The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,949
Kwa maana yao uzalendo ni kujiunga na ccm.aiseeHakuna serikali inayojificha kwe kivuli cha uzalendo km hii asee yani ikiruka kidogo inakataza uchochezi sasa hao akina machali mgwira mtulia na kafulila ndo mifano ya uzalendo?