Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,788
- 165,483
Sijui ni katika tukio gani ila naona wamepewa nafasi ya kuongea akiwemo aliekuwa mbunge wa Kinondoni pamoja na mama Anna Mghwira.
Event naona imepewa jina la kampeni ya uzalendo na Mwakyembe anaonekana kuwa ndio MC wa shughuli hii.
Yuko Raisi wa Zanzibar, Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,mawaziri na wageni wengine.
Tukio hilo sijui ni la kiserikali au kichama nashindwa kuelewa.
Swali:
Nini kimewasukuma kuleta hii event?Wameona nini?
Tazama TBC.