You are right! Mazingira ya sasa si kama yale ya Nyerere kabisa. Wakati ule mtu alikuwa anajivunia kuitwa mtanzania na alikuwa yupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yake. Hivi leo hii yule aliyefiwa na ndugu zake kutokana kupigwa risasi na polisi unafikiri ataweza wapi kuitetea Tanzania? Atatamani majeshi ya kigeni yashinde ili utawala dhalimu uondolewe. Yaani tukiingia vitani sasa hivi tutapigwa kama alivyopigwa Iddi Amin. nawashangaa sana wanaosupport vita kwenye nchi iliyosambaratika kama hii.Tusifikirie kabisa vita, hivi unafikiri hawa wanaopigwa kwenye mikutano kila siku na Policcm na wale waliopigwa risasi watasupport majeshi yetu kweli, let's not even think about getting into war for now.
Na it could be that they know they will get support from within. Serikali ya Kikwete haijatengeneza mshikamano wa kitaifa.
Those were Nyerere's days. Sidhani kama bado tuna influence sana kwenye international politics, japo naamini kwamba tanzania inazichanga karata zake vizuri sana. Naamini kitengo cha usalama wa taifa kinachoshughulika na mambo ya nje kipo makini sana katika masuala ya diplomasia. Ila kwamba tutamfanya nini, hicho sidhani kama hizo nguvu bado tunazo. Sisi wenyewe Rais wetu ni weak, tutaweza wapi kuwachagulia wengine Rais?huyu kagame hana adabu amuulize baba yake mlezi museven bila sisi angekua rais leo? shenzi huyu atapata anachokitaka
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.
Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.
This idiot must be stopped now.
Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?
Pokea 'like' manually.Kagame is very right, kama jamaa ni MNYONGE, HIT HIM UP...
Mbona huku mitaani ipo sana wale jamaa wan
yonge wanamegewa wake zao kila siku. Wala sishangai mimi Kagame kutaka kum_Hit Kikwete, its human nature kumdharau mnyonge. Sisi tumejidhalaulisha mno kwa kutembeza bakuli dunia nzima kuomba misaada hadi majirani wanaona tu wanyonge na dhaifu. Hata Simba mgonjwa na dhaifu huvutwa sharubu tu na kukaa kimya.
Kwani kagame katoa fundisho gani zaidi ya kusema ujinga na kujionyesha udikteta wake. Jk kamweleza tu aongee na wapinzani wa kihutu wanaotoka kabila la wahutu ambao ni asilimia 85 ya raia wa rwanda imekua nongwa.Hili liwe fundisho JK usiwe unaandikiwa kila kitu, wewe huwa unasema akili ya kwaambiwa changanya na yako. we kila unachoambiwa na kuandikiwa unakubali tu, Hongera sana Kagame.
Ni mtoto -------- tu anaye weza kuvumilia Baba yake akitukanwa na kudhalilishwa!! he is now crossing the line, na hatupashwi kukavumilia hako ka Ngongoti!! Mimi nilidhani ka jamaa kana akili kubwa kumbe kanafikiria vita na kuua tu! Ni kosa gani kubwa Mkuu wa Kaya yetu alifanya mpaka astahili haya matusi na vitisho??!!? Hivi kuwashauri mahasimu wakae meza ya majadiliano ni sawa na kuwalazimisha wapatane?? si wanaweza kukaa na wakaamua kutokukubaliana chochote? au si wanaweza hata kukataa ushauri waliopewa badala ya kuanzisha ligi nyingine na wasio husika na matatizo yao?? jamani tusikubali Rais wetu ashikwe masharubu na kila mtu!Hana noma na Tanzanai ana noma na baba Mwanaisha! I support Kagama akiingia kwa line, hit him
Ukicheka na nyani?Msemo mwingine unasema " ukicheka na mbwa......"
Watanzania mnaifanya issue ya Kagame kama vile mechi ya simba na yanga ambayo ikiisha kila mtu anachukua time yake. Aliyefungwa na aliyefunga. Hi issue ni serious, wengine wanasema wana jeshi zuri ukiwauliza hawana data, wengine wanasema nchi yetu kubwa hiyo nayo haina mashiko, kubwa so what? wengine wanasema wanatz wana uzalendo hawana data, na wengine wanasema tutamnyongelea mbali hawajui hata uwezo wa jeshi letu. Wapo wenye data za mwaka 47 ambazo matokeo yake tulishayaona mbagala na gongo la mboto. Na simple research kwenye mikutano ambapo polisi wakituliza ghasia wanaua, huo umakini wetu uko wapi??? mpaka tujisifu????? Hivyo hili swala sio mpira wa yanga na samba la sivyo itatu cost sana.
Ni mtoto -------- tu anaye weza kuvumilia Baba yake akitukanwa na kudhalilishwa!! he is now crossing the line, na hatupashwi kukavumilia hako ka Ngongoti!! Mimi nilidhani ka jamaa kana akili kubwa kumbe kanafikiria vita na kuua tu! Ni kosa gani kubwa Mkuu wa Kaya yetu alifanya mpaka astahili haya matusi na vitisho??!!? Hivi kuwashauri mahasimu wakae meza ya majadiliano ni sawa na kuwalazimisha wapatane?? si wanaweza kukaa na wakaamua kutokukubaliana chochote? au si wanaweza hata kukataa ushauri waliopewa badala ya kuanzisha ligi nyingine na wasio husika na matatizo yao?? jamani tusikubali Rais wetu ashikwe masharubu na kila mtu!
Hawa ndio watu wa media ya bongo with zero brain na hata reasononing hakuna,ukitoa ushauri sio lazima ukubali tena ukiwa wa kipuuzi unapata na zaidi ili siku nyingine uache kelele za kipuuziNi mtoto -------- tu anaye weza kuvumilia Baba yake akitukanwa na kudhalilishwa!! he is now crossing the line, na hatupashwi kukavumilia hako ka Ngongoti!! Mimi nilidhani ka jamaa kana akili kubwa kumbe kanafikiria vita na kuua tu! Ni kosa gani kubwa Mkuu wa Kaya yetu alifanya mpaka astahili haya matusi na vitisho??!!? Hivi kuwashauri mahasimu wakae meza ya majadiliano ni sawa na kuwalazimisha wapatane?? si wanaweza kukaa na wakaamua kutokukubaliana chochote? au si wanaweza hata kukataa ushauri waliopewa badala ya kuanzisha ligi nyingine na wasio husika na matatizo yao?? jamani tusikubali Rais wetu ashikwe masharubu na kila mtu!