Kafulila akwaa kisiki tena Mahakamani

Kafulila akwaa kisiki tena Mahakamani

Changia hoja acha utoto!


HAAAAAAAAAAAAA JAMA ALIPE ELA YA KUENDESHA KESI, HII NDIO ZAMBI YA KUSALITI WANANCHI, LEO UNASEMA HIVI, KESHO UNAGEUKA KAMA KINYONGA, HAAAAAAAAAAAAAAAAA HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
This guy is still young, anergetic and strong angetafuta kingine cha kufanya, maisha hayapo kwenye siasa tu.
 
Umeandika nini? Rufaa imekataliwa au ameshindwa kesi kwa mara nyingine?
 
Kwa awamu hii ya tano ni vigumu mahakama kutenda haki,kila kitu kimeshaonyesha wapinzani imekula kwenu,labda Mungu ashuke.
 
Hayo ndo yanaitwa mahaba kwa chama fulani ambayo mtoa mada unayo!!!
 
Back
Top Bottom