Kafulila: Taasisi zinazoongozwa walau kwa theluthi moja na Wanawake hupata mafanikio karibu mara 10 zaidi ya zile zenye Wanawake wachache Viongozi

Nikweli wanaume sisi ni wezi sana,

Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,

Unataka gari zuri mwanamke akuone,

Ukajenge kijijini,

Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Hujui ulisemalo pole Sana,huku Kenya tuliwachagua magavana wanawake walishinda kucha kutwa kuipora umma kwa manufaa ya Wana wao pamoja na wachumba wao!
Kalb hayawan!
 
Masikini huyu dogo kachapiwa mke na wakubwa, anajitahidi kupalilia ugali
 
Sahihi kabisa,

Ndio maana Rais Samia ni lazima tumpe nchi tena,

Wanawake bado wanahofu ya dhahama
 
Yeye aliongoza ndoa yake ikamshinda ilikuwaje akashindwa kumwachia mkewe ainusuru isisambaratike
 
Safi sana Mr Kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…