RUTAJUMBUKIRWA
Senior Member
- May 3, 2009
- 185
- 89
Tatizo langu inawezekana hii issue hatuijua kiundani sana sisi JK ndiye anayejua na ndio maana hajibu. Kama amiri jeshoi mkuu alipaswa kumjibu kagame yeye na sio sisi, tulitakiwa tumwambie amjibu. Nina wasi wasi tunapopaona sio penyewe issue inawezekana ilianza zamani na itelejensia zao hawa watu wawili
Kaa chini!Dah, mbona hueleweki sasa, msimamo wako ni upi? Mimi nafikiri simplemind yupo sawa kwamba wananchi hivi sasa wamepoteza imani na majeshi yetu. Badala ya majeshi kuendelea kuwa rafiki wa watu, ndiyo hayo yanatumika hivi sasa kupiga na kuumza watu huko Mtwara na hata Arusha. Hivi ikianza vita, wananchi hawatawaunga mkono maadui kama walivyofanya waganda wakati wa vita na Tanzania? Mimi naunga mkono wazo la kwamba huu si wakati muafaka kufikiria vita. Maana huo uzalendo tunaotaka wananchi waonyeshe ndiyo huo unadhulumiwa na serikali. Kwa hakika usitegemee wananchi wa Arusha wanaopigwa mabomu na polisi watakuwa upande wa polisi. Definitely watawasupport maadui. Lets not even dream about war kwa sasa.
Kwani tatizo ni nini hapa? Sipendi uongozi wa Jakaya kwa vipindi vyote akiwa madarakani kama Rais wa Tanzania. lakini, kutukanwa na kanchi kadogo kama Rwanda is disgusting!! Kisa Jakaya ametaka peace talks and negotiations kwa nchi zile zilizo katika vita ndani ya maziwa makuu.
Jeuri ya kagame ya kupigana vita vya mstuni, anataka kutuletea sie? Hii haikubaliki hata kidogo...
Why now you have turned great beasts like that???
Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!
Hakika Leo mimeamini Beni saanane wewe ni mzalendo,kuanzia Leo naahidi kukuheshimu sana!you are great my bro,Kagame na apigwe tuuuu!
Hili liwe fundisho JK usiwe
unaandikiwa kila kitu, wewe huwa unasema akili ya kwaambiwa changanya
na yako. we kila unachoambiwa na kuandikiwa unakubali tu, Hongera sana
Kagame.