Kafulila na Moses Machali wako live TBC

Kafulila na Moses Machali wako live TBC

Ni ufunguzi wa kampeni ya UZALENDO. Inafanyika ukumbi wa Chimwaga, chuo kikuu cha Dodoma. Machali, Ana Mgwila na Kafulila wamejitokeza rasmi CCM kwenye kampeni ya Uazalendo. CCM chama cha Wazalendo.

Ova
Uzalendo ni kitu kinachotoka ndani kulingana na mazingira husika....uzalendo haujengwi kwa matamasha...
 
Sijui ni katika tukio gani ila naona wamepewa nafasi ya kuongea akiwemo aliekuwa mbunge wa Kinondoni pamoja na mama Anna Mghwira.

Event naona imepewa jina la kampeni ya uzalendo na Mwakyembe anaonekana kuwa ndio MC wa shughuli hii.

Yuko Raisi wa Zanzibar, Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,mawaziri na wageni wengine.

Tukio hilo sijui ni la kiserikali au kichama nashindwa kuelewa.

Swali:
Nini kimewasukuma kuleta hii event?Wameona nini?

Tazama TBC.
Tumbili anaongea
 
Kumbe siku hizi nyumbu mnafuatilia TBC yetu! Asante wa kuangalia, na kila siku u tune TBC live, Ukweli na uhakika!
 
Sijui ni katika tukio gani ila naona wamepewa nafasi ya kuongea akiwemo aliekuwa mbunge wa Kinondoni pamoja na mama Anna Mghwira.

Event naona imepewa jina la kampeni ya uzalendo na Mwakyembe anaonekana kuwa ndio MC wa shughuli hii.

Yuko Raisi wa Zanzibar, Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,mawaziri na wageni wengine.

Tukio hilo sijui ni la kiserikali au kichama nashindwa kuelewa.

Swali:
Nini kimewasukuma kuleta hii event?Wameona nini?

Tazama TBC.
Ccm hali yao wanaijua wenyewe .hapana shaka watakuwa wamekwama .
 
Dr. Caratuman Aliuliza kwa kurudia sana, je Monduliman is an Asset? to what extent? Or Liability!
Naona Cdm liability is mounting high!
Kiwepesi
Alijibiwa tunataka mabadiliko. Tuliyataka wenyewe, hayo tuliyotaka!
Mandishi ya kwenye kanga
 
Sina kumbukumbu ni lini toka niache kuangalia hii TV isiyojitambua Tbc ccm
 
Ni ufunguzi wa kampeni ya UZALENDO. Inafanyika ukumbi wa Chimwaga, chuo kikuu cha Dodoma. Machali, Ana Mgwila na Kafulila wamejitokeza rasmi CCM kwenye kampeni ya Uazalendo. CCM chama cha Wazalendo.

Ova
Uzalendo hauhubiriwi kwenye majukwaa ya kisiasa, wanachokifanya hawa ni hadaa tu dhidi ya wajinga
 
Hivi kusingekuwepo na vyama vya upinzani kafulila,na mosesi machali wangekuwaje wabunge wa jamuhuri ya muungano wa tanzania,na kujulika leo hii?
 
Wajinga hao tumbili na huyo Tumbili wa Kyela akasimamie kipindupindu kule kwao
 
Sijui ni katika tukio gani ila naona wamepewa nafasi ya kuongea akiwemo aliekuwa mbunge wa Kinondoni pamoja na mama Anna Mghwira.

Event naona imepewa jina la kampeni ya uzalendo na Mwakyembe anaonekana kuwa ndio MC wa shughuli hii.

Yuko Raisi wa Zanzibar, Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,mawaziri na wageni wengine.

Tukio hilo sijui ni la kiserikali au kichama nashindwa kuelewa.

Swali:
Nini kimewasukuma kuleta hii event?Wameona nini?

Tbc
 
Back
Top Bottom