibuke na propaganda nzuri zaidi ya hizi!!
hofu kuu imemjaa,

1. FDLR wanaweza kutia timu wakati wowote tokea congo au maeneo mengine

2. Kayumba nyamwasa na kundi lake walioko ukimbizini wanaweza kumshambulia wakati wowote tokea eneo ambalo hadi sasa halijui. kayumba na wenzie walishafanya kazi naye post za juu hivyo anawajua walivyo imara na bora kuliko yeye katika vita na kila kitu, anawaogopa kuliko ukoma.

3. Kagame anatapatapa kiasi kwamba anaamini kuwa tz inawasaidia hao wapinzani wake, na anafikiri ati tz itawasaidia kuingilia Rwanda wapinzani wake. kitendo chake cha kuchimba mahandaki ni kubip tu ili pengine tz imwogope ikifikiri kuwa labda tz inamwogopa kwamba rwanda itaishambulia tz wakati wowote, ajabu yake ni kwamba, Tz inajua kuwa Rwanda haina uwezo wowote kuishambulia Tz milele, na kama Tz ikipata sababu za msigi inao uwezo kumshambulia kagame kufumba na kufumbua akasambaratika.

4. marafiki wa kagame kama vile MAREKANI na uingereza wamemtosa. hii imetokea baada ya OBAMA kuahirisha safari yake yeye alipokataa ushauri wa kuongea na FDLR. pia imesababishwa na kagame kumuua KAREGEYA africa kusini. jambo hili limepunguza sifa zake kimataifa na kila mtu anamlaani. marekani pia imelaani kitendo hicho. silaha hapati tena na ametoswa. marafiki zake waliobaki ni kenyatta ambaye hatabiriki na museven ambaye naye halali usingizi na hana raha ya maisha.

5. KAGAME anaiheshimu na kuiogopa sana Tanzania kwasababu ya wachina, anaamini kauli ya balozi wa china mwaka jana siku ile manowari ya kivita ya kichina ilipotua bandari ya dsm balozi akasema "ATAKAYE ISHAMBULIA TANZANIA AMEISHAMBULIA CHINA" akiwa na maana kuwa China itaisaidia Tanzania kupigana na maadui zake. jambo hili linamfanya aamini kuwa zile siri za kijeshi na silaha alizokuwa anajua tz tunazo sio statistic sahihi, wachina wanaweza kuwa wameleta sihala mpya na bora na wanaweza kuzileta wakati wowote kwasababu tz ina access ya bahari hivyo inaweza kuingiza mzigo bila kupitia nchi nyingine kama alivyo yeye landlocked.

6. KAGAME anajua kuwa, hata kama siku moja atapata msaada wa museven na kenyatta, Tanzania itasaidiwa sana na SADC katika kila kitu wakati wowote, hivyo uwezo wa kuishambulia tz hataupata milele.

mambo haya pamoja na mengi, yanamfanya kagame asilale usingizi, anajua wakati wowote anaweza kupindulia na watu wake, pia anajilaumu sana kumess up with Tanzania kitendo kilichofanya awe kama anao adui pembeni mwake ambaye anaweza kumfanya asilale usingizi kama akiamua.

pia kagame inasemekana ali mu underestimate kikwete, na anajilaumu kwanini aliingia bifu lile kwasababu amepata hasara zaiku kuliko faida kama asingeingia kwenye bifu na tz na kikwete.
 
Ok...we agree on one thing. Nadhani hapa kwenye JF hujawahi kusikia mnyarwanda anasema kagame is better than kikwete. Sisi tunachosema ni kwamba ya kwetu mtuachie sisi tutayatatua kwa muda wetu. Na nyie mna yenu. Fanyeni na myatatue kwa muda wenu. Kitu ambacho tutapinga mpaka siku ya mwisho, ni kuwapa nafasi baadhi ya watu humu ambao wao wenyewe wanakiri kwamba ni wanyarwanda waliokimbia vita ambao wanatumia forum hii kueneza chuki dhidi ya rwanda kwa manufaa yao wenyewe. Hilo halikubaliki na halitakaa likubalike.

Lakini sie kama wanachama wa EAC kiongozi yeyote anapoenda kinyume ni haki watu kumkosoa maana hatuwezi kuwa shirikisho ambalo viongozi wake wana fikra na dhana tofauti kabisa ingawa kuwa na mawazo yanayokinzana ni sawa maana mawazo ya kukinzana huleta maendeleo lakini dhana tofauti hubomoa . Mwanzoni Kagame alionekana hero lakini kwa sasa ananyooshewa vidole sana na hili huwa ni tatizo kwa viongozi waliofanya mapinduzi au walioingia madarakani kwa mtutu wa bunduki wakaoverstay, lazima atakosana na aliochukua nao madaraka kwa sababu zile sababu zilizowafanya vijana wakamuunga mkono na kupigana naye bega kwa bega ambazo nyingi ni utawala wa kidemokrasia, kikomo cha uongozi yaani term limits, serikali ya wote, kukomesha rushwa, uongozi bora nk, hawa viongozi wakiingia hukiuka haswa term limits na kujaza ndugu madarakani mfano wa Museveni ambaye ni kiongozi pengine mwenye akili na uwezo mkubwa kuliko wote maziwa makuu ila kageuka dikteta na alioanza nao wenye akili wote wako upinzani au uhamishoni.
 
Wapoteza mida ni nyie na serikali ya kibaguzi ya kijinga na wajinga wenzenu wakidhania watatawala muda mrefu kenge fisimaji mkubwa uliyezaliwa kwa njia ya m.k.u.n.d.u ndo maana unafikiria kimavimavi mwanaharamu mkubwa uzao wa nuksi kama Mwanamutapa alivyosema
this guy deserves a ban, kusema kweli, pamoja na kumkosoa kagame,haya matusi yamezidi... ila kwa lugha ya huyu jamaa, hana hadhi ya kuendelea kuwepo jf kama kweli kila kitu kinaenda kwa fairness.
 
this guy deserves a ban, kusema kweli, pamoja na kumkosoa kagame,haya matusi yamezidi... ila kwa lugha ya huyu jamaa, hana hadhi ya kuendelea kuwepo jf kama kweli kila kitu kinaenda kwa fairness.

Hauko sahihi Azusa maana jamaa naye kamtukana jamaa kama alivyonitukana kule nyuma nawe hauko sahihi kuchochea jamaa afungiwe na isitoshe umeenda jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki? Mbona kuna matusi makubwa zaidi? unachotakiwa ni kumushauri atumie lugha za kistaarabu sio kuinstigate afungiwe
 
Money Stunna hakuna asiekubali upigaj kazi wa kagame,lakin tatzo lake ni ugomvi.!uchokozi usio na msingi,ndoto za kuitawala africa mashariki,ukandamizaji wa demokrasia nchini mwake..

Alaf eti kichwa maji kama wewe unataka kutuwakilisha BBA wakat haujui kinachofanya waTZ wengi wamchukie kagame.!

Sorry mkuu ivi sababu tajwa na mtoa mada hapo juu ndo znawafanya watanzania wamchukie PK au kuna zingine za zaida?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu siku zote huwa napenda kuangalia uhusiano kati ya Rwanda na Tanzania beyond Paul Kagame na JK. Believe me hakuna ugomvi kati ya Rwanda na Tanzania, issue ya sasa ni ndogo sana.

Ni kweli PK ana wasiwasi, na sababu ni kuwa kuna mengi yanayomzunguka.

Lakini a point to add ni kuwa Kenya na Tanzania, hata kwa udi na uvumba na hata kwa uchochezi zitaendelea kuwa karibu, na kama ikijakutokea Kenya na Tanzania zimekorofosha kwa level kama ya Rwanda, basi ujue ni maajabu ya dunia. Kuna economic, cultural na people to people interactions za hali ya juu kiasi kwamba hata PK ajaribu kuvuruga hataweza.

Uganda is not a country anyway, it has three pieces in it and we have a stake in one. Rwanda yenyewe hata leo ukienda Kigali unaweza kukuta kuna product kubwa sana ya Tanzania.

That is why sikubaliani na hoja kuwa kuna wasiwasi wa vita kati ya TZ na Rwanda, PK know that pretty well.

PK amjeitahidi sana kuiongoza vizuri Rwanda, lakini anaudhi pale anapoanza ku-behave kama FDLR. FDLR walijifanya hwasikii la mtu na waliona mapanga is only way. Tabia ya kuua watu whether ni wahutu or watutsi, kwame haikubaliki.

Well said.
Hakuna haja ya kutukanana pale tunapotofautiana kimitazamo kwa kuwa kila mtu anasema aonavyo yeye hivyo ukiona alichosema mwingine si sahih na wew wakilisha mawazo yako kwa facts ili ueleweke vizuri.

Nionavyo mimi Rwanda haina cha kuifanya Tanzania sababu Hakuna mtoto anaeweza mzidi umri baba ake.
 
kagame ana spirit ya kufight...ILA KINACHONIUDHI NI UDHI NI KWAMBA ANA PREMISES MBAYA SANA MEZANI KWAKE ZA KUTUMIA KTK HAYA MAPAMBANO YAKE.Sasas kajiweka pabaya, anahitaji kuishi kwa mtu tu hadi afe....na akifo chake ni km ghaddafi tuu au Sadam.Hana ujanja tena.Na sijui km kwa jamii ya Rwanda km wanasamahe kirahisi hivyo,ili naye ajaribu utafuta huo msamaha. Hata CCM ndipo wanapokwenda....wakidhani kuwa wao ndio wababa amana,mauaji na ugaidi wa mabomu mwaka jana....ni wazi CCM hawapo mbali sana na fikra za kagame.Kagame naye alidanganya dunia kuwa ameweza tetea wanyonge na kumaliza mauaji na kuleta maendeleo,sasa na yeye yupo ktk shida hiyo hiyo.
 
The safest,cleanest and most non corrupt state in Africa..hi vyo vitu is through discipline and hardwork sio longolongo mlizozoea,soon mtaanza kwenda Kigali kutafuta kazi na maisha bora wapuuzi wakubwa nyie na ndoto zenu za mchana

Hujui unachoongea. Toa hoja husianze kutukana kama boya. Hivi sasa uchumi umeporomoka kwasababu dili la kuiba mali congo limekwisha.
 
Well said.
Hakuna haja ya kutukanana pale tunapotofautiana kimitazamo kwa kuwa kila mtu anasema aonavyo yeye hivyo ukiona alichosema mwingine si sahih na wew wakilisha mawazo yako kwa facts ili ueleweke vizuri.

Nionavyo mimi Rwanda haina cha kuifanya Tanzania sababu Hakuna mtoto anaeweza mzidi umri baba ake.

watusi wanakera zaidi ya mende mkuu!
 
Lakini sie kama wanachama wa EAC kiongozi yeyote anapoenda kinyume ni haki watu kumkosoa maana hatuwezi kuwa shirikisho ambalo viongozi wake wana fikra na dhana tofauti kabisa ingawa kuwa na mawazo yanayokinzana ni sawa maana mawazo ya kukinzana huleta maendeleo lakini dhana tofauti hubomoa . Mwanzoni Kagame alionekana hero lakini kwa sasa ananyooshewa vidole sana na hili huwa ni tatizo kwa viongozi waliofanya mapinduzi au walioingia madarakani kwa mtutu wa bunduki wakaoverstay, lazima atakosana na aliochukua nao madaraka kwa sababu zile sababu zilizowafanya vijana wakamuunga mkono na kupigana naye bega kwa bega ambazo nyingi ni utawala wa kidemokrasia, kikomo cha uongozi yaani term limits, serikali ya wote, kukomesha rushwa, uongozi bora nk, hawa viongozi wakiingia hukiuka haswa term limits na kujaza ndugu madarakani mfano wa Museveni ambaye ni kiongozi pengine mwenye akili na uwezo mkubwa kuliko wote maziwa makuu ila kageuka dikteta na alioanza nao wenye akili wote wako upinzani au uhamishoni.

mkuu hawa vibaraka wa kagame hata wakikujibu hawatakujibu sahihi kwani wamejawa na ukabila wa hali ya juu sana na chuki ya mauaji, wapotezee mbali ni zaidi ya mkono ulioshika kinyesi.
 
Back
Top Bottom