hapo cdm imeingiaje au inwakosesha usingiziMajaji hutenda haki pale tu CDM ikishinda kesi zake and not otherwise.

KWA mara nyingine tena Mahakama imetupa maombi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyofunguliwa na David Kafulila akipinga ushindi wa Husna Mwilima wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Kusini, safari hii uamuzi ukitolewa na Mahakama ya Rufaa.
Katika uamuzi uliotolewa jana na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa chini ya uenyekiti wa Jaji Mbarouk Salim akisaidiwa na Jaji Bernard Luanda na Jaji Richard Mziray, mahakama hiyo imetupilia mbali rufaa hiyo ya Kafulila kwa kile ilichodai imekosa miguu ya kusimama.
Mbali ya uamuzi huo, jopo hilo la majaji wa Mahakama ya Rufaa pia limemtaka mlalamikaji ambaye hawakuwepo mahakamani kulipa gharama za shauri hilo la madai namba 212/2016.
Majaji hao walisema wanakubaliana na maombi ya Wakili wa Serikali Gabriel Mallata aliyepinga shauri hilo kusikilizwa kutokana na kile alichodai kwamba halikukidhi matakwa ya sheria.
Hii ni mara ya pili kwa Kafulila kuangushwa kisheria katika shauri alilofungua kupinga ushindi wa mgombea wa CCM Mwilima ambaye ndiye Mbunge halali wa Jimbo la Kigoma Kusini, mara ya kwanza ikiwa ni Mei, mwaka huu, shauri lake lilitupwa na Jaji Ferdnand Wambali wa Mahakama Kuu aliyesikiliza shauri mama.
Kafulila katika rufaa yake kwa Mahakama ya Rufaa alikuwa akidai kuwa Jaji wa Mahakama Kuu aliyesikiliza shauri lake hakumtendea haki kwa kumnyima ushindi aliostahili.
Hadi kufikia hatua hiyo, shauri hilo ndilo ambalo limesikilizwa na majaji wengi tangu lilipoanza. Katika hatua ya awali pekee lilisikilizwa na majaji watatu tofauti wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora.
Miongoni mwa majaji waliosikiliza shauri hilo ni Jaji John Utamwa, Leila Mgonya na Sam Rumanyika ambaye alikamilisha usikilizaji wa awali na baadaye likapangiwa kwa Jaji Wambali.
Chanzo Habari Leo
Maoni Yangu
Kafulila alifanya kosa kubwa sana la kuungana na Mbatia katika kumsaport Lowassa, Wanakigoma wanakumbuka kazi kubwa ya Serikali ya awamu ya nne chini Kikwete, wakati huo Magufuli akiwa waziri wa ujenzi, Magufuli alihakikisha kuwa anaifungua kigoma kwa hali na mali hali iliyopelekea kigoma kufunguka kwa ujenzi wa barabara na madaraja.
Wanakigoma walikataa ujio wa Lowassa na ndio sababu ya ccm kujinyakulia majimbo ambayo waliyapoteza huku, wakifurahishwa na ujio wa Magufuli ambaye aliifungua kigoma.
Namshauri ajipange 2020 lakini asije tena kufanya kosa la kuungana na mafisadi, kama alivyofanya katika uchaguzi uliopita, na ikiwa hata usikia ushauri wangu ni ni kheri akaachana na siasa afanye mambo mengine, kweani wanakigoma hawataki upuuzi wa kuwasaporti mafisadi.
Hbr ndo hiyo, km hutaki kakate rufaaMtoa post umekaa ki CCM hivi jitahidi kuficha mahaba basi ...Sipendagi ujinga mm kabisa.
hujielewi ww na uzi wako, Hatupendagi ..... sisiKWA mara nyingine tena Mahakama imetupa maombi ya kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyofunguliwa na David Kafulila akipinga ushindi wa Husna Mwilima wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Kusini, safari hii uamuzi ukitolewa na Mahakama ya Rufaa.

Huo huo mhimili ungeupongeza km ungempatia ushindi Kafulila.Hiyo inatoa funzo kwetu kwamba binadamu sisi ni vigeugeu.Kwa hiyo,kwa watu wapinga kila kitu km ww kuwepo ktk nchi hii ni vigumu sana kupata maendeleo.Nchi zenye mihimili ya ajabu ajabu kupata maendeleo ya kueleweka ni ndoto. Kwa kweli inatia hasira sana kuona viongozi wanaweka taaluma zao mifukoni kwa sababu ya kujipendekeza na kujali matumbo yao.
Wapi sasa utasimama Pamoja na Kafulila?!Tutasimama pamoja na kafulila
Halafu mleta mada ameandika km yupo upande wa zito
Du!Kwa hiyo unachopenda ww ndiyo hicho pekee unataka kiletwe hapa jamvini?!Safari bado ndefu sana.hujielewi ww na uzi wako, Hatupendagi ..... sisi
Wakati mwingine muwe mnakubali matokeo jamani, sasa una iman na mahakama kivipi, angeshinda Kafulila ungesrma hayo? Acheni kutuchafua na pia msiwe mnakuja mahakamani na jibu la kudhinda, mahakamani ni zaidi ya ushahid, lakini pia inahitajika umakinin ktk kutumia sheriaSina Imani na mahakama zetu.