MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,119
Acha kupotosha ukweliMahakama ya rufaa leo hii imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa mbunge wa kigoma kusini, ndugu Kafulila kwa kukosa nguvu ya kisheria.
Kafulila alimkatia rufaa mbunge wa Kigoma kusini Ndugu Husna Mwilima kwa kudai kuwa aliporwa ushindi.
Mahakama imemtaka ndugu Kafulila kulipa gharama zote za kesi hiyo.
Chanzo: Azam news