Vita gani?Anaongea Sasa Nguli wa Siasa za Zanzibar Simba wa Vita Dkt Ally Mohamed Shein
Ukipenda kavae uandamane.Mandishi ya kwenye kanga
Mwenzako kauliza vizuri kabisa tena kiustaarabu .lakini unamtukania mamake dahh imeniumiza sana nakunihuzunisha .hata kama hukupata malezi yawazazi jaribu kupritend .Vya mama yako.
Hawajielewi na wanajaribu kulazimisha kupendwa.Hivi uzalendo unakuwaje na kampeni??
Kumbafu kabisa
Anaongea Sasa Nguli wa Siasa za Zanzibar Simba wa Vita Dkt Ally Mohamed Shein
MACHALI ALIKUWA AMETOA JICHO KAMA MJUSI KABANWA MLANGONI.ANAONYESHA KABISA ANATAFUTA CHEOSijui ni katika tukio gani ila naona wamepewa nafasi ya kuongea akiwemo aliekuwa mbunge wa Kinondoni pamoja na mama Anna Mghwira.
Event naona imepewa jina la kampeni ya uzalendo na Mwakyembe anaonekana kuwa ndio MC wa shughuli hii.
Yuko Raisi wa Zanzibar, Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,mawaziri na wageni wengine.
Tukio hilo sijui ni la kiserikali au kichama nashindwa kuelewa.
Swali:
Nini kimewasukuma kuleta hii event?Wameona nini?
Tazama TBC.
CCM tu ndio wanaruhusiwa kuandamana ndiyo maana maneno ya kanga yanakutokaUkipenda kavae uandamane.
Huyu hawezi kupata , alimzaba vibao baba yake .MACHALI ALIKUWA AMETOA JICHO KAMA MJUSI KABANWA MLANGONI.ANAONYESHA KABISA ANATAFUTA CHEO
Huyu hawezi kupata , alimzaba vibao baba yake .