Kafulila na Moses Machali wako live TBC

Kafulila na Moses Machali wako live TBC

B
Sijui ni katika tukio gani ila naona wamepewa nafasi ya kuongea akiwemo aliekuwa mbunge wa Kinondoni pamoja na mama Anna Mghwira.

Event naona imepewa jina la kampeni ya uzalendo na Mwakyembe anaonekana kuwa ndio MC wa shughuli hii.

Yuko Raisi wa Zanzibar, Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,mawaziri na wageni wengine.

Tukio hilo sijui ni la kiserikali au kichama nashindwa kuelewa.

Swali:
Nini kimewasukuma kuleta hii event?Wameona nini?

Tazama TBC.
Baada ya Shambulio la Kinyama kwa Tundu Lissu hili neno uzalendo lime shikiwa Bango (They are just beating about the Bush and un Necessary Expenses)
 
Tutaweka Sanduku la kura kujua uzalendo wa mtu.

Sasa uzalendo imekuwa sera au ndio njia ya kupiga kodi zetu? Uzalendo sio maongezi ktk Tv angalau ingekuwa watu wapate haki zao bila UBABE. MSHAHARA MIAKA 2 increment 6000/=? Uchaguzi unachukua hela za bure tu wakat washindi wapo

Uzalendo ISIJEKUWA GIA KUBADILIKA AMGANI NA KUWA MIKUTANO YA KUHAMIA CHAMANI NA MBWEMBWE KIBAO TBC LIVE
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuna serikali inayojificha kwe kivuli cha uzalendo km hii asee yani ikiruka kidogo inakataza uchochezi sasa hao akina machali mgwira mtulia na kafulila ndo mifano ya uzalendo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kigoma haijawahi kumuacha mtu kwa unafiki
1. Kafulila
2.Machali
3. Zitto
4. Hawa watu wa Kigoma ni wanafiki haijawahi kutokea duniani
 
TBC sio wazalendo, wako kwa maslai ya chama fulan,Wako kwa ajili ya kuficha uovu wa serikali ndio maana watu wamewachoka, tukio la nyufa za udsm wakikaa kimya kama si chombo cha hbr, lkn wakisikia upinzani kuna tukio baya basi wao watarudia mara 3.
 
Hivi kgm kuna asili ya usaliti?
Sina hakika sna ila nafikiria tu hao wasaliti wana makwao kigoma wanaitumia km kichaka chao unaposema kigoma unaizungumzia ujiji kwa halaka wanakuja watu km marehemu mzee jabu kigoma ndio mji wenye wazawa na wenye mji wao mpk leo...
 
Dr. Caratuman Aliuliza kwa kurudia sana, je Monduliman is an Asset? to what extent? Or Liability!
Naona Cdm liability is mounting high!
Kiwepesi
Alijibiwa tunataka mabadiliko. Tuliyataka wenyewe, hayo tuliyotaka!
Mfuate Karatuman, labda nawe utakumbukwa japo kwa kwa tone la mchuzi. Maana wafia chama huko lumumba mmetoswa. Wanaonunuliwa ndo wako kwenye chart. Mtu anateuliwa ili tu apate mshahara, haijulikani atakakoenda.
 
Sijui ni katika tukio gani ila naona wamepewa nafasi ya kuongea akiwemo aliekuwa mbunge wa Kinondoni pamoja na mama Anna Mghwira.

Event naona imepewa jina la kampeni ya uzalendo na Mwakyembe anaonekana kuwa ndio MC wa shughuli hii.

Yuko Raisi wa Zanzibar, Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,mawaziri na wageni wengine.

Tukio hilo sijui ni la kiserikali au kichama nashindwa kuelewa.

Swali:
Nini kimewasukuma kuleta hii event?Wameona nini?

Tazama TBC.
Hivi tukio ls uzalendo hujui ni la nini. Daaa ndio maana hatuendelei.hivi Utaifa ni nini?? rudi darasani ukasome upya.
 
washakula pesa za watu saiv ni mateka tu hawana maamuzi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Eti kampeni za uzalendo!? Mzalendo hakwapui nyumba za Serikali, mzalendo hakwapui bilioni 16 za wahanga wa tetemeko, mzalendo hachoti pesa hazina bila idhini ya Bunge, mzalendo haungi mkono mashambulizi ya raia wenzie kwa mapanga marungu visu na bunduki. Mzalendo hasemi uongo kwa wananchi wenzie ili kutafuta sifa. Mzalendo hadharau katiba, Bunge, sheria za nchi, mahakama na wananchi wenzie.

Wazalendo uchwara wako mtaa wa lumumba kujifanya wazalendo kumbe ni wahuni wezi wauaji na mafisadi wa kutupa!!!
 
Back
Top Bottom