Kafulila akwaa kisiki tena Mahakamani

Kafulila akwaa kisiki tena Mahakamani

popo hata hujui target yako ni ipi

kwenye maisha ili ueleweke inapaswa uchague upande na kusimamia unachoamini

sasa nyie hata kwa walozi wenzenu hamshindi mnategemea nini
Nyie nyumbu mnasimamia nini?

Chama chenu kikubwa hakina hata Policy convention.

ACT wazalendo kinasimamia ujamaa wa kidemokrasia ( center left).

Nyumbu kama nyie hamjui hata ideology ya chama chenu.

Nyie ni kunyumbuka tu na kufurahia bila kuhoji
 
hahaha. ..mkuu hebu usinchekeshe

hahaha

siamini kama uko empty brain kiasi hiki

lol

you are just best at ulozi

Kasome katiba ya chadema sehemu ya tatu inaongelea itikadi na falsafa ya chama (center party)

mkuu...ninyi popo hamna uwezo wa kupambana na chadema. ..saizi yenu ni adc..udp...tlp kwa sababu mnafanana
 
Mungu wangu.....nyie ni maliberal.....

Ndio maana nikasema Nyumbu hamna maana.

Chadema ni mabepari. ( center right)

Pole sana Nyumbu.....haya kwa sasa mnasimamia nini kureflect center/centre right ideology?

Kwa maana ya sera?
 
hahaha. ..mkuu hebu usinchekeshe

hahaha

siamini kama uko empty brain kiasi hiki

lol

you are just best at ulozi

Kasome katiba ya chadema sehemu ya tatu inaongelea itikadi na falsafa ya chama (center party)

mkuu...ninyi popo hamna uwezo wa kupambana na chadema. ..saizi yenu ni adc..udp...tlp kwa sababu mnafanana
Umetia aibu sana Nyumbu.

CDM ni conservatism ( center right) na sio Liberals.

Nyumbu muwe mnajipa muda wa kujua chama chenu.

Sina haja ya kubishana tena na wewe.
 
hahaha. ..mkuu hebu usinchekeshe

hahaha

siamini kama uko empty brain kiasi hiki

lol

you are just best at ulozi

Kasome katiba ya chadema sehemu ya tatu inaongelea itikadi na falsafa ya chama (center party)

mkuu...ninyi popo hamna uwezo wa kupambana na chadema. ..saizi yenu ni adc..udp...tlp kwa sababu mnafanana
wilderbeest.jpg

Mimi na wewe nani empty brain? kama ideology tu ya chama chako huijui.
 
Mahakama ya rufaa leo hii imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kusini, ndugu Kafulila kwa kukosa nguvu ya kisheria.

Kafulila alimkatia rufaa mbunge wa Kigoma kusini Ndugu Husna Mwilima kwa kudai kuwa aliporwa ushindi.

Mahakama imemtaka ndugu Kafulila kulipa gharama zote za kesi hiyo.

Chanzo: Azam news
Ndio tatizo la wapinzani kulazimisha ushindi. Sasa akafanye siasa nje ya bunge. Inawezekana.
 
Makamanda haki imetendeka na mahakama zetu ni huru bila chenga.
Kafulila lipa gharama
Nawe ni kamanda? Wa kamandi ipi?
Waweza thibitisha kuhusu uhuru wa mahakama zenu hapa? Tupunguzieni upofu wenu wa ubongo humu na kujidanganya kwiiingi kwa ajili tu ya kujipendekeza na kumsifu asiye na shida na vijisifa vyenu.
Ndio, ni lazima mhakikishe mbunge wa wanyonge anayesema na kuwayumbisha mafisadi ninyi hapenyi kurudi huko kuwagawasha vipande kwa gharama yoyote.
Atakuja kivingine napo mtamwita mchochezi.
 
the empty brain popo...a.k.a mlozi

nimekutajia kila kitu bado hutaki kuelewa
Hilooo halijui hata ideology ya chama.

Center ni liberals ( kwa hapa Tz ni CUF)

Center right ni conservatism ( kwa hapa bongo ni CDM)

Right ( conservatism's wenye msimamo mkali.....hapa bongo sifahamu)

CCM ni far left ( japo hawapo hivyo nowadays)

ACT wazalendo ni center left ( ujamaa wa kidemokrasia).

Haya nyumbu jifunze.
 
Kuwa mbunge wa vyombo vya habari napo shida sana kafulila aliwasusa watu wake akawa mbunge wa magazetini na runinga ngoja tuone kama magazeti yatampeleka bungeni.
 
Hilooo halijui hata ideology ya chama.

Center ni liberals ( kwa hapa Tz ni CUF)

Center right ni conservatism ( kwa hapa bongo ni CDM)

Right ( conservatism's wenye msimamo mkali.....hapa bongo sifahamu)

CCM ni far left ( japo hawapo hivyo nowadays)

ACT wazalendo ni center left ( ujamaa wa kidemokrasia).

Haya nyumbu jifunze.
we jamaa mbona jinga hivi...unajitungia vitu vyako utakavyo wewe...let me do a favor to you kasome katiba ya CHADEMA section 3.1.1
 
Huyu mzee wa mawese njaa itamuua.kwani lazima awe mbunge?
Muha mmoja anaweza kubishana na abiria wa behewa zima toka Dar hadi Kigoma. Kafulila usiache asili komaa tu kama wale jamaa wa BOT.
 
Back
Top Bottom