mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,548
Mahakama ya rufaa leo hii imetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, ndugu Kafulila kwa kukosa nguvu ya kisheria.
Kafulila alimkatia rufaa mbunge wa Kigoma kusini Ndugu Husna Mwilima kwa kudai kuwa aliporwa ushindi.
Mahakama imemtaka ndugu Kafulila kulipa gharama zote za kesi hiyo.
Chanzo: Azam news
Kafulila alimkatia rufaa mbunge wa Kigoma kusini Ndugu Husna Mwilima kwa kudai kuwa aliporwa ushindi.
Mahakama imemtaka ndugu Kafulila kulipa gharama zote za kesi hiyo.
Chanzo: Azam news